Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wickama,

Hebu pumzika na hii:

[FONT=&]We have seen many times that the question of Zanzibar revolution is associated with
”Arab slave trade.”

The origin of this paradigm stems from not knowing the actual source of the revolution.

The most telling problem was to perceive that the revolution in Zanzibar had to take
place because of the oppressive regime of the Zanzibaris of Arab descent.

It was not necessary that the invasion of Zanzibar should take place.

It was a special plot by one country invading another and hiding that hideous fact which
gave Zanzibar sleepless nights for forty nine years. [/FONT]

Ok.
1. What is your Source? Tulikubaliana utaonyesha kitabu au paper utakayochomoa statement kama hizi. Kauli yako utasema ni kauli yako. Hapa ni kipi?
2. Hiyo ni position ya aliyeandika hicho kitabu au paper. Tuwekee pia position ya ASP ili tujue kama wakati wanapindua kulikuwa na slavery kama anavyosema huyu mwandishi wako "kuwa ndicho kisingizio" cha waliopindua. Au kwako position ya ASP hutaki kuijua?

Hebu tuanzie na hapo
 
Maneno yako yoooooote hayana mafaa,

Najibu hilo la kwanza tu,

Kwanza nikujuze kuwa hakuna chuo cha Tanzania kinachotumia maandishi ya Mohamed Said kama rejea!

Hata kama Waziri wa elimu ya juu angekuwa Shehe Ilunga bado naamini hangeruhusu maandishi ya Mohamed Said yatumike vyuoni!

Ndiomana mahali sahihi pakupata kitabu cha Mohamed Said ni misikitini na sio maktaba za vyuo vya Tanzania hii!

Yericko,

We bado kinda mengi huyajui.

Unadhani kuanza kuuza vitabu katika nyumba za ibada tulianza sie?
Unaijua Cathedral Bookshop?

''Religion and Development'' kikiuzwa hapo.
Kitabu cha John Sivalon nacho kikiuzwa hapo.

Kitabu changu kopi ya Kizungu kikiuzwa maduka
yote ya WH Smith kuanzia London hadi Glasgow.

Africa Centre, London vile kikiuzwa na kwengine kwingi.
Vilevile Amazon nk.

Hiki cha Kiswahili kipo TPH Dar es Salaam, Kase Bookshop
Arusha na misikitini ndiyo nyumbani kwake.

Vingine mikononi mwa watu vinauzwa.
 
Al Habiby gombesugu,

Unaangaika na huyo wa nini soma hapa kejeli zake na dhihaka dhidi ya Uislam na Waislam, nimeshangaa sana anakumbia eti umletee maneno wapi kakekeli Uislam.
Unasubiri wewe na nani?kama huijui historia ya Tanganyika nenda maktaba kasome, na kwakuwa wewe unataka kujua mchangao wa waislam basi nenda msikti wa kwamtoro.
Hapa chini tena.
Hivi wewe mjinga, NECTA ikivunjwa na kuingizwa waislam ndio mfumo mbovu wa elimu nchini utakuwa umerekebishwa? na je wanafunzi wa kiislam wavivu wasio penda kutafuta maarifa kama ulivyo wewe ndio watafauru mitihani?
Hapa chini tena.
Remote, hawana tofauti hao, lao moja, na kila siku wapo sebuleni kupanga hila na uovu dhidi ya watanzania wenzao kwa kisingizio cha kumuenzi allah!
Hapa chini tena.
Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?
Hapa chini tena.
Boko, hapa sio madrasa!
Hapa chini tena.
Sheikh Ubwabwa, tulia unyolewe wewe na mzee wako chauchochezi!
Hapa chini tena.
Kazi yako shekh ubwabwa ni kuchombeza umbeya wa mzee wako chauchochezi! hapa mmekwama. Rudini kwenye mihadhara yenu mkapeane mikakati mipya. Tanzania itadumu kuwa moja, nyie mtaishia kugombea miskiti na viwanja vya BAKWATA bila mafanikio.
Hapa chini tena.
Umesahau kiti moto ustaadh Boko!
Hapa chini tena.
Dada Zubeda, wewe uliwahi kuwa shahidi au kushuhudia mama yako akiingiliwa na baba yako? Kama uliwahi, basi hii ni sababu ya wewe kukosa adabu na kuwa akili mbovu unayoionesha hapa. Labda mzee Mohamed Saidi atusaidie kama uislam unaagiza wewe binti wa kiislam unatakiwa kumsimamia baba yako akimuingilia mama yako!
copy Mohamed Said.
ha haa haa tushie hapa lakini lazima atabisha na kusema hakuna kejeli hapo.
 
