Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

S
Success never come from comfort zone. Kile kinachokupa wewe hofu mwingine kinamfurahisha na kumuimarisha.

Continue enjoying you comfort zone🤣🤣
Sawa kwani tunalingana malengo? Kipimo Cha success unacho? 😂😂

Yeye si anatafuta Urais? Aendelee kuusaka ila asituharibie amani yetu.
 
Ukiwa mwanasiasa inabidi uwe na akili zakukwepa mitego ya adui. Lissu anatumia mihemko ya uanaharakati kufanya siasa kitu ambacho kinamgharimu kijinga.
Mwenendo aliokuwa anaenda nao wenye akili wengi tulishaona na wengi waliandika humu kwamba atakamatwa.
Sasa kama wengine tunaona kabisa anaenda kukamatwa yeye hakuwa ana akili ya kuyaona haya? Labda chama kimemshinda akaona akitelekeze kwa kisingizio kwamba kawekwa gerezani na dikteta.
Umeanza vizuri, mwisho ukaonyesha umbumbumbu wako, sorry.
Unafikili Lisu mjinga, tuvute muda utaelewa kinachoendelea.
 
Sawa kwani tunalingana malengo? Kipimo Cha success unacho? 😂😂

Yeye si anatafuta Urais? Aendelee kuusaka ila asituharibie amani yetu.
Yeye na mimi na wengi bila shaka tunatafuta haki katika chaguzi zetu. Ccm itoe haki isituaribie amani yetu
 
Sawa kwani tunalingana malengo? Kipimo Cha success unacho? 😂😂

Yeye si anatafuta Urais? Aendelee kuusaka ila asituharibie amani yetu.
Amani inavurugwa na CCM kwa kuengua wagombea wa upinzani na mawakala wa upinzani na kuitawala tume eti ya kwao
 
CCM walishakatwa mishipa ya aibu muda mrefu,ndio maana hawaonagi aibu.Sasa hivi hakuna wa kuwakemea maana shetani ni mhuni kiukweli ametamalaki mioyo yao.Sisiemu kutenda uhuni na kusema uongo ni sifa.Kuna yule aliyesema kwenye jumba jeupe kuna shetani mzima mzima.Naomba ahojiwe huenda alikuwa na tafsiri pana sana.Mbowe alisema hata malaika akitoka Mbinguni akakaa Sisiem siku tatu atakuwa Ibilisi.
 
Serikali inaongozwa kwa ushauri wa Mkwe Bwana Mchengerwa!!
 
kama ni hivyo, usingeona viapo baada ya teuzi kwani si kila mwananchi anacho. Taratibu tutaelewana
Ila watanzania tuna ujuaji wa kipumbavu sana!! Raia yeyote wa kuzaliwa wa Nchi husika huwa na natural true allegiance kwa Nchi yake na yule anayeandikishwa ndo huapa. So ukizaliwa tu Tanzania tayari unapaswa kuwa mtii kwa Nchi yako sawa na Nchi zingine.
 
Sawa kwani tunalingana malengo? Kipimo Cha success unacho? 😂😂

Yeye si anatafuta Urais? Aendelee kuusaka ila asituharibie amani yetu.
Ukiwa kwenye comfort zone huwezi jua kipimo cha mafanikio Wala kujua maana halisi ya "amani" mpaka uzinduke hapo ulipo.

Rejoice and be glad in you comfort zone.

Usisikitike Kwa wale waliotoka kwenye comfort zone they are moving forward, hawaja ganda kama wewe 🤣🤣🤣
 
Watu wasijitoe ufahamu, zipo kauli ambazo lissu amezizungumza kwa mdomo wake ambazo hazina afya kwa taifa letu, let be fair!
Kauli za Lissu hazina afya Vs umewaza as if kichwa chako hakina afya. Am sorry to say that. Siku nyingine, comment bila kushurutishwa na mapenzi
 
Watu wasijitoe ufahamu, zipo kauli ambazo lissu amezizungumza kwa mdomo wake ambazo hazina afya kwa taifa letu, let be fair!
Uzizani watu wote ni kondoo kama wafuasi wa CCM ambao wamepevuka na kuwa chawa,
Kwani anayoongea Tundu Lissu ni uongo?
 
Ukiwa kwenye comfort zone huwezi jua kipimo cha mafanikio Wala kujua maana halisi ya "amani" mpaka uzinduke hapo ulipo.

Rejoice and be glad in you comfort zone.

Usisikitike Kwa wale waliotoka kwenye comfort zone they are moving forward, hawaja ganda kama wewe 🤣🤣🤣
Na wewe endelea kumenyeka
 
Back
Top Bottom