Nyerere kaondoka mamlakani katuacha 85% literacy rate. Tanzania tukisifika kwa hilo. Leo imeshuka mpaka 60% ya wanafunzi wetu shule za sekondari wanafeli. Naona Kikwete ameamua kutufanya Watanzania tuwe wachota maji na wakata kuni kwa marafiki zake wazungu ambao anawagawia nchi kama njugu. Lakini kama nilivyosema, tuko macho.
Sisi twasinga mbele wewe endelea na kuota na pombe zako za ngomani
Mbona hii dhana ya kutumia majina badala ya namba tumeshathibitisha hapa JF kuwa ni uwongo? Aliyeandika hii ripoti anahitaji kufanya masahihisho na kuwaomba msamaha wasomaji wake. Kwa sababu ukirudia uwongo mara kwa mara watu wanaanza kuamini kuwa ni kweli.
Mwaka gani ulikuwa unakaa naye jirani na alikuwa anafanya biashara gani.[/QUO
80,s. MS keshasema alikuwa na duka swahili,infact i went to school with one of his sons
Spike,
Wapi ulikuwa?
KARIBU.
Siyo serikali ya Kikwete!Jasusi,
Wa kujibu ni Wizara ya Elimu.
Waislam shutuma tulizielekeza kwao.
Hadi leo wako kimya.
Kwani anaemkingia mkapa asipelekwe the hag ni pengo au mfumo ccm? Kwann mnapenda kuwatwika mizigo wakatoriki?Mkapa atapelekwaje The Hague wakati ni kipenzi cha unaemwamini K. Pengo
Hisia tu ndo zimejaa kwenye hiyo paper
Ushahidi hakuna
Siyo serikali ya Kikwete!
Hili la namba tulishalifunga maana hakuna mahali, utafiti au simulizi lililoweza kubainisha namba zilianza kutumika lini.
Sidhani kama wizara inaweza kujibu kila kitu hata kama ni upuuzi.
Matokeo yametoka, je kuna mfumokristo wowote kwa mtazamo wako!
Je, kuongea jambo la ''shaka'' au lisilothibitika ni mafunzo ya dini ya kiislam?hamed Said;5743383]R,
Hapa tulipofikishwa Waislam swali la ushahidi si jambo muhimu sana
kwetu.
Sisi tunachofanya kama unavyonisoma hpa JF ni kueleza mambo kwa
upande wetu ili dunia ijue hali ya nchi yetu ikoje
Mohamed kuna wanafunzi wa chuo kikuu kimoja wamefanyiwa interview na kugundulika kuwa hawajui Africa ipo wapi. Wote walionyesha Great Britain na wengine kuonyesha sub continent India.Mathalan leo hii kote nilipopita kuna waliokuwa wanadhani Tanzania ni
nchi ya Kikristo
Uwezakano wa kushtuka ni mkubwa sana maana katika vitabu vya historia za dunia wapo akina Gandhi, Nassa, Huari Boumedien, Mandela, Tambo, Jose Bro Tito, Indira Gandhi, Mahathir Mohamed,Nyerere,Tawafawa Balewa, William Tolbert na wengi wengineo, sasa unaposikia jina la Binti Mtumwa ni lazima ashtuke mtuSasa waliposikia nahadhir historia ya uhuru nataja majina ya akina Sheikh
Hassan bin Amir...
Walipigwa na mshangangao mkubwa...
Hata maswali yao kwangu yakachukua mwelekeo mwingine.
Na hivi ndivyo ninavyofanya hapa kukuelezeni kile ambacho
hakuwa mkikijua kabla
Haki unajinyima pale unapohubiri inferiority complex, pale unapodhani historia inatoa dira badala ya ku-reflect na pale unapoamini ubora zaidi kuliko mtu mwingine. Haki unaikosa pale unaposhindwa kuitazama nafsi yako na kujitathmini wapi umekwama na ufanye nini. Haki unajinyima pale unapoidhulumu nafsi yako kwa kutoiambia ukweli huku ukitafuta ukweli usiokuwepoInsha Allah utafika wakati tutazungumza kama watu wenye haki
sawa katika nchi hii yetu
Mohamed ushahidi ungekuwpo ungeshatolewa, kwani si una ushahidi wa research ya Warsha? Mbona husiti kuongelea lakini mwingine unasubiri wakati.Haya niandikayo hapa ndiyo yatakapokuwa na umuhimu na ushahidi
utaletwa
Maswali;Sanderson Beck said:Germans negotiated a treaty with the English in London in October 1886 that divided East Africa into a British sphere of influence in the north and a German sphere in the south with the one degree south latitude line passing through the center of Lake Victoria and then angling southeast just north of the Kilimanjaro peak to the coast.
Zanzibar's claims to the coast were reduced from a forty-mile belt to ten miles and were leased to the Imperial British East Africa (IBEA) Company in the north and to Germany in the south. The Gesellschaft für Deutsche Kolonisation delegated its authority to Peters who formed the German East Africa Company. Giesecke went as a trader for a Hamburg firm to Tabora in 1886, but he was murdered by Mirambo's successor, Isike. On December 30 Germany and Portugal declared the Ruvuma River as their border in East Africa.