Last edited by a moderator:
Ok.
1. What is your Source? Tulikubaliana utaonyesha kitabu au paper utakayochomoa statement kama hizi. Kauli yako utasema ni kauli yako. Hapa ni kipi?
2. Hiyo ni position ya aliyeandika hicho kitabu au paper. Tuwekee pia position ya ASP ili tujue kama wakati wanapindua kulikuwa na slavery kama anavyosema huyu mwandishi wako "kuwa ndicho kisingizio" cha waliopindua. Au kwako position ya ASP hutaki kuijua?

Hebu tuanzie na hapo

Wickama,
Nillikuambia toka awali kuwa pokea hivyo hivyo kavu kavu.
Sitosema nimetoa wapi.

Hizo ni za mchagoni.
Maswali sipokei.
 
Maneno yako yoooooote hayana mafaa,

Najibu hilo la kwanza tu,

Kwanza nikujuze kuwa hakuna chuo cha Tanzania kinachotumia maandishi ya Mohamed Said kama rejea!

Hata kama Waziri wa elimu ya juu angekuwa Shehe Ilunga bado naamini hangeruhusu maandishi ya Mohamed Said yatumike vyuoni!

Ndiomana mahali sahihi pakupata kitabu cha Mohamed Said ni misikitini na sio maktaba za vyuo vya Tanzania hii!

Yericko,
Kitabu changu nakala ya Kizungu kipo Maktaba ya Chuo Kikuu na Maktaba
Kuu ya Taifa.

Fanya utafiti kiduchu kabla ya kuandika.
 
Mohamed Said

Kwanini tuwe na matabaka ya historia ya Uhuru wa nchi yetu?

Kwanini useme TANU ilianza na Klest Sykes 1929 wakati kipindi hicho ndicho ilichoundwa AA chini ya Mwalimu Cesil Matola?

Ni Klest Sykes huyo huyo 1933 baada ya Mwalimu Cesil Matola kufariki ndie aliyeshika hatamu za AA na kufanya mageuzi kutoka AA kwenda TAA, kisha akaja kuwaachia madaraka Dkt Vedasto Kyaruzi na mwanae Abdul Sykes,

Sasa jiulize alikuwa na chama mfukoni huku kivitendo akikitumikia chama kingine na kuunda kingine kabisa???

Maelezo yako yanapishana sana,

Mara ya kwana ulisema ni Abdul Sykes ndie aliyeanzisha chama cha TANU akiwa vitani Burma,

Lakini leo umerudisha tena mpaka 1929 na kusema ni Klest Sykes aliyekiasisi TANU,

Sijui wale unaowadanganya nao wanabeba lipi au ndio wale wafyonza ilm tu?
 
Wickama,
Nillikuambia toka awali kuwa pokea hivyo hivyo kavu kavu.
Sitosema nimetoa wapi.

Hizo ni za mchagoni.
Maswali sipokei.

In that CASE I ASSUME YOU SUPPORT 100% THE HYPOTHESES kuwa ASP walishirikiana na a foreign country kuvamia NCHI YAO? SAWA.NDIO UNACHOSEMA. CONGRATULATIONS AND YOU SHOULD LOVE THIS COUNTRY FOR ITS ABUNDANCE TOLERANCE. YOU SURELY KNOW WHAT THEY WOULD HAVE DONE TO YOU IF THIS WAS SAUDI ARABIA.
 
Yericko,
Kitabu changu nakala ya Kizungu kipo Maktaba ya Chuo Kikuu na Maktaba
Kuu ya Taifa.

Fanya utafiti kiduchu kabla ya kuandika.

Haaahaaaaahaaaahaaa!

Wanajamvi,

Nilisema mimi ni maji kwa Mohamed Said, akinikwepa kunywa basi atanioga tu,

Huwezi kupuuza pumzi, mimi ni pumzi kwa Mohamed, hawezi kwenda mbinguni bila kupita kwangu!

