Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Ni kweli watanzania wengi hawajatoka nje ya mipaka kwasababu ya kuvimbiwa amani na maisha yenye unafuu. Serikali ya Tanzania kuna mambo mengi sana ambayo imefanya mazuri. Kuna nchi sasa hivi zina wakati mgumu sana kiuchumi na maisha ya wananchi magumu kupindukia. Watu walishawahi kuona kundi lolote la watanzania wakikamatwa sehemu kama wahamiaji haramu?
Na ndio maana akili zimelala zimeshindwa kutatua changamoto zetu tumekuwa tukiangaika na matatizo ya tokea enzi hizo kwa miaka yote hii 60, tulitakiwa nasi tujisifu kwa kuondoa changamoto zetu kama wanavyosifika wengine ila sisi hadi leo bado tunajisifu kuwa na amani tu.
 
Sasa with those matatizo ndio kwamba uchumi unaangukia?

Lini uchumi haukuanguka and so matatizo yaliisha?

Acha upuuzi Jenga hoja yako Kwa namna inayofaa sio kupinga Pinga kwa kuunga unga vipisi vya ujinga ujinga..

Uchumi ungeanguka makampuni makubwa yangepata faida? Banks zingeoata faida? Si ungesikia bad loans na vilio vya Biashara kufungwa?

Sema serikali ipunguze matumizi yasiyo na msingi badala ya kuunga unga upuuzi hapa [emoji116]

View attachment 2403896View attachment 2403898View attachment 2403900View attachment 2403901View attachment 2403902View attachment 2403903
Huwenda Ni data za kupikwa ,hakishindikani kitu
 
this a your facts?[emoji32][emoji32][emoji32]
Sema jamaa majibu yake yako kishabiki sana inaonekana anaumia na chapisho la technically
Angalia ata namna anavyo mwita mwenzie kwa majina yakukebei
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
Wewe ni maku inayotomb____hovyo.Heka maja ya mpuga niliyolima 2020 kwa gharama ya 800000/=,nilivuna gunia 21 za debe 6.
Bei iyokuwepo ni 750/= kwa kilo.
Nilikoboa na kutoa kilo 1050 × 750= 787500/=.

Yule mzee wenu alikiua kilimo kwa ujinga akishikiana na wajinga nyinyi mnaopenda wavuja jasho waumezwe kwa faida zenu nyinyi wavivu.

Mama Samia shikilia hapo hapo sisi wakulima tumerudi shambani kwa nguvu zaidi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Waliposema wanaifungua nchi.

Walikua wana maanisha kwamba walanguzi warejee katika nafasi zao .

Kila aliyekua na nafasi ya kutuibia anafanya hivyo.

Kufunguliwa kwa nchi haikumaanisha kwa kila raia kunufaika.

Ni kwa wachache tu. Tuelewe hivyo.
Mimi ni mnufaika niliyelima heka 3 mwanzoni wa mwaka huu kwa gharama ya 2500000/= na kuvuna gunia 53 sawa na kilo 2650.Mwezi wa 8 nimeuza kilo moja kwa 2000/= na kupata 5300000/= sawa na faida ya 2800000/=.
Kifupi niliachana na kilimo kama biashara lakini kwa mwenendo huu wa serikali hii ya mama,mwaka huu nalima heka zangu zote 20.

Mama anajua nchi ni pamoja na uchumi wa mkulima.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Tetesi.kongamano la sensa limetumia pesa za umma billioni7 na kongamano la nishati ya kupikia billion 4 jumla bilion11 ambazo zingetumika kutatua changamoto ya umeme dar
.....hivi hizo hazitoshi kuanza ujenzi wa bwawa la kuhifadhi maji mto ruvu au wami?
 
Hapana mkuu, ukame sio sababu tukabiliwe na tatizo la maji, tatizo ni watanzania wenyewe ambao wamegeuka kuwa vipofu kwa politicians wao ambao wana total power kufanya chochote kwa mazuzu haya,why hatukujenga dams za kuhifadhi maji ili yatusaidie wakati huu wa ukame?

Why nchi yenye 3 big lakes ya fresh water bado tunalalamika kuhusu maji?,water desalination kama tungekuwa na uhakika wa tanesco tungeweza kufanya, we must think outside the box, soma hii wakati jiji la Capetown linakabiliwa na day zero, walifikiria wakavute yale mabonge ya barafu kutoka South pole, yasikumwe na upepo na yanapofika pwani ya SA lisukumwe kwa tankers hadi pale Saddana port, ufikiri huu ndio tunahitaji nchi yetu mkuu.
Umepiga siasa nyingi zisizo na maana. Tazama jiji la Dar linavyolishwa na mkaa unaotoka mkoa wa Pwani ndio utajua kuwa jangwa tunalisababisha sisi wenyewe.

