Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

Au siyo? Bila kutolewa Kisiasa kama Mwamba ataozea jela
Kwani kuozea jela kuna shida?

Makabulu walimfunga jela Mandela miaka 27 vipi Afrika Kusini haikukombolewa?

Wayahudi walimuua Yesu vipi Ukristo umekufa? kilitokea kitu gani baadae?
 
Kwani kuozea jela kuna shida?

Makabulu walimfunga jela Mandela miaka 27 vipi Afrika Kusini haikukombolewa?

Wayahudi walimuua Yesu vipi Ukristo umekufa? kilitokea kitu gani baadae?
Ilikombolewa na nani? Si aliacha ujinga wake wa kuwatimua na kuchukua Mali zao ndio akaachwa?

Watu wa dizaini ya Lisu hawajawahi komboa chochote hapa Duniani zaidi ya kutishia jela au kufa

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1910359679063949322?t=MpwaoJkwXMWFBQ-viN2Tyg&s=19
 
KKkwa

Kusema kweli Lisu anasema kama vile yeye ndiye anamiliki dola
 
Kinachoshangaza haya yote yanatokea kuelekea Pasaka.

Kipindi Wakristo wanaadhimisha Mateso ya Bwana Yesu. Hawajui wanamtengenezea picha gani Tundu Lissu kwa Wakristo.
Tutapiga spana. Kwelikweli kuanzia alhamis kuu mpaka pasaka.
 
Itakuwa mawakili wa serikali wamefanya makusudi ili kutoa loop holes, technicalities, indirect hawataki Lissu akutwe na hatia!!
That’s a possibility. Wananchi wamechoshwa na ccm hivyo any type of sabotage is plausible.
 
Wewe upo kundi gani? Je hutamani kula keki za kisiasa??
 
Umeelzezea vizuri sana ila kwa muktadha wa kuleta amani kwa kipindi hiki kueleka uchaguzi mkuu Lisu akae ndani atoke januari 2025
 
atanyea ndoo hadi uchaguzi upite
 
Watu wasijitoe ufahamu, zipo kauli ambazo lissu amezizungumza kwa mdomo wake ambazo hazina afya kwa taifa letu, let be fair!
Baada ya kumsikiliza TAL usikilize MOYO wako na USISIKILIZE TUMBO lako.........Kama wewe unakula kupitia uchawa bora ukae kimya....
 
Kwamba wewe matungunya una akili na kuijua sheria kumzidi Lissu? Uliona nini kama si ujinga na kujitia ujuaji

Mind set zenu zimakaa ki CCM kiuonezi ndo maana mtu akifanya kitu ambacho sheria haiwezi kumfunga wala kumuadhibu mazwazwa manona kua ni kosa kwa kua CCM na Serikali ilashawaset wajinga kama nyie kua kusema kitu ambacho akiwafuraishi serikali ni kosa

Mbona hukuliona hilo kwa makala, au kwa Kheri James, au kwa m Uvccm yule wa kule kagera?

Acha ujinga na ujuaji wa Kizwazwa
 
Baada ya kumsikiliza TAL usikilize MOYO wako na USISIKILIZE TUMBO lako.........Kama wewe unakula kupitia uchawa bora ukae kimya....
Nia ovu huwa hazitokei kwa bahati mbaya, mwizi hupanga kuiba mapema kabla ya tendo la wizi, Taifa line bahati sana,mungu ametenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…