Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nyerere kaondoka mamlakani katuacha 85% literacy rate. Tanzania tukisifika kwa hilo. Leo imeshuka mpaka 60% ya wanafunzi wetu shule za sekondari wanafeli. Naona Kikwete ameamua kutufanya Watanzania tuwe wachota maji na wakata kuni kwa marafiki zake wazungu ambao anawagawia nchi kama njugu. Lakini kama nilivyosema, tuko macho.

Ohooo, naongelea mbingu unaongelea ardhi.
 
Mbona hii dhana ya kutumia majina badala ya namba tumeshathibitisha hapa JF kuwa ni uwongo? Aliyeandika hii ripoti anahitaji kufanya masahihisho na kuwaomba msamaha wasomaji wake. Kwa sababu ukirudia uwongo mara kwa mara watu wanaanza kuamini kuwa ni kweli.

Jasusi,

Wa kujibu ni Wizara ya Elimu.
Waislam shutuma tulizielekeza kwao.

Hadi leo wako kimya.
 
Jasusi,

Wa kujibu ni Wizara ya Elimu.
Waislam shutuma tulizielekeza kwao.

Hadi leo wako kimya.
Siyo serikali ya Kikwete!

Hili la namba tulishalifunga maana hakuna mahali, utafiti au simulizi lililoweza kubainisha namba zilianza kutumika lini.
Sidhani kama wizara inaweza kujibu kila kitu hata kama ni upuuzi.

Matokeo yametoka, je kuna mfumokristo wowote kwa mtazamo wako!
 
Mkapa atapelekwaje The Hague wakati ni kipenzi cha unaemwamini K. Pengo
Kwani anaemkingia mkapa asipelekwe the hag ni pengo au mfumo ccm? Kwann mnapenda kuwatwika mizigo wakatoriki?
nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba rais muslim viongozi wote wakubwa wa juu muslim tatizo ni nn?
Na kama kungekuwa na kulindana na mfumo kristo leo hii spika na naibu wake wote wagalatia wasingesulubiwa namna hiyo.
Ila kwa ndugu zetu waislam kama spika na naibu wake wangekuwa wa iman yao ungesikia kuwa hawa wanachukiwa na wakristo kwa sababu ni waislam.
Kwa wakristo hilo hakuna mfatilie mzee mm yeye haangalii dini ya mtu anawachana tu.
 
Hisia tu ndo zimejaa kwenye hiyo paper

Ushahidi hakuna

R,

Hapa tulipofikishwa Waislam swali la ushahidi si jambo muhimu sana
kwetu.

Sisi tunachofanya kama unavyonisoma hapa JF ni kueleza mambo kwa
upande wetu ili dunia ijue hali ya nchi yetu ikoje.

Mathalan leo hii kote nilipopita kuna waliokuwa wanadhani Tanzania ni
nchi ya Kikristo.

Sasa waliposikia nahadhir historia ya uhuru nataja majina ya akina Sheikh
Hassan bin Amir...

Walipigwa na mshangangao mkubwa...
Hata maswali yao kwangu yakachukua mwelekeo mwingine.

Na hivi ndivyo ninavyofanya hapa kukuelezeni kile ambacho
hamkuwa mkikijua kabla.

Kwetu si lazima muamini.

Insha Allah utafika wakati tutazungumza kama watu wenye haki
sawa katika nchi hii yetu.

Haya niandikayo hapa ndiyo yatakapokuwa na umuhimu na ushahidi
utaletwa.
 
Siyo serikali ya Kikwete!

Hili la namba tulishalifunga maana hakuna mahali, utafiti au simulizi lililoweza kubainisha namba zilianza kutumika lini.
Sidhani kama wizara inaweza kujibu kila kitu hata kama ni upuuzi.

Matokeo yametoka, je kuna mfumokristo wowote kwa mtazamo wako!

N,

Hili neno ''upuuzi'' unalipenda sana.
 
Mo
hamed Said;5743383]R,

Hapa tulipofikishwa Waislam swali la ushahidi si jambo muhimu sana
kwetu.

Sisi tunachofanya kama unavyonisoma hpa JF ni kueleza mambo kwa
upande wetu ili dunia ijue hali ya nchi yetu ikoje
Je, kuongea jambo la ''shaka'' au lisilothibitika ni mafunzo ya dini ya kiislam?