Naaaaaaaam Maaalim wangu, nakujibu jibu lako!

Mohamed Said

Nielewe kiswahili mkuu,

Nimesema hakuna CHUO kikuu au shule ya kindagate inayotumia maandishi ya Mohamed Said kama rejea kwa wanafunzi wake!

Kitabu chako kuwepo maktaba ya chuo kikuu sio tatozo, ninachofahamu nikuwa kitabu chako serikali ilishakipiga marufuku kuhudumu/kuharibu vijana wakitanzania,

Hoja ni kuwa hakuna mwanafunzi wa chuo chochote Tanzania anaetumia kitabu chako chochote kile kama rejea!

Chuo kikuu hata vitabu vya kipuuzi unaweza kukipata tu wala usitishike, na sio kila kitabu kilichopo maktaba za vyuo vikuu duniani basi hutumika kama rejea kwa wanafunzi wake!
 
Uthman,

Ndugu yangu hawa jamaa hawana kitu.

Mie nimewashauri mara nyingi sana waandike kitabu cha historia hiyo
ambayo wao wataridhikanayo.

Wanakesha JF kupambana na kitabu abacho kipo sokoni huu sasa mwaka
wa 16 na tunaingia toleo la tatu.

Sisi tulikaa kimya miaka kadhaa wakati ikitamba historia ya TANU ile ya
Kivukoni College iliyowatoa wazee wetu wote.

Mimi sikutokwa povu hata siku moja.

Niko pale Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam mwanafunzi nasikiliza kebehi
za walimu wangu na nikizijibu kwa makini sana.

Wakati mwingine nauliza, ''Jamani mmepata kumsikia Mshume Kiyate,
Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir nk. nk.''

Nawaeleza hadi kuwatajia namba zao za kadi za TANU hazizidi digit 2.

Kwanza walimu wakinipuuza lakini baada ya kuona yale niliyokuwa yote
nikyamwaga pale yalikuwa mageni kwao baadhi ya walimu zangu wakawa
sasa wananisikiliza kwa utuvu chembelecho Gombesugu.

Ndipo nilipoamua kuandika historia hii iwe jibu kwa historia ya Chuo Cha
Kivukoni.

Kama wasemavyo Wazungu ''the rest is history.''

Sasa halazimishwi mtu kuamini haya nisemayo wala hii haiwezi kuwa sababu
ya sisi kutukanana.

Ikiwa unataka kuamini kuwa Nyerere kakutana na Abdu Sykes na Nyerere kaja
pale ana TANU yake sawa.

Mimi nani nimkatalie?

Lakini iwepo nafasi vilevile ya kuieleza TANU kwa mwelekeo usio huo.
Msiktukataze kuaianza TANU 1929 na Kleist Sykes.

Ikiwa mtu anataka Sheikh Hassan bin Amir na TAA Political Subcommittee asitajwe
katika historia ya TANU sawa hapana ugomvi lakini asizuiwe mtu mwingine kueleza
historia ya TANU Jimbo la Kusini akamtaja Sheikh Mohamed Yusuf Badi na Masoud
Mnonji
na Bi Shariffa biti Mzee.

Hii ni nchi huru alazimishwi mtu chochote kile uhuru wa mawazo unahakikishwa.

Ukitaka kuianza historia ya TANU kutoka Musoma ruksa, ukitaka kuanza historia ya
TANU Burma ruksa!

Mwasemaje wanajamvi wenzangu?
Wakati umefika wa kuanua jamvi au tuendelee na mieleka?

Mzee MS karibu ya asilimia 80-90% ya wasomaji wapo kwenye INTERNET SEARCH ENGINES sio book volumes.Na NDIO MAANA WEWE KUSHINDA ONLINE Kujibizana na watu BADALA YA KUSUBIRI WATU WANUNUE KITABU au kuandika kitabu cha kuwajibu. Hii argument sio strong. BINAFSI NAONA KULIKO UONGEE HABARI KAMA ZA ZENJ LAKINI HUONYESHI UNAZICHOMOA WAPI NA ETI USIULIZWE BORA TUVUNJE JAMVI. HAINA MAANA HAKUNA MNAKASHA WA AINA HIYO.
 
