Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

[emoji16]
Washington post,,cnn,,msbn nk,,ni watu wasioupenda ukristo na baadhi Yao wameonekana kuwa na viashiria vya ukhanithi.Na nitamshanga yoyote anaeshirikia na hao wapumbaf watupu.Wazungu wengi wa kizazi hichi ni wapumbaf na hata hoja zao ni dhaifu na zenye Nia potofu.
 
Mkuu mimi sio Mfuasi wa mtu au kiumbe chochote. Mimi ni Mfuasi wa Mungu aliyeumba mbingu na Nchi
Mkuu ?
mimi naamini kuwa MUNGU na SHETANI WOTE WAPO NDANI YANGU,
Namaanisha ninaweza kuamua kuwa na roho wa mungu au wa shetani.

siamini kama MUNGU ni kiumbe ambaye anaishi nje yangu.
naamini pia kila mtu ndani yake kuna roho wa mungu na shetani.
Yaani kuna Mungu wa Yohana, MUngu wa Adolf hitler, Mungo wa Osama,Mungu wa Masanja na Mungu wa robert Hariel.

so we got multiple gods and goddesses

does that make me a God too?.
Do you mind if I treat myself as a gOD, A god that worship his own @ss , dont need sacrifice and offerings .

SWALI LANGU NI?
DO YOU MIND IF I CALL MYSELF gOD and treat others like gods and goddesses?
 
Hayo maelezo yanawafaa sana waislam wenzio wenye viji neno na maneno maneno.
😁,We jamaa bana, nimeshakwambia umekua brainwashed sana, hauna tofauti na wafia dini wengine,,
Siku ukijua ulikua unapoteza wakti, utajilaumu sana, na itakia ishakuwa too late,,
 
Mkuu,

Braza alikuwa sawa, na mimi nimeshasema hili mara kadhaa hapa.

Kuna dini zina tofauti kubwa, lakini si Uislamu na Ukristo.

Ukisoma dini kama Uhindu, Ubudha halafu ukalinganisha na Uislamu au Ukristo, unaona kabisa tofauti kubwa sana.

Tatizo watu wetu wengi hata hizo dini hawajazisoma hivyo, ndiyo maana wakisoma Ukristo na Uislamu wanaona tofauti kubwa.

Ukianza kuuliza nani kasoma Dhammapada, Uppanishad, Bhagavad Gita etc, unakuta watu hata hayo majina ya vitabu hawayajui, achilia mbali kusoma.
 
[emoji16],We jamaa bana, nimeshakwambia umekua brainwashed sana, hauna tofauti na wafia dini wengine,,
Siku ukijua ulikua unapoteza wakti, utajilaumu sana, na itakia ishakuwa too late,,
Sikatai kwamba Mimi ni mfia dini,,hio ni kweli kabisa.. Lakini siko brainwashed hata kidogo maana sijafungwa kuchagua chochote..Kitu ninachojua ni kwamba kile ninachoamini kimenijengea msingi na ninaweza kwenda kwa urefu wowote kusoma na kujifunza jambo lolote pasipo na kupotea au kupata identify nyengine.
 
Hakuna mahusiano kati ukristo na uyahudi wala ukristo na uislamu ila uhusiano uliokuwepo baina ya uislamu na uyahudi ni mmoja pekee nao ni dini hizi mbili zinaamini Mungu mmoja asiye na roho tatu , asiye na mwana wala baba wala roho.

Wayahudi Mungu wanamwita "Hashem" though ana majina mengi wanaamini kuna maisha baada ya kifo kabla ya swala wanaitana kwa adhana wao huiita "shema yisrael" wanasali mara tatu kwa siku na katika sala yao wanasimama, wanarukuu na wanasujudu pia .

Waislamu Mungu wanamwita "Allah" though ana majina mengi pia wanaamini kuna maisha baada ya kifo kabla ya swala wanaitana kwa adhan wanasali mara tano kwa siku na katika sala zao wanasimama , wanarukuu na kusujudu pia.

Wakristo hawafanyi hata kimoja kati ya hayo hapo juu na hata ukimsimamisha muistaeli /yahudi yeyote ukamuuliza kama ukristo unanasibihiana na uyahudi watakataaa na kupinga kwa herufi kubwa tu.

Mwisho
Inaonesha una elimu ndogo sana kwenye hata mambo nikishauri upitie historia ya ukristo kupitia

1. Soma kuhusiana na mkutano wa nicea.

2. Soma kuhusiana na calcedonian box.

3. Soma biblia za mwanzo kabisa iliyoandikwa kwa koinee greek na ukisoma biblia new version angali za kiingereza halafu angalia za kiswahili utaona kuna utofauti mkubwa mno.