Mathalan leo hii kote nilipopita kuna waliokuwa wanadhani Tanzania ni
nchi ya Kikristo
Mohamed kuna wanafunzi wa chuo kikuu kimoja wamefanyiwa interview na kugundulika kuwa hawajui Africa ipo wapi. Wote walionyesha Great Britain na wengine kuonyesha sub continent India.
Kuna watu wanajua Mreno alitawala Tanganyika na wengine wanajua kuwa Nyerere alikuwa rais wa Africa kusini.
Wapo wanaojua kuwa South Africa ndio Africa.
Kwahiyo inategemea unakutana na watu wa aina gani.

Sasa waliposikia nahadhir historia ya uhuru nataja majina ya akina Sheikh
Hassan bin Amir...

Walipigwa na mshangangao mkubwa...
Hata maswali yao kwangu yakachukua mwelekeo mwingine.

Na hivi ndivyo ninavyofanya hapa kukuelezeni kile ambacho
hakuwa mkikijua kabla
Uwezakano wa kushtuka ni mkubwa sana maana katika vitabu vya historia za dunia wapo akina Gandhi, Nassa, Huari Boumedien, Mandela, Tambo, Jose Bro Tito, Indira Gandhi, Mahathir Mohamed,Nyerere,Tawafawa Balewa, William Tolbert na wengi wengineo, sasa unaposikia jina la Binti Mtumwa ni lazima ashtuke mtu
Insha Allah utafika wakati tutazungumza kama watu wenye haki
sawa katika nchi hii yetu
Haki unajinyima pale unapohubiri inferiority complex, pale unapodhani historia inatoa dira badala ya ku-reflect na pale unapoamini ubora zaidi kuliko mtu mwingine. Haki unaikosa pale unaposhindwa kuitazama nafsi yako na kujitathmini wapi umekwama na ufanye nini. Haki unajinyima pale unapoidhulumu nafsi yako kwa kutoiambia ukweli huku ukitafuta ukweli usiokuwepo
Haya niandikayo hapa ndiyo yatakapokuwa na umuhimu na ushahidi
utaletwa
Mohamed ushahidi ungekuwpo ungeshatolewa, kwani si una ushahidi wa research ya Warsha? Mbona husiti kuongelea lakini mwingine unasubiri wakati.

By the way, Mohamed unaweza kutuwekea kwa ufupi utafiti wa Warsha ulioufanya na wenzio.
 
Duh, kuna watu wanakesha humu, hawalali...wanakesha wakilishwa na kumeza ngano za mchochezi Mohamed Said bila hata maswali. Hebu pitieni haya maandiko halafu mjiulize maswali yatakayotolewa hapo chini;
Sanderson Beck said:
Germans negotiated a treaty with the English in London in October 1886 that divided East Africa into a British sphere of influence in the north and a German sphere in the south with the one degree south latitude line passing through the center of Lake Victoria and then angling southeast just north of the Kilimanjaro peak to the coast.

Zanzibar's claims to the coast were reduced from a forty-mile belt to ten miles and were leased to the Imperial British East Africa (IBEA) Company in the north and to Germany in the south. The Gesellschaft für Deutsche Kolonisation delegated its authority to Peters who formed the German East Africa Company. Giesecke went as a trader for a Hamburg firm to Tabora in 1886, but he was murdered by Mirambo's successor, Isike. On December 30 Germany and Portugal declared the Ruvuma River as their border in East Africa.

On May 25, 1887 Hauptmann Leue on a warship arrived at Dar es Salaam and took over the house of the Arab liwali as his residence. Sultan Barghash bin Said al-Busaid died on March 26, 1888 and was succeeded by his younger brother Khalifa. On April 28 he let the Germans take over the administration of all his territory between Umba and Ruvuma, though his sovereign rights were supposed to be respected. Germans quickly began taking over customs at all the ports.

Zelewski arrived at Pangani in August and replaced the Sultan's flag with the flag of the German Company. This and other incidents violated the agreement, and Abushiri ibn Salim al-Harthi organized resistance. On the night of January 17, 1889 his supporters attacked the German fort at Dar es Salaam, but eight days later they were defeated. However, Germans were forced to evacuate Mikindani and Lindi. Chancellor Bismarck justified military intervention as putting down slave trade, and British ships helped blockade the coast.

