Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Ritz,
Yericko hawezi kuyajua haya.
 
jipambanue je una nasaba na JK Nyerere? maana hapa naona umejinasibisha na familia hiyo.


Barubaru,

Julius Kambarage Nyerere amefariki ameacha watoto 7 tu kwa mujibu wa familia yake.

1) Andrew Nyerere

2) Anna Nyerere

3) Magige Nyerere

4) John Nyerere

5) Makongoro Nyerere

6) Madaraka Nyerere

7) Rosemary Nyerere

Ndiyo maana siku ile Andrew alisema amfahamu.
 
Last edited by a moderator:
miez mitano mnakashani,wameshindwa kuuthibitisha uchochezi wa Moh Said,
walichofanikiwa ni kumpa wasaa wa kuzid kumwaga darsa na ilm bure bure...!
Ni wakti muafaka sasa kuitia moto Historia fake ya kivukoni..

Boko Haram,
Hapana haja ya kuitia moto historia ya TANU ya Kivukoni ambayo ndiyo
historia ya Nyerere.

Mimi binafsi nachukulia kuwa ile ndiyo historia ya TANU ya Nyerere na ipo
historia ya TANU ya akina Abdu Sykes ambayo ndiyo hii ambayo nimeieleza
hapa historia inayomuhusu na Nyerere mwenyewe.

Historia hizi zote mbili zinaweza zikasomeshwa bila moja kubughudhi nyingine.
 

Ni kweli Barubaru mzee MS anamengi na sio mchoyo mungu ampe maisha yenye kheri, mengi tumeyajua kupitia kwake ni bahati ilioje kukutana na mtu kama huyu hapa jf.
 

Nini kikinza juu ya hilo?

Hiyo si historia ya Tanganyika bali ni ya Mwalimu Nyerere!

Hata kama ni hisani lakini hisani inayogeuka kesho kuwa masimango si hisani bali ni dhihaka!
 

Kwa bahati mbaya sana Mohamed Said tangu tuanze mjadala huu ukiona sehemu mtu amekuhoji kwa hoja mujarabu basi wewe hutaijibu kama ilivyo bali utakimbilia kwenye kulilia heshima ya tenge!

Hii ni aibu kwako na kwawakuaminio mkuu!

Mimi ni muumini wa ukweli!


Kama ni ng'ombe huwa na sema wazi kuwa yule ni Ng'ombe,

Kama ni mmbwa huwa nanyosha kuwa yule ni mmbwa!

Sina tabia ya kinafiki ya kufifisha ubaya kuwa uzuri kidogo na uzuri kuwa ubaya kidogo!

Wewe Mohamed Said ni MUONGO hivyo nitatamka hivyo kuwa wewe ni MUONGO!

Kutaja majina ya mitaa ya kariakoo na vibaraza vyake siokujua historia mkuu!

Simama kwenye ukweli!

Yani wewe kila aliyekusimilia kitu ilimradi awe ni wa kariakoo basi ulimwamini kwa 100% bila kutafiti!

Eti Shariff Attas awe mlinzi wa Mwalimu Nyerere katika kipindi cha 1952-1961 kisha atoswe na miezi/miaka michache Julius Nyerere akiwa rais wakuta na Nyerere huyohuyo amsahau Attas?

Hii kawachukue watoto wadogo wakule facebook kisha wasimulie watakupa like nyingi sana!

Mohamed Said wewe ni Muongo tena unaetishia usalama wa taifa hili!

Sijui dola inafikiria nini kukudhibiti mtu mchochezi kama wewe!

Tuwe wawazi, tunaposimulia historia ya nchi yetu tusiwapotoshe wale ambao hawakupata kuijua!

Watatulaumu kesho!
 



Rai yako ni njema sana...
insha allah jalah jalali akulipe kheri sana...
Sisi hatutathubutu kubanduka hapa ikiwa wewe upo na unamwaga darsa huru bila ushuru wala tozo al akhiy...
 

Yericko,
Umeingia katika ile list yangu.

Hutonisikia tena.
 
Rai yako ni njema sana...
insha allah jalah jalali akulipe kheri sana...
Sisi hatutathubutu kubanduka hapa ikiwa wewe upo na unamwaga darsa huru bila ushuru wala tozo al akhiy...

The Big Show,

Marehemu Sheikh Mohamed Ayub alikuwa akisema ilm na amana.

Basi kama ni amana mwenyewe akijaitaka huna budi kumkabidhi.
Haya niliyojaliwa kuyajua ni amana na hidaya kutoka kwa Allah.

Nina wajibu wa kufikisha kwa wenyewe wanapotaka kujua.

Hakika historia ya uhuru wa Tanganyika ni historia inayopendeza
sana ila kwa yule mwenye choyo na hasad katika nafsi yake.
 

Inafikia kipindi BiGJI huwa tamu inapotafunwa lakini mwishowe huisha utamu wake na hulazim kutemwa tuh,hiki ndicho kilichokusibu yericko,
umeishiwa,huna la maana tena unalosimamia,
umeshindwa japo kujipambanua na nasaba ya nyerere ukabakia na uchakubimbi wa kudandia nasaba isiyo kuhusu,hata historia ya huyo unaemsema mzee wako huijui,unazid kujidharaulisha sana...
Pole sana...
 
Yericko,
Umeingia katika ile list yangu.

Hutonisikia tena.

Mohamed Said

Hapa upo na watu wazima wezio, hakuna watoto wakuwalazimisha wakusikilize!

List ni yako na haimsaidii mwerevu yoyote hapa bali wafuata upepo watasikitika ukiwaambia kuwa umewaingiza huko!

Ukiwa Muongo na mchochezi kuwa tayari kukabiliana na werevu!

