Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

Policcm wanatia aibu yaani mtu ni mwanasiasa wanamchagulia aseme nini?
 
Kama alivyoamua March 17!!??
MUNGU ATAAMUA.....

MUNGU ANA NAMNA PEKEE YA KUAMUA KESI KAMA HIZI......KIPANDE KIDOGO CHA ARDHI KITAWEKWA TUTA LA KUMBU KUMBU YA KUDUMU ZA BAADHI YA MASHETANI WALIOJIVISHA UBINADAMU NA KUWAFANYIA USHETANI BINADAMU........

MUNGU ATAAMUA......
 
Ni nini maana ya Kiapo cha utii? Na ni nani hao wenye viapo vya utii? Samahani naomba ufafanuzi
 
Ni nini maana ya Kiapo cha utii? Na ni nani hao wenye viapo vya utii? Samahani naomba ufafanuzi
Kosa hili lilitungwa kuwalenga watu wanaohudumu katika vyombo vya ulinzi na usalama.

Mfano; Maofisa Usalama, Askari kwenye majeshi mbalimbali na Watumishi wa Serikali wanaohudumu chini ya viapo vya utii.
 
Ni mwanachama Malaya Malaya tu ndiye anayeogopa kukamatwa akiongea ukweli na ndio maana siasa nyingi zinakuwaga za msimu kwa kuwa wanaogopa kukamatwa. Hebu fikiria waasisi wa nchi nyingi za Afrika wangeogopa kusema ukweli tungekuwa wapi Leo? Acha kujifanya hamnazo wewe
 
Ujumbe mzuri na wenye afya,asante.
 
Sante sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Itakuwa mawakili wa serikali wamefanya makusudi ili kutoa loop holes, technicalities, indirect hawataki Lissu akutwe na hatia!!
Hata Polisi aina ya ukamataji waliyofanya ni makusudi ili kuonyesha jinsi serikali na CCM inatumia vibaya vyombo vya dola kuukabili upinzani. Mabomu na risasi za moto zilizotumika kwenye umati mkubwa watu vile zingeweza kuleta maafa makubwa. Wananchi wale walishahamaki na kumwambia Lissu asitii amri ya Polisi, ina maana Lissu angewaambia wale wananchi waanze kukabiliana na Polisi hali ingekuwa mbaya sana maana walikuwa tayari kwa lolote. Picha za mabomu yale zimetapakaa duniani kote hivyo kuthibitisha madai ya Chadema kuwa CCM inatumia vibaya jeshi la polisi kuinufaisha nyakati za uchaguzi.
 
Subiria kesi ianze kuunguruma,achana na betting

View: https://www.instagram.com/reel/DITCT-ngPiK/?igsh=cWxiZ2htcDdneTli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…