He appointed Hermann Wissmann as Imperial Commissioner, and he recruited 600 Sudanese from Cairo, 50 Somalis from Aden, and 350 Zulus from Mozambique.
tumblr_mfg03xsV9i1r4yioeo1_500.jpg

Askari wa Kizulu na bendera ya Mjerumani.

Wissmann established his headquarters at Bagamoyo only six miles from Abushiri's camp at Sanganzeru. He repudiated the armistice the Germans had made with Abushiri and routed his forces in May. Wissmann built a fort at Mpwapwa. Abushiri retreated inland and recruited 5,000 Maviti from the Yao and other tribes. They marched on Bagamoyo in October, but Abushiri was defeated again and fled. He was caught and hanged at Pangani on December 15. Wissmann then regained Kilwa, Lindi, and Mikindani.
Maswali;

  1. je hawa wazulu wanaotajwa hapa ndio ukoo wa Sykes?
  2. Kama jibu ni ndiyo, je ndio walioshiriki katika kuwaua Watanganyika chini ya Wajerumani?
  3. Kama jibu ni ndiyo, huko Burma wazo la uhuru liliwajia kutoka mikononi mwa nani...Wajerumani au Waingereza?
  4. Kama jibu ni Wajerumani, hayo mawazo waliyapata kama Watanganyika au mamluki?
  5. Kama jibu ni mamluki, ni lini walipata uraia wa Tanganyika?
  6. Baada ya Wajerumani kushindwa, kwa nini hawakurudi/hawakurudishwa walikotolewa?
 
Upuuzi linatokana na neno puuza (ignore). Mtu akisema namba ndicho chanzo halafu tukauliza zilianza kutumika lini na kujibiwa wizara ndiyo inajibu hatuna jingine ila ku-ignore.

N,

Neno hilo ukilileta katika Kiswahili linakuwa tusi.

Unajua Kiswahili ni lugha ya wastaarabu na maneno
yake yanakwenda hivyo hivyo.

Napenda uzingatie kuwa lugha inakwenda na utamaduni
wa jamii wanayoizungumza lugha hii.

Ndiyo maana Waswahili hatusemi, ''Kuja hapa.''
Tunasema, ''Tafadhali njoo.''

Halikadhalika kuna maneno hatutumii kwa kuchelea
kuudhi.
 
Duh, kuna watu wanakesha humu, hawalali...wanakesha wakilishwa na kumeza ngano za mchochezi Mohamed Said bila hata maswali. Hebu pitieni haya maandiko halafu mjiulize maswali yatakayotolewa hapo chini;

Maswali;

  1. je hawa wazulu wanaotajwa hapa ndio ukoo wa Sykes?
  2. Kama jibu ni ndiyo, je ndio walioshiriki katika kuwaua Watanganyika chini ya Wajerumani?
  3. Kama jibu ni ndiyo, huko Burma wazo la uhuru liliwajia kutoka mikononi mwa nani...Wajerumani au Waingereza?
  4. Kama jibu ni Wajerumani, hayo mawazo waliyapata kama Watanganyika au mamluki?
  5. Kama jibu ni mamluki, ni lini walipata uraia wa Tanganyika?
  6. Baada ya Wajerumani kushindwa, kwa nini hawakurudi/hawakurudishwa walikotolewa?

Mag3,

You can not know the extent of water in a pond that you have never been to.

Cc... zomba,
 
Last edited by a moderator:
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
 
MoJe, kuongea jambo la ''shaka'' au lisilothibitika ni mafunzo ya dini ya kiislam?

Mohamed kuna wanafunzi wa chuo kikuu kimoja wamefanyiwa interview na kugundulika kuwa hawajui Africa ipo wapi. Wote walionyesha Great Britain na wengine kuonyesha sub continent India.
Kuna watu wanajua Mreno alitawala Tanganyika na wengine wanajua kuwa Nyerere alikuwa rais wa Africa kusini.
Wapo wanaojua kuwa South Africa ndio Africa.
Kwahiyo inategemea unakutana na watu wa aina gani.

