Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!

Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!

Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini nyingine kwa dharula!

Ajali ya precision air huko Bukoba, Rubani kafanya kazi yake kwa usahihi kabisa!

Ndege inapoaanza safari huhifadhi oksjeni ya kutosha kulingana na ukubwa wa ndege!
Hewa hiyo ndiyo hutumika na abiria wawapo angani hadi wafikapo safari!

Ndege inapowashwa ndipo mitambo ya hali ya hewa kwenye ndege nayo hufanya kazi!
Ndege ikizimwa hata hewa hukosekana inakuwa sawa na chupa iliyofungwa!

Hivyo kama ndege hutegemea Hali ya hewa kupaa na kutua maana yake kazi ya rubani ni kuhakikisha anaipaisha au kuitua kulingana na Hali!
Tukio la precision linampa pongezi kubwa rubani kwamba baada ya hali kuwa mbaya!

Jambo la kwanza ilikuwa kuangalia yuko umbali gani kutoka ardhini! Karibu au mbali

Kama angekuwa juu sana na hali ikawa mbaya kutokana na hitilafu za chombo kuna namna nyingine ya kuokoa abiria

Lakini kama yuko mbali na chombo ni kizima lakini shida ni mawasiliano Basi hupaswa kutua uwanja uliyokaribu au kurudi!

Shida ni hapo akiwa karibu na ardhini halafu hali ya hewa iwe mbaya ambayo kuendelea na safari angani haiwezekani na mawasiliano ni mabovu!

Njia pekee ya rubani katika hali hiyo ni kupunguza risk! Yaani kuhakikisha anaitua ndege porini, jangwani au ziwani/baharini!

Rubani wa precision alifanikiwa sana kutua ndege salama! Shida yoyote ambayo huhatarisha uhai katika mazingira hayo ni ukosefu wa huduma saidizi! (Poor rescue team with modern technology)

Kama nilivyosema hapo awali ndege hutegemea hewa iliyotoka nayo ili watu wapumue!
Sasa ikitua baharini kama hakujapasuliwa kioo hewa haipiti watu ni rahisi kuzimia (faint)

Pia wanaowahi kuja kuokoa wakizibua vibaya maji huingia na watu hukanyagana kutokana na kutaka kuokolewa haraka!

Tukio la precision rubani kafanya kazi yake. Vyema! Mengine ni uzembe wa rescue team!

Wavuvi wamefanya wanachoweza kujitolea! Uzembe ni kwa mamlaka za uokoaji!

Kwa ajali za kuruka na parachute bado abiria wanaweza toka wote kwenye Ndege angani! Lakini huku duniani wakaenda kutua juu ya mbuga ya wanyama kama hakuna msaada watakufa hata juu ya mchongoma!

Usafiri wa ndege ni salama angani! Kuna rubani namba moja, rubani namba mbili, Technician Fundi rubani namba tatu usalama ni mkubwa kwa waongozaji hata mmoja akilala.

Matatizo yapo huku chini duniani namna ya uokoaji!

Na baada ya kugundua hili ni tatizo maboresho ya kizazi cha ndege kuelea kinafanyiwa kazi, ili hata ndege ikifa angani yenyewe nzima nzima iwe na parachute la kuelea taratibu, na ikitua baharini iweze pia kuelea kama meli!!

Lakini kwa sasa tatizo kubwa ni uokoaji kwa wakati! Vifo vingi ni uzembe kwa waokoaji!
 
Taarifa kamili zitawekwa bayana, na uzuri ni kwamba rubani yungali hai...

Huenda ni hitilafu ya ndege yenyewe, huenda ni hali ya mbaya ya hewa, huenda rubani mkuu alipata tatizo la kiafya dakika chache kabla ya touch down n.k n.k

'Usafiri' wa ndege bado utabaki kuwa salama...
 
Katika masomo ambayo niliishia njiani ilikiwa kusomea urubani wa ndege!

Ndege ni chombo cha usafili kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!

Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!

Ndege ina injini zaidi moja, zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini nyingine kwa dharula!

Ajali ya precision air huko bukoba, Rubani kafanya kazi yake kwa usahihi kabisa!

Ndege inapoaanza safari huhifadhi oksjeni ya kutosha kulingana na ukubwa wa ndege!
Hewa hiyo ndiyo hutumika na abiria wawapo angani hadi wafikapo safari!

Ndege inapowashwa ndipo mitambo ya hali ya hewa kwenye ndege nayo hufanya kazi!
Ndege ikizimwa hata hewa hukosekana inakuwa sawa na chupa iliyofungwa!

