Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yawezekana una zaidi ya schizophrenia wewe 😂Unataka nikuwekee picha ya mchawi?
Nikiiweka utaamini?
Au utanambia nina schizophrenia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana una zaidi ya schizophrenia wewe 😂Unataka nikuwekee picha ya mchawi?
Nikiiweka utaamini?
Au utanambia nina schizophrenia?
Picha inathibitishaje huyu ni mchawi na hujaiokota tu kwenye internet au si babu yako umemvalisha tunguli?Unataka nikuwekee picha ya mchawi?
Nikiiweka utaamini?
Au utanambia nina schizophrenia?
Kuna kijiji kimoja huko ndani ndani Tanzania, ukizima taa ukilala tu unaanza kuona watu wanatembea ndani ya chumba.Uliwaona wapi wewe hao wachawi wakiingia na kutokomea ukutani?
You are funny AF [emoji1787][emoji1787]
Kijana mbona muoga sana wa maswali ? Swali langu halina makadirio hayo,bali uhalisia.Swali lako la "nani" lina assume kwamba, ulimwengu ni lazima umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote mwenye nafsi
Usijitoe ufahamu,suala la ithibati juu ya uwepo wa Mola muumba hili nimeshalifanya,na hukuweza kukosoa ushahidi wangu. Hili nilishalimaliza zamani. Kazi imebaki kwako kutithibitishia ya uwa Mola hayupo. Na ituambie huu ulimwengu imekuwaje ukawepo.Wakati huna ushahidi wala uthibitisho wowote.
🤣🤣Kuna kijiji kimoja huko ndani ndani Tanzania, ukizima taa ukilala tu unaanza kuona watu wanatembea ndani ya chumba.
Usiniambie nimerukwa na akili. Nina akili zangu timamu kabisa wala siugui ugonjwa wowote.
I have seen people walking around the room at night, na ukiwakurupusha wanakimbia na unawasikia.
I don't have schizophrenia please.
Niko timamu vibaya sana!
Swali langu liko wazi sana,kama unavyo hoji wewe kwamba kwanini isiwe "nini ?" na ikawa "nani ?". Nikakuuliza kwanini uulize "nini ?" . Hujajibu swali hili,bali hata kutupa ishara ya kwanini iwe "nini ?". Ukijibu swali hili naacha huu mjadala.Hujauliza swali lililo open ili ujue jibu.
Thibitisha hili,ukiweza na mimi nitakuwa na fikra kama zako.Huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni hadithi tu, kiuhalisia hayupo.
Nini ni more inclusive.Swali langu liko wazi sana,kama unavyo hoji wewe kwamba kwanini isiwe "nini ?" na ikawa "nani ?". Nikakuuliza kwanini uulize "nini ?" . Hujajibu swali hili,bali hata kutupa ishara ya kwanini iwe "nini ?". Ukijibu swali hili naacha huu mjadala.
Kwanini unasema Uongo ?Ndiyo maana mpaka sasa hujaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo, na wala hujaweza kuondoa contradictions katika dhana ya uwepo wake.
Tuanze polepole, ili tusije kuzunguka palepale.Thibitisha hili,ukiweza na mimi nitakuwa na fikra kama zako.
Nilishawahi kukwambia ututhibitishie ya kuwa hizi ni hadithi,hili swali ulishindwa. Sasa huwanakushangaa kwanini unajadili hizi mada ambazo huwezi kuthibitisha unayo yaegemea ?
Hapa umeonesha kuchanganya mambo.Kwanini unasema Uongo ?
Nakuthibitishia tena ya kuwa Mola yupo.
Anasema Allah mtukufu :
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?
36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Tur : 35 - 36)
Sasa kosoa huu uthibitisho kwa kujibu swali hilo.
Mzee jibi swali nililo kuuliza. Set ni makubaliano ya wana mahesabu,naongelea uhalisia mzee.Nini ni more inclusive.
Imebebe nani.
Nani ni subset ya nini.
Tatizo hujasoma set theory hivyo huelewi subset ni nini.
Kwanini umeamua kupoteza muda na kuacha kujibu maswali marahisi. Jibu maswali niliyo kuuliza,usikimbie maswali.Tuanze polepole, ili tusije kuzunguka palepale.
Swali la kwanza.
Kuna uwezekano wowote wa hoja yoyote yenye kuweza kukufungua mawazo kujengwa, ikakufanya ubadikishe imani kuhusu maoni yako kwenye suala la uwepo wa Mungu?
Kuna uwezekano wowote ukakubali Mungu hayupo ukieleweshwa vizuri ukaelewa?
Au umeshupaa kabisa kiasi kwamba hata kabla ya kuelezwa lolote ushahitimisha Mungu yupo, na chochote utakachoambiwa, hata kiwe na mantiki vipi, hakitaweza kukufanya ubadili mawazo yako?
Onyesha kama mahubiri si uthibitisho. Niambie kilicho andikwa kwenye aya ni uhalisia au siyo uhalisia ?Hapa umeonesha kuchanganya mambo.
Unafikiri mahubiri ni uthibitisho.
Mahubiri si uthibitisho.
Thibitisha, usihubiri.
Mahubiri yako wapi hapo ?Thibitisha, usihubiri.
Aya zako ni za logical non sequitur.Mahubiri yako wapi hapo ?
Niambie maana ya tamko "Mahubiri". Maana ya mahubiri kwa haraka ni jina kwalo huwaita watu katika jambo fulani.
Aya imeuliza swali na kuthibitisha,ili uwe mkweli ulitakiwa ukanushe kilicho andikwa kwenye aya na uweke usahihi wako.
Kwa sababu inawezekana wewe ni mfiadini uliyeamua kwamba hata ukioneshwa Mungu wako ana contradiction hutakubali.Kwanini umeamua kupoteza muda na kuacha kujibu maswali marahisi. Jibu maswali niliyo kuuliza,usikimbie maswali.
Kitabu kinathibitisha uchawi upo au kinaongelea watu waliofanya desturi za kichawi?Soma kitabu kinaitwa "Witchcraft at Salems"
utaelewa.
Kumbe ulitaka nithibitisheje?
Niweke kinyesi ama?
Sasa wakuu kitu chochote kinachohusisha mambo ya imani inategemea na imani ya mtu pia, huwezi mlazimisha mtu aamini kitu ambacho hataki kukiamini pengine hata umpe uthibitisho na ushahidi anaweza asiamini.Swali langu liko wazi sana,kama unavyo hoji wewe kwamba kwanini isiwe "nini ?" na ikawa "nani ?". Nikakuuliza kwanini uulize "nini ?" . Hujajibu swali hili,bali hata kutupa ishara ya kwanini iwe "nini ?". Ukijibu swali hili naacha huu mjadala.