Al Habiby gombesugu,

Unaangaika na huyo wa nini soma hapa kejeli zake na dhihaka dhidi ya Uislam na Waislam, nimeshangaa sana anakumbia eti umletee maneno wapi kakekeli Uislam.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

Hapa chini tena.

ha haa haa tushie hapa lakini lazima atabisha na kusema hakuna kejeli hapo.
Mbona huwezi kutofautisha uislam na waislam!
 
Mohamed Said

Kwanini tuwe na matabaka ya historia ya Uhuru wa nchi yetu?

Kwanini useme TANU ilianza na Klest Sykes 1929 wakati kipindi hicho ndicho ilichoundwa AA chini ya Mwalimu Cesil Matola?

Ni Klest Sykes huyo huyo 1933 baada ya Mwalimu Cesil Matola kufariki ndie aliyeshika hatamu za AA na kufanya mageuzi kutoka AA kwenda TAA, kisha akaja kuwaachia madaraka Dkt Vedasto Kyaruzi na mwanae Abdul Sykes,

Sasa jiulize alikuwa na chama mfukoni huku kivitendo akikitumikia chama kingine na kuunda kingine kabisa???

Maelezo yako yanapishana sana,

Mara ya kwana ulisema ni Abdul Sykes ndie aliyeanzisha chama cha TANU akiwa vitani Burma,

Lakini leo umerudisha tena mpaka 1929 na kusema ni Klest Sykes aliyekiasisi TANU,

Sijui wale unaowadanganya nao wanabeba lipi au ndio wale wafyonza ilm tu?
Yericko Nyerere,

Mbona mnawachanganya wanaukumbi wewe na wenzako hebu kaeeni mjipange muelewane kwanza kisha mje na kauli moja.
Kwanini useme TANU ilianza na Klest Sykes 1929 wakati kipindi hicho ndicho ilichoundwa AA chini ya Mwalimu Cesil Matola?
Wewe unasema AA ilianzishwa na Matola mwenzako anakuambia AA na TAA ziliansishwa na Waingereza nani anasema kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said;6553341]Wild Card,Nasema mmeshtushwa kwa sababu mnavyohangaika humu kujaribu
kuibomoa historia hiyo.... Hivi nyie hamjiulizi kwa nini mimi sijapinga historia yenu wala sikuulizeni
mswali, wala situkani au kutumia lugha chafu na kali.
Mohamed Said;6559104]
Uthman, Ndipo nilipoamua kuandika historia hii iwe jibu kwa historia ya Chuo Cha
Kivukoni
.
Nicholas, usije sema nimevamia Jugular!

Mohamed, hakuna mwenye historia ya TANU, historia ni mali ya nchi na wananchi.
Hakuna aliyesema kuwa ile ya kivukoni ilikuwa kamili.
Watu wapo hapa kuhakikisha kuwa kizazi kijacho hakiingii katika mtafaruku na tafran zingine.
Ulichokifanya wewe ni sawa na mfano wa mtu atukanaye kwa kusema ''mshenzi'' halafu mwingine amjibu kwa lile tusi la mama!

Unachikifanya wewe pengine ni kibaya kuliko historia ya kivukoni. Ile kama ilikuwa na mapungufu si kama yako.
Abdul Sykes(Mohamed Said) alisema yeye na wenzake wanafanya jitihada za kumkomboa Mwafrika.
Hakusema kundi la watu fulani. Wewe unasema ''ninyi'' na ''sisi'' kuwatenga Waafrika wa Tanzania kinyume na Abdul, halafu unatuambia kuwa unamsemea Abdul

Kwa wale wanaouliza uchochezi, basi ndio huo maana hakuna mahali Abdul na wazee wenzake waliwahi kusema ''sisi'' na ''ninyi'' haya kayaleta Mohamed. Hakuna mahali Abdu na wenzake walisema sisi wazulu, sisi wamanyema au sisi wanuvi, hayo kayaleta Mohamed. Hata pale alipoamua kumwagia hamira bado aliumbuka, ''sisi wamanyema ni waislam watupu''

Walipomchangia Nyerere kwenda UNO hawakusema ''sisi au ninyi'' na hata akina Maryknol walimchangia Nyerere kwa kusema Tanganyika si kwa wewe au sisi au ninyi.