Nina mengi ya kuandika ila muda mchache ila UACHE KUFUATA UPEPO SIT DOWN AND LEARN .
 
Nimepitia vitabu hivi vya kihindu

-Bhagavard gita
-upanishads
-mahabharata
-ramayana /valmiki ramayan
-vedas
-purana
-manusimriti

Unataka kusemaje? Labda? 🤔
 
Nimepitia vitabu hivi vya kihindu

-Bhagavard gita
-upanishads
-mahabharata
-ramayana /valmiki ramayan
-vedas
-purana
-manusimriti

Unataka kusemaje? Labda? 🤔
Kipi hujaelew kwenye post yangu?

Nimesema hivi, watu wengi wanaoona Uislamu na Ukristo vina tofauti kubwa sana, wanaona hivyo kwa kuwa wamekosa a larger perspective ya kujua dini nyingine (non Abrahamic kama hizo Hinduism na Budhism) ambazo zina tofauti kubwa kabisa ya kifalsafa na dini za ki Abraham.

Ni kama vile wewe na kaka yako Watanzania mliozaliwa baba mmoja mama mmoja mnavyoweza kujiona tofauti, lakini mkienda kuchunguza watu wengine wengi wa mbali nanyi duniani, mnajikuta kwamba kumbe zile tofauti zenu ni ndogo sana mkilinganisha tofauti zenu na watu wa mbali na kwenu.

Kwa hivyo, tukiangalia tofauti za Uislamu na Ukristo, ni muhimu kuziangalia kwa kujua muktadha mkubwa zaidi wa dini nyingine nyingi, ama sivyo tutaona tofauti za Uislamu na Ukristo ni kubwa, wakati dini zote hizi mbili zina mizizi kwenye Jewish Bible/ Old Testament na tofauti zake in the larger scheme of things ni ndogo.

Watu wasome zaidi ya Uislamu na Ukristo ili wapanue wigo wa mawazo yao na kuuona vizuri zaidi Uislamu na Ukristo.
 
Atakayekupinga ni mfia dini tu na asiyejua lolote zaidi ya kuririshwa

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Melkizedeki sio jina la mtu specifically,,
Melk=Malik =king=mfalme.
Zedek=rmtukufu.
Maana yake ni, "mfalme rmtukufu",,
Waandishi wametumia jina hilo kwani wametumia jina halisi, historical timeline ingewaumbua,
Ushahidi kwamba mungu wa caanan alikua El kabla hata ya Abraham,, ni baadhi ya watu wasio wazao wa yakobo kuwa namajina ya nayoishia na El,
IsmaEl
Azael mfalme wa aram.


History imeeleza wazi, El was a caananite deity
 
Popote unapoona wanataja, God the most high,, yaani Mungu alie juu basi elewa anaetajwa hapo ni El,,, hiyo ni common knowledge labda wewe uwe hajui,
Watu wa eneo hilo, Enzi hizo waliamini Mungu hukaa juu, ndo maana hata kule sumeria,, walitaka kujenga mnara wamfikie mungu huko mbinguni "Babel"
Au story za Moses akitaka kuongea na Mungu alipanda mlimani,
Bible imetaja pia, El Elyon as the most high God
 
Huu uzi hauko biased. Umeeleza ukweli wa hizi dini mbili. Ukristo umejiwekeza zaidi kwenye maslahi ya kidunia. Nadhani hii ni kutokana na wazungu kuubeba ukristo na kuutia mikono yao
 
Uislam ni dini ilikuwepo tokea kale. Uyahudi na ukiristo na hata ibada za masanamu zilitengenezwa kwa ajilo ya kuuzima uislam. Uislam ndo dini ya kwanza duniani tangu Adam (A.S)
 
Hauna Uzi wa hizi mambo na sisi tuongeze kitu mkuu?.
 
1. USIFANANISHE UYAUDI NA UKRISTO
UKRISTO NI WATU WOOTE WALIOKUBALI KUMFUATA KRISTO.

2. UYAUDI WALA UKRISTO HAUJAWAHI KUZAA UISLAMU.

UISLAMU ULIANZISHWA NA SHETANI(MNYAMA) PEMBE (ROMAN CATHOLIC) JESUIT MAJINI NA MAPEPO.

HAYA MAMBO KAMA HUYAJUI USIROPOKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…