Habari za asubuhi Viongozi,poleni kwa mtafaruku wa jana,kwa kifupi,ufuatiliaji uliofanyika jana na timu zote tatu kituoni hapo, ulibaini hakuna MRDT zilizo tumika hapo kituoni,kituo ,walikuta kit 41 ambazo zitaexpire April 2023 mtaalamu wa Maabara ndio alikuwa anazikataa kutumia hizo , na niyeye mtaalamu wa maabara aliyekuwa anachukua clip na aliwarushia wenzake amekiri na sio mara yake ya kwanza kuchukua clip kituo hapo ,lakini pia kuna chokochoko kati ya watumishi hao ni jambo ambalo lingeisha bila taharuki kama iliotokea.