Hatari kubwa zaidi ni ile ya kuchomeka chembe za dini. Hadi leo hakuna mahali ulipoonyesha kuwa wazee wako walifanya hivyo kuwakomboa watu wa imani fulani. Endapo ingelikuwa hivyo basi wasingekubali Nyerere awaongoze.

Tena kuna ushahidi kuwa wazee wetu walikataa udini kwa kukataa AMNUT, sijui udini unaotoa wapi maana ukisoma historia yako mwenyewe inaonyesha jinsi wazee walivyoongozwa kupinga dhulma tena wakisema kwa Mwafrika.
Historia yako ndiyo imeingiza udini na hakuna shaka wewe ni masalia ya AMNUT!

Umeandika paper ikiwa ni mwendelezo ili kuonyesha kuwa waliopigania uhuru wameachwa.
Huku ukichagua kwa makabila na dini umeacha wazee wetu wa sehemu nyingine kwa kosa lile lile unalolilaumu.

Kitabu chako kinatumika huko wasikoijua Tanganyika, hapa Tanganyika hakitaingia katika mtaala hata siku moja.
Na bahati njema nyuzi hii imefichua kila kilichojificha na hakika ukisimama mbele ya kadamnasi ya werevu unaweza bububujikwa na maji ya puani. Leo kila mmoja anajua kuwa yapo usiyoyasema kwasababu za hila na si historia.

Toleo linalofuata sina uhakika kama utauza tena maana credibility ya maandishi yako imefinyangwa sana.
Unaposhauri watu wasome wasiulize unatupa ujumbe kuwa wewe unakosa element za scholar.
Scholar hupenda kutoa ufafanuzi na wala si kuorodhesha majina.

Hakika kama utaandika kuhusu wazee wako, vinyozi n.k. si haki kukuhoji, lakini ukishatumbukiza Tanganyika tutaingia kwa nguvu kunusuru sehemu ya jamii iliyobaki na inayokuja kuingia katika mtego huu mbovu, dhalili na usio na tija achilia mbali maana.

Leo unakwenda toleo la nne, unachosema ni kuwa usipingwe kwasababu hujapinga, tunashukuru hatusikii tena neno historia ya kweli. Mnakasha unasaidia kila mmoja ati
 
Naendelea kufyonza Ilm Mzee Mohamed Said usianue jamvi utatuacha wakiwa tutaendelea kufyonza matusi.
 
Vipi hakuna matusi mapya tufyonze au bado haujawatuma vijana wako wawatukane waislam. Teh teh teh teh teh.
 
Mkuu Nicholas,Mwanahistoria wetu Sheikh Mohamed ametutajia majina mengi ya wazee wetu na baadhi bado wako hai kwa nini hamuendi kuhakiki ukweli wa aliyoandika?Mzee Bilali Waikela,Tewa Saidi Tewa,Selemani Ngozi wote wapo hai mkuu nendeni mkahakiki mje mtujuze,msitokwe na mapovu tu bila ushahidi wowote.

Mwezi wa sita huu tupo tunafuatilia mtuonyeshe uchochezi uko wapi lakini hatuoni bali tunashuhudia mnavyodhihirisha chuki zenu dhidi ya uislamu na waislamu.

Hiyo kuwahoji hao wazee si shida, hata huyu mzee anaweza wahiji,ila historia iliyoandikwa pale ni nzuri zaidi.Nilitoa mfano wanajeshi ambao walichukua roles ambazo hazikuwa za mapigano ya moja kwa moja.Hawa Askari huwa hawapendi kuachwa ktk story ya kishujaa,huku wakiwa mabingwa wa kuelezea kukoswakoswa na maobu,risasi na ngumi za moja kwa moja.Mara nyingi hunyamazishwa na wanajeshi walioshiriki moja kwa moja....wanapokuwa ktk vijiwe.

Hawa wazee wa kiislam MS aliowahoji tayari wamekuwa poisoned na wanahisi kuwa wanaweza tumia hiyo loophole kuwataka watanzania wawalipe zaidi ya walichkwisha lipwa.Hawa wazee wamekuja ibuka baada ya wapamabanaji wa kweli km akina Kambona, Nyerere,kawawa etc wakiwa hawapo...Historia iliyoandikwa na makundi mbalimbali na kauli za zamani za wahusika wa moja kwa moja ktk juhudi za kupata uhuru.Pia kuna watu ambao hawakuwa na sababu ya kupindisha historia,na muda walipoyasema hayo wahusika wengine walikuwepo na hawakupinga.
 
