Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Punguza CHUKI.
 
Mbagala na Tandika wakazi halisi wanakula mlo mmoja tu kwa siku
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
Samahani wapi gunia la mchele liliuzwa 50,000??
 
Waliposema wanaifungua nchi.

Walikua wana maanisha kwamba walanguzi warejee katika nafasi zao .

Kila aliyekua na nafasi ya kutuibia anafanya hivyo.

Kufunguliwa kwa nchi haikumaanisha kwa kila raia kunufaika.

Ni kwa wachache tu. Tuelewe hivyo.
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
Ongeza uzalishaji ili bei za vyakula zishuke.
 
Kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na korona lakini serikali ya kipindi hicho alichukua hatua kudhibiti mfumuko wa bei tofauti na sasa ambapo kila kitu kinajiendea tu
Kwanza masoko nje ya nchi yalikuwa yamefungwa na hakukuwa na mwingiliano wa watu kama ilivyo leo.
 
Inasikitisha sana.Unapojaribu kuzungumza na kuongea ukweli unaonekana mbaya, Leo umeme unakatika hovyo kila kona ya nchi imerudi kwenye mgao, maji yamekuwa mtihani,gharama za bidhaa mbalimbali zimepanda na wote tunashuhudia haya wakati huo semina,tafrija,ziara zisizo na mwisho na matumizi mabaya ya kodi za wananchi yakishuhudiwa lakini cha kushangaza bado tu kuna walamba asali wachache hawayaoni haya, bado tu watakuja na ngonjera za sifa na mapambio.
 
"Tuna Rais mjinga (elimu ndogo na uwezo mdogo wa akili) kuwezo kudeal na maswala nyeti ya taifa.
 
Mkuu umenikosha Sana. Mimi nagombana na watu Kila siku wanaosema eti huyu mama nchi imemshinda. Nawauliza kipi kimekwama? Maana mwanzoni kabisa walisema mama atarudisha ada mashuleni. Wakapigwa chenga la mwili na badalayake ada ya kidato Cha tano na sita ikafutwa. Wakaanza ooo Bora angefuta ada vyuo vya Kati . Nikawauliza huyu Mungu wenu wa chato mbona hakufuta ada ya vyuo vya Kati? Shukuruni hata hiki kidogo basi. Wami juzi imefunguliwa walikuwa wanasema kaitelekeza miradi ya magufuli. Hapa lushoto lami zinamwagwa tu na barabara za pembezoni zinachongwa. Lakini miaka 5 ya magufuli sikuona kitu Kama hiki. Madarasa , maabara pesa inaiingia mashuleni zinajengwa na wazawa local fundis pesa inabaki kwenye mzunguko. Mimi nilikuwa nimalze Mdogo angu alikuwa amalize mkopo wa chuo 2027 Ila kwa huruma ya mama mwakani anamlza mkopo. Ila kingine watanzania hatufuailii kinachoendelea sehemu nyingine za dunia. Ulaya maisha maguma , America mpaka maandamano kwa sababu ya mfumuko wa Bei.. kwahiyo kwangu Mimi mama anaenda vizuri tu.
 
Ni kweli watanzania wengi hawajatoka nje ya mipaka kwasababu ya kuvimbiwa amani na maisha yenye unafuu. Serikali ya Tanzania kuna mambo mengi sana ambayo imefanya mazuri. Kuna nchi sasa hivi zina wakati mgumu sana kiuchumi na maisha ya wananchi magumu kupindukia. Watu walishawahi kuona kundi lolote la watanzania wakikamatwa sehemu kama wahamiaji haramu?
 
Hatimaye umezinduka
 
Huyo ni chawa wa kujitegemea. Alifurushwa cheti feki ana uchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…