Hivyo kama ndege hutegemea Hali ya hewa kupaa na kutua maana yake kazi ya rubani ni kuhakikisha anaipaisha au kuitua kulingana na Hall!
Tukio la precision linampa pongezi kubwa rubani kwamba baada ya halo kuwa mbaya!

Jambo la kwanza ilikuwa kuangalia yuko umbali gani kutoka ardhini! Karibu au mbali

Kama angekuwa juu sana na hali ikawa mbaya kutokana na hitilafu za chombo angeruhusu matumizi ya parachute watu wajiokoe!

Lakini kama yuko mbali na chombo no kizima lakini shida ni mawasiliano hupaswa kutua uwanja uliyokaribu au kurudi!

Shida ni hapo akiwa karibu na ardhini halafu halo ya hewa iwe mbaya ambayo kuendelea na safari angani haiwezekani na mawasiliano ni mabovu!

Njia pekee ya rubani katika hali hiyo ni kupunguza risk! Yaani kuhakikisha anaitua ndege porini, jangwani au ziwani/baharini!

Rubani wa precision alifanikiwa sana kutua ndege salama! Shida yoyote ambayo huhatarisha uhai katika mazingira hayo ni ukosefu wa huduma saidizi! (Poor rescue team with morden technology)

Kama nilivyosema hapo awali ndege hutegemea hewa iliyotoka nayo ili watu wapumue!
Sawa ikitua baharini kama hakujapasuliwa kioo hewa haipiti watu ni rahisi kuzimia (faint)

Pia wanaowahi kuja kuokoa wakizibua vibaya maji huingia na watu hukanyagana kutokana na kukosa kuokolewa haraka!

Tukio la precision rubani kafanya kazi yake. Vyema! Mengine ni uzembe wa rescue! Wavuvi wamefanya wanachoweza kujitolea! Uzembe ni kwa mamlaka za uokoaji!

Kwa ajali za kuruka na parachute bado abiria wanaweza toka ote kwenye Ndege angani! Lakini huku duniani wakaenda kutua juu ya mbuga ya wanyama kama hakuna msaada watakufa hata juu ya mchongoma!

Usafili wa ndege ni salama angani! Matatizo yapo huku chini duniani!
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100 yote uliyoandika...miaka 60 ya uhuru tunaokoa kwa kamba
20221106_135606.jpg
 
Huyu Rubani unayemsifia hapa Kapona?
 
...Ndege za Abiria hazibebi Parachute ndugu!
Zitaongeza TU Uzito. Ile Ndege kubwa kuliko Zote inayoweza kubeba Abiria Mpaka 450 hauwezi kubeba Tena Parachute 450 za Abiria! ZitaongezUzito TU!
 
Huyu Rubani unayemsifia hapa Kapona?
Kama kufa labda afe kwa kukosa msaada wa uokoaji!
Lakini kazi yake kafanya vyema!
Ikumbukwe ndege haina rubani mmoja, kuna rubani namba 1&2 na tatu ni fundi wa ndege!
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100 yote uliyoandika...miaka 60 ya uhuru tunaokoa kwa kambaView attachment 2408458
Mimi mwenyewe naona tunafail kwenye kujipanga na uokoaji yani tunafanya mambo kama tuko zama za 1920, hata boti zilizokuwa zimeizunguka hiyo ndege ni za wavuvi.

Ndege haikuanguka mbali sana na ufukweni kama kungekuwa na uokoaji wa maana basi hasara ya kwa uhai wa binadamu ingekuwa low.

Aisee sisi bado tunaishi zama zetu hili tukio limenishangaza nikawaza kama hapo karibu hali ni hii, ingekuwa katikati si ndio basi tena.
 
Ndege za abiria hazinaga parachuti..parachuti ni kwa ajili ya ndege vita na zile za michezo. Ndege za abiria zina maboya ya kuelea majini si parachuti
 
Katika masomo ambayo niliishia njiani ilikuwa kusomea urubani wa ndege!

Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!

Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!

Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini nyingine kwa dharula!

Ajali ya precision air huko bukoba, Rubani kafanya kazi yake kwa usahihi kabisa!

Ndege inapoaanza safari huhifadhi oksjeni ya kutosha kulingana na ukubwa wa ndege!
Hewa hiyo ndiyo hutumika na abiria wawapo angani hadi wafikapo safari!

Ndege inapowashwa ndipo mitambo ya hali ya hewa kwenye ndege nayo hufanya kazi!
Ndege ikizimwa hata hewa hukosekana inakuwa sawa na chupa iliyofungwa!