Hivi kweli wewe ni mtanzania kweli kiswahili hata akieleweki.
 
Nicholas, usije sema nimevamia Jugular!

Mohamed, hakuna mwenye historia ya TANU, historia ni mali ya nchi na wananchi.
Hakuna aliyesema kuwa ile ya kivukoni ilikuwa kamili.
Watu wapo hapa kuhakikisha kuwa kizazi kijacho hakiingii katika mtafaruku na tafran zingine.
Ulichokifanya wewe ni sawa na mfano wa mtu atukanaye kwa kusema ''mshenzi'' halafu mwingine amjibu kwa lile tusi la mama!

Unachikifanya wewe pengine ni kibaya kuliko historia ya kivukoni. Ile kama ilikuwa na mapungufu si kama yako.
Abdul Sykes(Mohamed Said) alisema yeye na wenzake wanafanya jitihada za kumkomboa Mwafrika.
Hakusema kundi la watu fulani. Wewe unasema ''ninyi'' na ''sisi'' kuwatenga Waafrika wa Tanzania kinyume na Abdul, halafu unatuambia kuwa unamsemea Abdul

Kwa wale wanaouliza uchochezi, basi ndio huo maana hakuna mahali Abdul na wazee wenzake waliwahi kusema ''sisi'' na ''ninyi'' haya kayaleta Mohamed. Hakuna mahali Abdu na wenzake walisema sisi wazulu, sisi wamanyema au sisi wanuvi, hayo kayaleta Mohamed. Hata pale alipoamua kumwagia hamira bado aliumbuka, ''sisi wamanyema ni waislam watupu''

Walipomchangia Nyerere kwenda UNO hawakusema ''sisi au ninyi'' na hata akina Maryknol walimchangia Nyerere kwa kusema Tanganyika si kwa wewe au sisi au ninyi.

Hatari kubwa zaidi ni ile ya kuchomeka chembe za dini. Hadi leo hakuna mahali ulipoonyesha kuwa wazee wako walifanya hivyo kuwakomboa watu wa imani fulani. Endapo ingelikuwa hivyo basi wasingekubali Nyerere awaongoze.

Tena kuna ushahidi kuwa wazee wetu walikataa udini kwa kukataa AMNUT, sijui udini unaotoa wapi maana ukisoma historia yako mwenyewe inaonyesha jinsi wazee walivyoongozwa kupinga dhulma tena wakisema kwa Mwafrika.
Historia yako ndiyo imeingiza udini na hakuna shaka wewe ni masalia ya AMNUT!

Umeandika paper ikiwa ni mwendelezo ili kuonyesha kuwa waliopigania uhuru wameachwa.
Huku ukichagua kwa makabila na dini umeacha wazee wetu wa sehemu nyingine kwa kosa lile lile unalolilaumu.

Kitabu chako kinatumika huko wasikoijua Tanganyika, hapa Tanganyika hakitaingia katika mtaala hata siku moja.
Na bahati njema nyuzi hii imefichua kila kilichojificha na hakika ukisimama mbele ya kadamnasi ya werevu unaweza bububujikwa na maji ya puani. Leo kila mmoja anajua kuwa yapo usiyoyasema kwasababu za hila na si historia.

Toleo linalofuata sina uhakika kama utauza tena maana credibility ya maandishi yako imefinyangwa sana.
Unaposhauri watu wasome wasiulize unatupa ujumbe kuwa wewe unakosa element za scholar.
Scholar hupenda kutoa ufafanuzi na wala si kuorodhesha majina.

Hakika kama utaandika kuhusu wazee wako, vinyozi n.k. si haki kukuhoji, lakini ukishatumbukiza Tanganyika tutaingia kwa nguvu kunusuru sehemu ya jamii iliyobaki na inayokuja kuingia katika mtego huu mbovu, dhalili na usio na tija achilia mbali maana.

Leo unakwenda toleo la nne, unachosema ni kuwa usipingwe kwasababu hujapinga, tunashukuru hatusikii tena neno historia ya kweli. Mnakasha unasaidia kila mmoja ati

Wanajamvi, Shariff Ritz,
Anataka kuinusuru historia jamvini...

Naja na buku jingine...
''Broken Dreams...''