Pole sana ndugu yangu uliwabeba wajinga kwa miaka yote lakini umehamaki sana kukutana na zuio la kweli!
 
Haya wale wafia dini

Habari na Khamis Amani, Zanzibar -- BAADA ya mahakama ya mkoa Vuga kumwachilia huru mwalimu wa madrasat Qadiria iliyopo Amani wilaya ya Mjini Unguja, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume wa miaka 11, hatimaye mahakama kuu ya Zanzibar imemfunga jela miaka 15.

Uamuzi huo wa mahakama umekuja kufuatia rufaa iliyowasilishwa mahakamani hapo na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga hukumu iliyotolewa na mahakama ya Mkoa.

Mahakama hiyo, chini ya Jaji Abdulhakim Ameir Issa imelazimika kutoa adhabu hiyo baada ya kuridhika na sababu za rufaa zilizowasilishwa na DPP, ambazo zilidai kuwa Mahakama ya Mkoa wa Vuga imekosea kisheria katika utoaji wa hukumu. Hivyo, baada ya kusikiliza kwa kina hoja za pande mbili hizo juu ya rufaa hiyo pamoja na kuangalia vielelezo vya ushahidi vilivyotolewa katika mahakama ya mkoa wakati wa usikilizwaji wa kesi ya msingi, Jaji Abdulhakim alisema:



Mahakama inatengua uamuzi wa mahakama ya mkoa kwa sababu ilikosea kisheria katika utoaji wake wa hukumu, hivyo mahakama hii inaamuru kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 15, haki ya rufaa ipo wazi kwa upande ambao haukuridhika na uamuzi huu

Pamoja na adhabu hiyo, Jaji Abdulhakim alimtaka Ustaadh huyo kulipa fidia ya shilingi 500,000 kwa mtoto huyo aliyemfanyia kitendo hicho.

Soma zaidi habari hii kwenye: ZanziNews blog


Haya kisa hicho kwa upande wa Shilingi!

 

Hahahahaha eti majina ya vibaraza.. napenda ujasiri huu penye ukweli tuseme ukweli majaraab komred!
 

Barubaru,
Leo nimeswali Maamur.

Msikiti umekuwa Sikiti.
Maana umejengwa upya na unavutia sana.

Muda mrefu nilikuwa sijafika pale.

Mzee Islam ni mzee wangu pia na nyumbani
kwake nabisha hodi nitakavyo.

Siku ukija Dar utafurahi kuuona msikiti huu.
Na Mfungo ndiyo huo.

Allah atufikishe.
Amin.
 
Yericko,
Naona shida kukuita muongo.

Hivi unajua itifaki za ubalozi?
Mbona unataka kujifedhehesha bure bila sababu?

Watazamaji wa uzi "Uchochezi wa Mohamed Said..." wanaongezeka
kila uchao jihadhari wasikutie katika list...ya vikaragosi.
Mohamed, wewe ungekuwa unafaham itifaki ungaliweza kusimama katika JF na kusema balozi kahutubia bunge! Kama Yericko ataingia katika list ya vikaragosi nadhani atakukuta ukiwa umeshatangulia
 


Ustadhi hana mamlaka ya kusamehe watu dhambi , jee huyo padri amejisamehesha mwenyewe ??
 
Mohamed, wewe ungekuwa unafaham itifaki ungaliweza kusimama katika JF na kusema balozi kahutubia bunge! Kama Yericko ataingia katika list ya vikaragosi nadhani atakukuta ukiwa umeshatangulia


Wallahi lile la balozi limekukaa kooni sana.!
Haya basi tufanye Nguruvi3 ndie aliekahutubia bunge...!
Mbona lilishatolewa clarification?ajabu bado unalo tuh?punguza hamaki na jazba,umejificha kwenye nyumba dhaifu ya buibui ona sasa ulivyokosa kusitirika,hadi jamaa zako wanajiuliza kipi kimekusibu masiku ya hivi karibun...
Umekuwa mufilisi wa hoja kabisa,
sisi tunasema ''victory won''...
Hakuna uchochezi,kuna facts tu ambazo nyinyi mnastahili kuzipokea na kuwasimulia wajukuu zenu...
 

Zungumza kwa hoja. Usitishie maisha ya watu ukadhani dola ni yako peke yako. Wakati wa kutumia dola kuzima hoja za watu umepita. Hata nchi za magharibi zilishindwa kutetea vibaraka wao wakati wananchi walipoamua kwamba sasa basi. Fuatilia yaliyotokea Egypt utaelewa.
 


Naaam...!
Swadakta kabisa Al akhiy...!
 

Mwalimu wa madrasa kama amepatikana na hatiya anastahili kwenda jela. Ndivyo inavyotakiwa kuwa hivyo kwa sababu viongozi wa dini wengine huwa wanazidiwa na shetani. Sasa turudi kwenye upande wa pili. Kanisa Katoliki lina shutuma kubwa ya kulawiti wana kondoo wao na inasemekana ndio sababu iliyomfanya Papa aliyepita aamue kujiuzulu ili kukimbia dhahma hii. Je hili la kulawiti wana kondoo Kanisa Katoliki linazungumzaje? Tuje hapa kwetu. Mgombea Urais kupitia CHADEMA Slaa ambaye anapata support kubwa ya Kanisa Katoliki kwenye kinyang'anyiro chake tangu uchaguzi uliopita amemuiba mke wa mtu kwa nguvu na kumuacha mke wake wa ndoa. Je hili nalo limekaaje?

Kumbuka hapa tunazungumzia kati ya mwalimu wa madrasa na suala la Kanisa Katoliki kwenye ngazi kuu kabisa ya Papa na kwa Slaa tunazungumzia kwenye ngazi ya mgombea urais mtarajiwa wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…