Uwezakano wa kushtuka ni mkubwa sana maana katika vitabu vya historia za dunia wapo akina Gandhi, Nassa, Huari Boumedien, Mandela, Tambo, Jose Bro Tito, Indira Gandhi, Mahathir Mohamed,Nyerere,Tawafawa Balewa, William Tolbert na wengi wengineo, sasa unaposikia jina la Binti Mtumwa ni lazima ashtuke mtu Haki unajinyima pale unapohubiri inferiority complex, pale unapodhani historia inatoa dira badala ya ku-reflect na pale unapoamini ubora zaidi kuliko mtu mwingine. Haki unaikosa pale unaposhindwa kuitazama nafsi yako na kujitathmini wapi umekwama na ufanye nini. Haki unajinyima pale unapoidhulumu nafsi yako kwa kutoiambia ukweli huku ukitafuta ukweli usiokuwepoMohamed ushahidi ungekuwpo ungeshatolewa, kwani si una ushahidi wa research ya Warsha? Mbona husiti kuongelea lakini mwingine unasubiri wakati.

By the way, Mohamed unaweza kutuwekea kwa ufupi utafiti wa Warsha ulioufanya na wenzio.

N,

Niwekee swali moja moja itakuwa wepesi na rahisi hata kwa wasikilizaji
pale nitakapojibu Insha Allah.
 
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.

MM,

Waswahili tuna msemo.

''Domo tindi maziwa kwa mwenye ng'ombe.''
 
Mag3,

You can not know the extent of water in a pond that you have never been to.

Cc... zomba,

Ritz,

Huyu bwana angekuwa anasoma wala asingeuliza maswali hayo.
Ajabu anaandika kwa hamaki na chuki.

Inanishangaza sana.

Katika ''Modern Tanzanians'' cha Iliffe (Ed) kuna maisha ya Kleist yeye kamwita
''Kleist Sykes: The Townsman.''

Mimi nimemsanifu Kleist katika ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...''
nimemwita ''Kleist Sykes: Pioneer and Man of Ideas.''

Ritz hebu soma hapa chini upate picha ya Kleist:

Kleist preserved this history through his own pen.

And it was from Kleist's pen that many years after he had passed away that we now have an accurate account of those days long passed.

Before he died on 23 May 1949 my father left behind his memoirs in his long flowing Germany handwriting picked from a Germany school he attended in Dar es Salaam, as a child in early 1900s.

These memoirs
[1] were later revisited byAbdulwahid my elder brother with his daughter Aisha Daisy Sykes, then anundergraduate student at Dar es Salaam University under the tutelage of Illife the renowned historian from Cambridge University.

A month before he died on 12 October 1968 Abdulwahid had had already assisted Daisy to complete her researchassignment of prominent Africans in Tanganyika for a history seminar on thelife of her grandfather.

The aim of this project was to document the lifehistory of our father, Kleist Sykes and his achievement in politics, education and business.

It was from his diaries, personal papers as primary sources and with the assistance of Daisy that Illife was able to research and write accurately on African Association and early colonial politics.[2] T

his work wassubmitted to the History Department of University of Dar es Salaam in September 1968.

It was later published in 1973 in a book edited by Illife.
[3]

It is apity that Abdulwahid who was the main informant on the biography did not leave to see the fruits of his work.

Before publishing of my father's biography, little was known about the founding fathers of the African Association.

[1] A.D. Sykes "The Life of Kleist Sykes," University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15.
[2] See John Illife: A Modern History of Tanganyika, Cambridge University Press, London, 1977; Also "The Role of the African Association in the formation and Realisation of Territorial Consciousness inTanzania." Mimeo, University of East Africa Social Sciences Conference 1968.
[3] Illife Modern Tanzanians, (ed), East AfricanPublishing House, Nairobi, 1973.

Huyu bwana angesoma hayo yote alouliza angeshapata majibu yake.

Angelijua kuwa lile jeshi la la Wazulu lilirudi Mozambique na Von Lettow Vorbeck 1918
wakikimbia kutekwa na General Smuts.

Angepata mengi.
Lakini kwa kuwa nia yake si elimu bali kubishana tu matokeo yake ndiyo haya.

Nina mengi ningeweza kueleza lakini nachelea...
 
Hadi hivi sasa Mohammed Said ameshindwa kuonesha kauli au tendo hata moja la Nyerere ambalo lilikuwa ni dhidi ya Waislamu au Uislamu. Amejitahidi kumfanya watu wamchukie lakini leo hii watu wanamkumbuka kwani yote aliyoyapigania kwa watu wake yanatamaniwa. Kwa muda mrefu alikuwa na uwanja huru wa kueneza simulizi lake bila kupingwa na akaamini kuwa litaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.

Soma kichwa cha mada.
 
Back
Top Bottom