Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

Unadhani hizo scenarios hazitumiki nchi nzima?

Ni vile hatuna utaalamu wa kugundua.

Ila suala la huduma ya afya tanzania ni bahati nasibu sana. Tunafanyiwa mengi tusiyoyajua.

Infact sioni kosa la huyo dada, incharge alitakiwa awe na taarifa na aondoe hivyo vifaa ila mpaka sasa vipo.
Ndo vile
 
Huko Supitalini kuna madudu mengi , acheni tu
 
Aliyerekodi hii video ni kijana wa Hovyo sana, mambo ya ndani yanatakiwa kubaki ndani.
 
Haya unaweza tu ukayasema KAMA VIFAA VILE HAVIJAMUUA MTU WA KARIBU SANA NA WEWE..!! Imejini, vimuuwe mkeo/mumeo/mama yako au baba yako etc..!! Vile vifaa vikitokea kumuuwa wa karibu yako, HUO USENGEFU ULIOUONA HUTAUONA WALLAH NAKUAMBIA..!!
Kila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela public
 
Kila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela public
Hapo ndo tunapochemka..!! Hivi unajua hata polisi wana namna ya kupokea taarifa kwa siri?? Hivi unadhani hadi yanafika hapo, WOTE HAPO HOSPITALI HAWAJUI KUWA MAKITU YAO YAMEEKSIPAYA???

Kama ni usahihi ungeanzia kwenye hayo madude kuondolewa kabla hali haijafika hivyo
 
Kila kitu kina incharge nadhani ingekua sahihi kutoa taarifa kwa incharge lakini pia sio sahihi kurekodi kwa siri mazungumzo yako na mfanyakazi mwenzako kisha kuyawela public
Tungejuaje Si miaka yote ni siri, mengine Mungu inabidi ayaruhusu yatokee! Ili msilaumu kwa kusema ni mapenzi yake kumbe ni ezembe wa binadam
 
Hapo ndo tunapochemka..!! Hivi unajua hata polisi wana namna ya kupokea taarifa kwa siri?? Hivi unadhani hadi yanafika hapo, WOTE HAPO HOSPITALI HAWAJUI KUWA MAKITU YAO YAMEEKSIPAYA???

Kama ni usahihi ungeanzia kwenye hayo madude kuondolewa kabla hali haijafika hivyo
Kweli kabisa
 
Habari za asubuhi Viongozi,poleni kwa mtafaruku wa jana,kwa kifupi,ufuatiliaji uliofanyika jana na timu zote tatu kituoni hapo, ulibaini hakuna MRDT zilizo tumika hapo kituoni,kituo ,walikuta kit 41 ambazo zitaexpire April 2023 mtaalamu wa Maabara ndio alikuwa anazikataa kutumia hizo , na niyeye mtaalamu wa maabara aliyekuwa anachukua clip na aliwarushia wenzake amekiri na sio mara yake ya kwanza kuchukua clip kituo hapo ,lakini pia kuna chokochoko kati ya watumishi hao ni jambo ambalo lingeisha bila taharuki kama iliotokea.
 
Back
Top Bottom