LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
..kwa kuanzia tukubaliane kwamba Wabunge wote wa Ccm hawafai.

..hakuna ubishi ktk hilo kama umefuatilia ziara ya Makonda.
Hili ni asilimia 100. Maana aliyewachagua naye pia alikuwa hivyo hivyo.

Ndege wafananao
 
Hili ni asilimia 100. Maana aliyewachagua naye pia alikuwa hivyo hivyo.

Ndege wafananao

..kila mahali wananchi wanalia na nchi hii haijawahi kuongozwa na chama tofauti zaidi ya Ccm.

..kwa hiyo vilio vyote anavyokutana navyo Makonda ni matokeo ya uongozi mbaya wa Ccm.

..Na sasa hivi Ccm wameshika nchi ktk ngazi zote za uongozi.
 
Nyie ni wakupuuzwa kama watu wa vijijini wanaochangia kisima kimoja na mifugo, madiriko makubwa ya kila nchi uanzia miji mikubwa lkn nyie mkiambia toka nje mdai haki zenu mnaogopa kutoka nje ka zeruzeru anaogopa jua, endelea kukaa ndani na hiyo ndio haki yenu, washeni vibatari hata mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…