Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

Miungu waliokuwa Kaanani ni hawa Baali(?????),,Kemosh,,Ashtoreth,,Milkam,,belzebul nk.Huyo El jina lake ni lipi? Na yupo kitabu Gani?? Unapomuingelea melkizedech unamuongelea yupi?? Maana unasema alimtambulisha Ibrahim kwa Mungu wa caanan!!! Unamuongelea Ibrahim yupi??? Au unatupa hadithi za sahihi Al buhar????
 
Hujajibu swali langu,,,Mungu wenu Allah Subhana Wataalah ana majina 99 na Al baal likiwa miongoni mwa majina yake,,,, nataka uyaorodheshe hayo majina 99 ya Allah Subhana Wataalah na unionyeshe kama ana hata Moja anajiita Elohim,,Adonai, Yahweh au Shadai.Kama huyajui uombe wasomi makini CHAMPION au Che mittoga nk wakusaidie.
 
Kama ndio hivyo basi quraan ni kitabu cha uongo. Quraan yenyewe inasema muhamad ndio muislam wa kwanza alafu hapa unakuja na Adam.
Mkuu hawa wazee wa kudandia dandia hawajui kitu nje ya kile wanachoambiwa na masheikh wao na ugumu mwengine ni lugha ya Quran kiarabu...Ndio maana wanaujua ukristo zaidi ya dini Yao ya kipagani.
 
😂😂,Ngoja nakuekea picha ya El mda si mrefu,,
Kuhusu melkzedeki hiyo ni title, kama ilivyo Farao au Abimelek,
Majina hayapo maana ni story za kutungwa, waliona wakiweka majina mtawakamata juu, watu wataangalia timeline,,
Ndo maana wanahistory wanadai mfalme solomon, Daud na sauli, hawakuwahi kuwepo maana majina yao yanakataa kufit kwenye historical timeline,,,
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230226-172130.png
    125.9 KB · Views: 11

Elohim,,Adonai, Yahweh au Shadai , nani alikuambia haya ni majina ya Mungu ?
 
Mkuu Che mittoga CHAMPION mgeni natumia simu na siwezi kucopy na kupaste kitu hapa jukwaani,,, naomba kama mmoja wenu atakuwa na nafasi atupatie aya hii ya Quran ''Muhamad akisema nimeamrishwa nimuabudu Mungu wa mji huu wa makka.""Na ndie alieabudiwa kwenye msikiti wa Al kaaba ambao wamebabaisha kusema eti!ndio wenye ubora na mwongozo wa ulimwengu(wa waislam)
 
Elohim,,Adonai, Yahweh au Shadai , nani alikuambia haya ni majina ya Mungu ?
Hayo ni majina ya Mungu wa wakristo na wayahudi aliemtuma Musa na Ibrahim ambae mnadai(kutokana na kutokujua ukweli)) kwamba alijenga msikiti wenu wa kipagani wa Al kaaba..Sasa nimetaka kupata uhusiano wa Mungu wenu Allah Subhana Wataalah kama anahusiana na Yahweh hata kwa majina,,labda kwa wakati huo mnaodai kwamba yeye aliwasiliana na Ibrahim,, alikuwa akitumia jina Gani katika hayo majina yake 99,,kukuongezea swali ni kwa nini Kuna makundi 99 ya majini na Allah Subhana Wataalah ana majina 99?? Na pia Allah Subhana Wataalah akaitaka ibada ya hao viumbe?? Wana mahusiano yoyote???
 
Tumekusikia Sasa jibu swali

Elohim,,Adonai, Yahweh au Shadai , nani alikuambia haya ni majina ya Mungu ?
 
Mkuu unasoma vitabu vinavyokumislead,,,habari za kuunga unga kama hizi nimeziona vitabu kama yashari ambavyo ni vya kutunga na vilivyojaa wishfully thinking... Yaani El ni Mungu wa kimagumashi Hadi picha zake zinapatikana??? Bila shaka alikuwa ni sanamu au jiwe,,,na Ibrahim ninaemjua Mimi alikuwa haabudu sanamu Wala mawe!!! Wala hahusiki kwenye project dhaifu ya kujenga Msikiti wa wasali uchi wa Al kaaba.Na mkumbuke huu msikiti ulipata ufa wakati wa Muhammad na ukarepewa,,,na jiwe lenu likahamishiwa mahali pazuri zaidi ndani ya huo msikiti wa Al kaaba...Soma vitabu sahihi ujue ukweli.Kwamba Musa au Ibrahim waliokuwa Jeddah huo ni uwongo mtupu na hauwezi kukubalika popote.. Na wewe una kalenda ya kiislam angalia Leo ni tarehe ngapi,, mwezi wa ngapi na mwaka wa ngapi???huo ndio umri wa uislam wenu.Hauna hata miaka 1500.
 
