UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Na ndio maana akili zimelala zimeshindwa kutatua changamoto zetu tumekuwa tukiangaika na matatizo ya tokea enzi hizo kwa miaka yote hii 60, tulitakiwa nasi tujisifu kwa kuondoa changamoto zetu kama wanavyosifika wengine ila sisi hadi leo bado tunajisifu kuwa na amani tu.Ni kweli watanzania wengi hawajatoka nje ya mipaka kwasababu ya kuvimbiwa amani na maisha yenye unafuu. Serikali ya Tanzania kuna mambo mengi sana ambayo imefanya mazuri. Kuna nchi sasa hivi zina wakati mgumu sana kiuchumi na maisha ya wananchi magumu kupindukia. Watu walishawahi kuona kundi lolote la watanzania wakikamatwa sehemu kama wahamiaji haramu?