On May 25, 1887 Hauptmann Leue on a warship arrived at Dar es Salaam and took over the house of the Arab liwali as his residence. Sultan Barghash bin Said al-Busaid died on March 26, 1888 and was succeeded by his younger brother Khalifa. On April 28 he let the Germans take over the administration of all his territory between Umba and Ruvuma, though his sovereign rights were supposed to be respected. Germans quickly began taking over customs at all the ports.
Zelewski arrived at Pangani in August and replaced the Sultan's flag with the flag of the German Company. This and other incidents violated the agreement, and Abushiri ibn Salim al-Harthi organized resistance. On the night of January 17, 1889 his supporters attacked the German fort at Dar es Salaam, but eight days later they were defeated. However, Germans were forced to evacuate Mikindani and Lindi. Chancellor Bismarck justified military intervention as putting down slave trade, and British ships helped blockade the coast.
He appointed Hermann Wissmann as Imperial Commissioner, and he recruited 600 Sudanese from Cairo, 50 Somalis from Aden, and 350 Zulus from Mozambique.
Askari wa Kizulu na bendera ya Mjerumani.
Wissmann established his headquarters at Bagamoyo only six miles from Abushiri's camp at Sanganzeru. He repudiated the armistice the Germans had made with Abushiri and routed his forces in May. Wissmann built a fort at Mpwapwa. Abushiri retreated inland and recruited 5,000 Maviti from the Yao and other tribes. They marched on Bagamoyo in October, but Abushiri was defeated again and fled. He was caught and hanged at Pangani on December 15. Wissmann then regained Kilwa, Lindi, and Mikindani.
Upuuzi linatokana na neno puuza (ignore). Mtu akisema namba ndicho chanzo halafu tukauliza zilianza kutumika lini na kujibiwa wizara ndiyo inajibu hatuna jingine ila ku-ignore.N,
Hili neno ''upuuzi'' unalipenda sana.
Upuuzi linatokana na neno puuza (ignore). Mtu akisema namba ndicho chanzo halafu tukauliza zilianza kutumika lini na kujibiwa wizara ndiyo inajibu hatuna jingine ila ku-ignore.
Duh, kuna watu wanakesha humu, hawalali...wanakesha wakilishwa na kumeza ngano za mchochezi Mohamed Said bila hata maswali. Hebu pitieni haya maandiko halafu mjiulize maswali yatakayotolewa hapo chini;
Maswali;
- je hawa wazulu wanaotajwa hapa ndio ukoo wa Sykes?
- Kama jibu ni ndiyo, je ndio walioshiriki katika kuwaua Watanganyika chini ya Wajerumani?
- Kama jibu ni ndiyo, huko Burma wazo la uhuru liliwajia kutoka mikononi mwa nani...Wajerumani au Waingereza?
- Kama jibu ni Wajerumani, hayo mawazo waliyapata kama Watanganyika au mamluki?
- Kama jibu ni mamluki, ni lini walipata uraia wa Tanganyika?
- Baada ya Wajerumani kushindwa, kwa nini hawakurudi/hawakurudishwa walikotolewa?
MoJe, kuongea jambo la ''shaka'' au lisilothibitika ni mafunzo ya dini ya kiislam?
Mohamed kuna wanafunzi wa chuo kikuu kimoja wamefanyiwa interview na kugundulika kuwa hawajui Africa ipo wapi. Wote walionyesha Great Britain na wengine kuonyesha sub continent India.
Kuna watu wanajua Mreno alitawala Tanganyika na wengine wanajua kuwa Nyerere alikuwa rais wa Africa kusini.
Wapo wanaojua kuwa South Africa ndio Africa.
Kwahiyo inategemea unakutana na watu wa aina gani.
Uwezakano wa kushtuka ni mkubwa sana maana katika vitabu vya historia za dunia wapo akina Gandhi, Nassa, Huari Boumedien, Mandela, Tambo, Jose Bro Tito, Indira Gandhi, Mahathir Mohamed,Nyerere,Tawafawa Balewa, William Tolbert na wengi wengineo, sasa unaposikia jina la Binti Mtumwa ni lazima ashtuke mtu Haki unajinyima pale unapohubiri inferiority complex, pale unapodhani historia inatoa dira badala ya ku-reflect na pale unapoamini ubora zaidi kuliko mtu mwingine. Haki unaikosa pale unaposhindwa kuitazama nafsi yako na kujitathmini wapi umekwama na ufanye nini. Haki unajinyima pale unapoidhulumu nafsi yako kwa kutoiambia ukweli huku ukitafuta ukweli usiokuwepoMohamed ushahidi ungekuwpo ungeshatolewa, kwani si una ushahidi wa research ya Warsha? Mbona husiti kuongelea lakini mwingine unasubiri wakati.
By the way, Mohamed unaweza kutuwekea kwa ufupi utafiti wa Warsha ulioufanya na wenzio.
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.