Madrassa...
 
Uthman,

Ndugu yangu hawa jamaa hawana kitu.

Mie nimewashauri mara nyingi sana waandike kitabu cha historia hiyo
ambayo wao wataridhikanayo.

Wanakesha JF kupambana na kitabu abacho kipo sokoni huu sasa mwaka
wa 16 na tunaingia toleo la tatu.

Sisi tulikaa kimya miaka kadhaa wakati ikitamba historia ya TANU ile ya
Kivukoni College iliyowatoa wazee wetu wote.

Mimi sikutokwa povu hata siku moja.

Niko pale Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam mwanafunzi nasikiliza kebehi
za walimu wangu na nikizijibu kwa makini sana.

Wakati mwingine nauliza, ''Jamani mmepata kumsikia Mshume Kiyate,
Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir nk. nk.''

Nawaeleza hadi kuwatajia namba zao za kadi za TANU hazizidi digit 2.

Kwanza walimu wakinipuuza lakini baada ya kuona yale niliyokuwa yote
nikyamwaga pale yalikuwa mageni kwao baadhi ya walimu zangu wakawa
sasa wananisikiliza kwa utuvu chembelecho Gombesugu.

Ndipo nilipoamua kuandika historia hii iwe jibu kwa historia ya Chuo Cha
Kivukoni.

Kama wasemavyo Wazungu ''the rest is history.''

Sasa halazimishwi mtu kuamini haya nisemayo wala hii haiwezi kuwa sababu
ya sisi kutukanana.

Ikiwa unataka kuamini kuwa Nyerere kakutana na Abdu Sykes na Nyerere kaja
pale ana TANU yake sawa.

Mimi nani nimkatalie?

Lakini iwepo nafasi vilevile ya kuieleza TANU kwa mwelekeo usio huo.
Msiktukataze kuaianza TANU 1929 na Kleist Sykes.

Ikiwa mtu anataka Sheikh Hassan bin Amir na TAA Political Subcommittee asitajwe
katika historia ya TANU sawa hapana ugomvi lakini asizuiwe mtu mwingine kueleza
historia ya TANU Jimbo la Kusini akamtaja Sheikh Mohamed Yusuf Badi na Masoud
Mnonji
na Bi Shariffa biti Mzee.

Hii ni nchi huru alazimishwi mtu chochote kile uhuru wa mawazo unahakikishwa.

Ukitaka kuianza historia ya TANU kutoka Musoma ruksa, ukitaka kuanza historia ya
TANU Burma ruksa!

Mwasemaje wanajamvi wenzangu?
Wakati umefika wa kuanua jamvi au tuendelee na mieleka?

Naona Mzee anaanza kusanya momentum...ni zile patterns nizichukiazo sana...nachelea sema ni psychopatic person tuu,ndie anayefanya jambo baya, anaingi aktk ubishi to the point anakosa njia,halafu ghafla anapotezea pakitokea ukimya anarudi ten akwa furaha kufanya kitu kilekile kwa kuanza mwanzo kabisa.

Mzee kuna vitu uhuru una apply na vitu uhuru hau apply....(Angalizo:mimi si muumini wa uhuru wa mipaka ...kwa vile uhuru ni zao la wajibu), kwa hiyo wewe usiyewajibika,umejinyima uhuru na unachoandika si uhuru wako.

Mzee historia haimilikiwi...kila event ktk time and space ni historia...sasa wewe una "...concept ya kumiliki historia..",ni kichekesho.Na historia haina version,ila inaweza andika km alivyoshuhudia mtu husika.unfortunately kuna vitu ambavyo vipo "too direct to be relative".Likiwepo hili la uhuru wa Tanzania, haiwezekani Walioandika kuhusu Nyerere, hata wakoloni wenyewe, waandike sawa na walio wengi,ila huyu mzee na wengine wakaja realize kuwa version yao ni "Historical fact" zaidi ya mashuhuda wengine.

Kwanza km hao wazee wamemueleza juzi tuu ni wazi kuwa hawana tena credibility.Mzee hutimizi wajibu wako kabisa naweza rudia tena "...YOU ARE VERY IRRESPONSIBLE...".

Factor la uaminifu, uadilifu, na ukweli na mengine kwako ni kinyume sana.
 
Back
Top Bottom