Hivyo kama ndege hutegemea Hali ya hewa kupaa na kutua maana yake kazi ya rubani ni kuhakikisha anaipaisha au kuitua kulingana na Hali!
Tukio la precision linampa pongezi kubwa rubani kwamba baada ya hali kuwa mbaya!

Jambo la kwanza ilikuwa kuangalia yuko umbali gani kutoka ardhini! Karibu au mbali

Kama angekuwa juu sana na hali ikawa mbaya kutokana na hitilafu za chombo angeruhusu matumizi ya parachute watu wajiokoe!

Lakini kama yuko mbali na chombo ni kizima lakini shida ni mawasiliano Basi hupaswa kutua uwanja uliyokaribu au kurudi!

Shida ni hapo akiwa karibu na ardhini halafu hali ya hewa iwe mbaya ambayo kuendelea na safari angani haiwezekani na mawasiliano ni mabovu!

Njia pekee ya rubani katika hali hiyo ni kupunguza risk! Yaani kuhakikisha anaitua ndege porini, jangwani au ziwani/baharini!

Rubani wa precision alifanikiwa sana kutua ndege salama! Shida yoyote ambayo huhatarisha uhai katika mazingira hayo ni ukosefu wa huduma saidizi! (Poor rescue team with morden technology)

Kama nilivyosema hapo awali ndege hutegemea hewa iliyotoka nayo ili watu wapumue!
Sawa ikitua baharini kama hakujapasuliwa kioo hewa haipiti watu ni rahisi kuzimia (faint)

Pia wanaowahi kuja kuokoa wakizibua vibaya maji huingia na watu hukanyagana kutokana na kukosa kuokolewa haraka!

Tukio la precision rubani kafanya kazi yake. Vyema! Mengine ni uzembe wa rescue!
Wavuvi wamefanya wanachoweza kujitolea! Uzembe ni kwa mamlaka za uokoaji!

Kwa ajali za kuruka na parachute bado abiria wanaweza toka ote kwenye Ndege angani! Lakini huku duniani wakaenda kutua juu ya mbuga ya wanyama kama hakuna msaada watakufa hata juu ya mchongoma!

Usafiri wa ndege ni salama angani! Kuna rubani namba moja, rubani namba mbili, Technician Fundi rubani namba tatu usalama ni mkubwa kwa waongozaji hata mmoja akilala,

Matatizo yapo huku chini duniani namna ya uokoaji!
Naomba niulize swali. Kwa nini, ukitoa ndege za jeshi, sijawahi sikia kuwa kuna ndege imeanguka ila abiria wote walitoka salama kwa parachute?
 
Zipo wanapona wengi tu! Tatizo kubwa watu kutokupatiwa msaada baada ya kupaa na parachute!

Ebu waza mtu hajawahi kubembea hata kwenye bembea Leo asavaivu angani pasipo msaada!
Kama ukitaka kunielewa vyema panda ghorofani chungulia chini ukiweza kumudu hofu Basi unaweza savaivu angani japo msaada ni lazima
 
Ulipoanza kuongelea parachute kwenye precision nikaacha kusoma hapo hapo...sio kila kitu cha kujifanya mjuaji mkuu..tusubir mamlaka husika ziseme neno,kuongea ongea kama unaangalia muvi ni kujitia aibu
Nadhani wewe ndo hujaelewa, ameanza kwa kutoa general knowledge kuhusu usalama wa ndege, then ndo akaja kuongelea specifically issue ya Precision. Hapa anayejifanya mjuaji ni wewe.
 
Naomba niulize swali. Kwa nini, ukitoa ndege za jeshi, sijawahi sikia kuwa kuna ndege imeanguka ila abiria wote walitoka salama kwa parachute?
Ndege za abiria zina life jacket pekee yake hakuna parachute kama Ndege vita. Inategemewa mara nyingi ndege ianguke kwenye maji kiusalama zaidi ambapo karibu 75%ya dunia ni imezungukwa na water bodies maji
 
Ndege za abiria hazinaga parachuti..parachuti ni kwa ajili ya ndege vita na zile za michezo. Ndege za abiria zina maboya ya kuelea majini si parachuti
Nimezungumza general, ulitaka nichambue mpaka aina ya ndege mkuu
 
Wanajeshi walifanya zoezi la utayari wiki kadhaa zilizopita. Wangefanya na zoezi la utayari wa kuokoa vyombo vinavyozama majini ili likitokea kama la leo lifanyiwe kazi kwa haraka.
 
Back
Top Bottom