- Thread starter
- #21
Huenda kulikuwa na mgonjwa mwingine amekaa kwenye kiti ndiye aliyewarekodiHuyo aliyerecord video anakesi ya kujibu. Huyo hajui ethics za kazi?
Unapobaini kuna dawa zimeisha muda wake, kama mfanyakazi nenda kwenye uongozi husika. Sasa unakimbilia kuchukua video na kurusha mtandaoni.
Angefanya hivyo mwananchi wa kawaida hapo sawa.