Kataa lakini ukweli ndio huo, israEl imebeba jina la mungu wa kipagani wa caanan,, mashujaa wa israel kina samwel, ezekiel, daniel, hazael, emanuel,, mikael, wote wanabeba jina la El. Caananite deity, 🤷🏻‍♂️hiyo ni historical proven,
Abraham siyo historical figure, ni ubunifu
 
Mkuu hizi dini usizungumzie kwa chuki wala ubaguzi kumbuka zimeletwa na wamissionary na Waarabu walipokuja kuchukua malighafi Afrika mimi siwezi kumchukia au kumbagua mtu kwa Dini yake najua historia yake jinsi ilivyosambazwa...
Mwislam akiwa jamii forum aanzishe mada zenye kufundisha uislam na walengwa wawe waislam wenzie,,Hapo sitatia neno lolote.Na nilitaka kusoma nitasoma TU kama Kuna kizuri Cha kunifaa...Labda nikitia neno ni kwa mkristo anaeleta uchokozi wa kuchafua maada.

Lakini mwislam yoyote Hana haki ya kuukashfu ukristo au biblia kwa sababu yoyote Ile.Na maada ikiwa ni ya dharau dhidi ya ukristo nitareact kama Calcium...Na reaction yangu haitomfurahisha muislam yoyote.

Newton third law of motion
""In every action there is an equal and opposite reaction""....

Yesu Kristo anasema
"'Kadiri utakavyomtendea mwenzio utalipwa kwa kipimo Cha kujazwa,,kusukwasukwa na kumwagika""

Kwa hio opposite reaction ya newton ni kubwa kuliko action.Na kama huamini,,, kama Upthrust ingekuwa equal au less than force inayoact downward ya meli,, lazima meli ingezama.
 
Hizi dini za kizungu na kiarabu zimekuingia sana kuliko hata waliozileta🙆🏼‍♂️
 
Mkuu Una wrong information kama walivyo waislam wenzio.Acha kuhangaika na ya jirani usioyajua,,,hangaika kuujua ukweli wa dini Yako.Kuna mengi hamyajui na mmefichwa.Na mko kwenye mission inayofanana na zombie apocalypse.Tafuteni muujue ukweli wa dini yenu... Ukristo ni jambo lingine tofauti na hakuna uhusiano wowote wa ukristo na uislam wenu,,, density zinatofautiana Kuna mmoja Yuko chini na mwengine Yuko juu..kama maji na mafuta.
 
Information ziko kwenye public domain, just hujui uangalie wapi,, binafsi nilishangaa sana kumbe habari za kina daud, solomon hekaya,,
Hebu nikuulize swali, ntajie Daud alikua mfalme mwaka gani,, himaya ya solomon ilikuA mwaka gani,
Usichojua kama abraham hakuwa really historical figure, dini tatu kubwa, zinapoteza umaana automatically
 
Hizi dini za kizungu na kiarabu zimekuingia sana kuliko hata waliozileta[emoji2301]
Hata na ndugu Yako Gavana ni mfia dini na mtu mchokozi sana.Hivi nyie hamna maada za kufundishana kuhusu dini yenu? Mbona saa zote mko na Ukristo TU.Anzisheni maada za kuhusu uislam wenu tutakaa pembeni.Nyie hamna haki ya kutupa lecture sisi.
 
Hata na ndugu Yako Gavana ni mfia dini na mtu mchokozi sana.Hivi nyie hamna maada za kufundishana kuhusu dini yenu? Mbona saa zote mko na Ukristo TU.Anzisheni maada za kuhusu uislam wenu tutakaa pembeni.Nyie hamna haki ya kutupa lecture sisi.
😁
 

Attachments

  • Screenshot_20230226-190424.png
    68.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230226-190524.png
    21.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20230226-190556.png
    27.3 KB · Views: 11
Tumeletewa dini hizi jitambue mazee...mimi pamoja na kuletewa dini hizi siwezi kukuchukia ukiwa toafuti na dini yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…