- Thread starter
- #61
Wanarudi wote, na wanapangiwa vituo tofauti!Mimi sio muhusika lakn yule dada kosa lake n lipi wakati yeye sio incharge
Anyway tusubiri tuone yup atakaye rud kazinš¤š¤
Waziri tayali kashakanusha Wakati hata uchunguzi bado!
HAKUNA KIFAA KILICHOISHA MUDA WAKE NCHI NZIMA