Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

Yani nirudie tena kusoma
 
Alie record video na kusambaza lazima aliwe kichwa....
Hawa wawil wana makosa ila alie record video a nakosa zaid...

Shida atakayo sababisha ni kubwa kuliko faida....

Watu wata ogopa Kutibiwa kwenye hiyo hospital kwasababu ya ujinga wa mtu mmoja tuuu
 
Utamjua
 
Kuna Uzi asubuhi nimechangia nikasema chanzo cha tatizo ni Waziri na MSD. Ripoti ya CAG imekuwa ikieleza vifaa vilivyoisha Muda wake kuuzwa na MSD. Siku hizi vifaa vinanunuliwa na hospitali husika Kwa fungu wanaloletewa. Hao watu wa maabara wanapewa vifaa na Mtu wa store ambaye ndiye mwenye wajibu wa awali wa kujua vilivyoisha Muda wake na kujulisha viongozi wake.
Ukimsikiliza vizuri nesi utajua Wazi Hilo Jambo hapo linajulikana na wao hawawezi kubadilisha kitu. Yeye kapeleka sampo maabara zifanyiwe kazi, Mtu wa maabara kamrudishia jibu vifaa vilivyopo vilishaisha Muda. Nesi anamwambia tumia hivyo hivyo kwani wewe ndo profesheno Sana? Hii ina maana "Mbona wenzio huwa wanatumia? Mtu wa maabara anasema Mimi situmii wewe unanilazimisha nitumie, Nesi anaongeza usinipotezee Muda mweleze inchaji.
Kufikia hapo Nesi Hana amri Kwa Mtu wa maabara maana kazi yake ilikuwa kuchukua vipimwaji na kupeleka maabara vipimwe lakini akaambiwa vipimo vilivyopo kwisha habari yake, akashauri tumia hivyo hivyo Bwana!!
Hili alilokanusha Ummy ni kawaida ya wanasiasa wa Tanzania kusema uongo. Hata dawa kutotosheleza mahospitalini wanakataa lakini Wananchi wanaona.
 
Nimesema hilo ndo limeisha! Waziri kashakanusha kabla ya uchunguzi sasa kuna nini
 
RIPOTI YA UCHUNGUZI KUTOKA UMOJA WA WAUGUZI IMESEMA ROSE alikuwa sahihi kabisa! Arudishwe kazini
 
Rose kupandishwa cheo kwa kazi nzuri ya kusimamia miongozo kwa usahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…