Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

WC,

Watoto wa Kiislam na Waislam.

Mara ya mwisho kuangalia matokeo ya Mitihani ilikuwa lini? Sijui unaposema watoto wenu hawafaurishwi una ushahidi gani

Mwaka 2011 matokeo ya kidato cha nne kwa baaadhi ya shule zenye watoto wengi wa Kiislamu na wa Kikristu

St. Mary Mbeya

[h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 317 FLD = 277(watoto wa Kikristu na Kiislamu wamefeli vibaya)[/h]
[h=3]P3621 POPE JOHN PAUL II CENTRE

[/h]
[h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 13 FLD = 30 [/h]

[h=3]S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL

[/h][h=3]DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0(chungulia uone majina ya mabinti wa Kiislamu wakifaulu na kupitishwa na NECTA kama ugomvi...)[/h]

[h=3]TAQWA SECONDARY SCHOOL

[/h]
[h=3][/h][h=3]DIV-I = 8 DIV-II = 24 DIV-III = 58 DIV-IV = 167 FLD = 4 [/h]
Naomba nikutajie wale wenye division 1 kutoka hii shule; ni muhimu kwangu kwani mdogo wangu (mkristu) alisoma hapa na hakufaulu (sijui ni kwa sababu ya dini yake???)

Evelyn Turab
Neema Danny
Revina Respiqus
Cathbert Shija
Deusdedit Daud
Festo Mathias
Leonard Sheka Justin
Mustapher Amani


Sasa hapo unaweza ukabaki na maswali mengine mengi tu...

Sasa hawa watoto wa Kiislamu wenye kufaulu katika shule mbalimbali hata zile za Wakristu; wanapita vipi kwenye NECTA hiyo hiyo? Je ni wakati gani baraza la mitihani litapata baraka ya kuweza kufelisha watoto wa Kiislamu na Wakristu bila kuonekana inaangalia dini? Je wanaruusiwa kuangalia matokeo tu?




 
Hata Osama alikuwa anapendwa sana na Waislam. Alikuwa anaua wasio na hatia kwa kutumia jina la Mungu!

Ameua kuzidi hawa Wakatoliki safi Adolf Hitler, Pol Pot, au Tito.
 
Ameua kuzidi hawa Wakatoliki safi Adolf Hitler, Pol Pot, au Tito.
Hawa walikuwa watawala wa nchi zao. waliua raia wao, wa dini zao. Halafu Josip Bros Tito unamwonea. Osama alikuwa anaua "In the Name of God"!
 
Hawa walikuwa watawala wa nchi zao. waliua raia wao, wa dini zao. Halafu Josip Bros Tito unamwonea. Osama alikuwa anaua "In the Name of God"!

......

Ha haa ha! Kwa hiyo wakiuwa raia wao hakuna tatizo kwenye Ukirsto.

Na Leopold II Mkatoliki safi aliwauwa wa Congo zaidi ya milioni 8 walikuwa raia wake.
 
Mbona hauko karibu na Mufti, Sheikh Shabaan bin Simba, au Alhad Musa Salum, Sheikh wa mkoa wako wa Dar Es Salaam!

........

Hao ndiyo wanafiki na mawakala wa mfumo kirsto.
 
Mkuu kila anaeandika kitabu huwa amefanya utafiti?
 

MM,

Sina ugomvi na hayo uloweka hapo juu.
Yapo mengi na serikali iko kimya.
 
WildCard,
Vipi Benito Mussolini, alikuwa anapenda kuvaa msalaba alikuwa Mkatoliki sana?
 
Last edited by a moderator:

Kwi kwi kwi teh teh teh, kumbe ilikuwa si "one man show"!
 



So,kwa takwimu hizo ndizo zatosha kwako kuzifanyia justification na conclusion ili kuuaminisha ummah?

yapo mengi sana yaliyofichwa..
 


Mwanamke wa kiislam hawez kuolewa na mwanaume ambaye si muislam..
Ila mwanaume wa kiislam kwa hekima anaweza kumuoa mwanamke ambae si muislam kwa sharti ya kwamba huyo mwanamke awe anamuamini mungu mmoja tuh,nae ni yule muumba wa mbingu na ardhi.,i.e huyo mwanamke awe ni mfuasi wa ibrahimic religions which belives in monotheithsm of god,
we huna wa kumwongopea hapa,wewe kama si muislam na huyo mkeo bila shaka hafit kwenye principles za uislam,lazima utakua ushamtoa kwenye mstari ulionyooka..
 
Yalete hapa hayo mengine yakudhihirisha hujuma za NECTA kwa watoto wa kiislamu

Anza kwanza wewe kututhibitishia uhalali wa kumwita nyerere baba yako mzazi ili hali wana familia kama kina Adrew nyerere wanakukana waz waz,twende ngazi kwa ngazi,
haya anza basi kuutoa huo uthibitisho kwa manufaa ya jukwaa hili na mada hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…