Kuhusu maziwa matatu, kumbuka mradi wa Ziwa Victoria unavyopeleka maji Tabora.
 
Wewe ni maku inayotomb____hovyo.Heka maja ya mpuga niliyolima 2020 kwa gharama ya 800000/=,nilivuna gunia 21 za debe 6.
Bei iyokuwepo ni 750/= kwa kilo.
Nilikoboa na kutoa kilo 1050 × 750= 787500/=.

Yule mzee wenu alikiua kilimo kwa ujinga akishikiana na wajinga nyinyi mnaopenda wavuja jasho waumezwe kwa faida zenu nyinyi wavivu.

Mama Samia shikilia hapo hapo sisi wakulima tumerudi shambani kwa nguvu zaidi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Achana na wapumbavu hao wewe na nikisikia wanalalamika nasem walalamike vizuri maana yule mshenzi alipoharibu uchumi watu wakilalamika aliwaita wapiga dili..

Hao taahira watakwambia Eti Uchumi unaanguka 😁😁😁😁.Kwa taarifa yao Samia atashinda uchaguzi kirahisi Sana tofauti na matarjio yao.

Takwimu zinawakataa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221102-131224.png
    Screenshot_20221102-131224.png
    221 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221102-131134.png
    Screenshot_20221102-131134.png
    179.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082658.png
    Screenshot_20221030-082658.png
    87 KB · Views: 1
Umepiga siasa nyingi zisizo na maana. Tazama jiji la Dar linavyolishwa na mkaa unaotoka mkoa wa Pwani ndio utajua kuwa jangwa tunalisababisha sisi wenyewe.

Kuhusu maziwa matatu, kumbuka mradi wa Ziwa Victoria unavyopeleka maji Tabora.
Miradi ya Maji kibao inaendelea maeneo mbalimbali ya Nchi yaani kuyataja yote ni kujaza Seva bure..

Summary hii hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221014-211708.png
    Screenshot_20221014-211708.png
    215.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221016-232945.png
    Screenshot_20221016-232945.png
    324.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-083019.png
    Screenshot_20221030-083019.png
    125.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082935.png
    Screenshot_20221030-082935.png
    206.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082814.png
    Screenshot_20221030-082814.png
    45.2 KB · Views: 2
.....hivi hizo hazitoshi kuanza ujenzi wa bwawa na kuhifadhi maji mto ruvu au wami?
Kwanza hivi mnajua kwamba Ujenzi wa Bwawa la Kidunda ungeshaanza kama sio ugomvi wa Wachina kugombea tender?

Mchina mmja alikata Rufaa sasa kusikiliza Rufaa ni zaidi ya mwezi ndio wamaliza mwezi huu huu Mchina anakabidhiwa site ya ujenzi.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221102-135149.png
    Screenshot_20221102-135149.png
    200.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221102-135213.png
    Screenshot_20221102-135213.png
    80 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221102-135514.png
    Screenshot_20221102-135514.png
    165.7 KB · Views: 1
Jitu linaongelea shida ya umeme na maji as if halijii kwamba kuna hali ya Ukame kwa sasa..

Ulitaka haya mabwawa yatoe wapi maji? Mate yako?👇
hivi watz mlilogwa?mnazungumzia ukame kwenye nchi iliyozungukwa na maji kila upande!tuna maziwa makubwa kabisa halafu unaongelea ukame.ziwa tanganyika,victoria,nyasa kwa uchache achana na mito mikubwa.hivi tukiamua kwa maksudi kutumia hizo resorces tulizonazo tutakuwa wapi.tulalamika chakula wakati maji yako tele.ni nchi gani inategemea mvua kwa uzalishaji kwa sasa.tumeshindwa kutengeneza schemes za umwagiliaji?misri anategemea mto nile ambao chanzo chake kiko tz halafu ss tunaongelea ukame.vp somalia,ethiopia nk ambazo ziko kwenye ukanda kame kabisa.ki uhalisia uchumi umeteteleka hata mkisema ati mabenki yanapata faida hicho si kigezo sahihi cha uchumi kukua bali ni siasa za uchumi tu.
 
Hapana mkuu, ukame sio sababu tukabiliwe na tatizo la maji, tatizo ni watanzania wenyewe ambao wamegeuka kuwa vipofu kwa politicians wao ambao wana total power kufanya chochote kwa mazuzu haya,why hatukujenga dams za kuhifadhi maji ili yatusaidie wakati huu wa ukame?

Why nchi yenye 3 big lakes ya fresh water bado tunalalamika kuhusu maji?,water desalination kama tungekuwa na uhakika wa tanesco tungeweza kufanya, we must think outside the box, soma hii wakati jiji la Capetown linakabiliwa na day zero, walifikiria wakavute yale mabonge ya barafu kutoka South pole, yasikumwe na upepo na yanapofika pwani ya SA lisukumwe kwa tankers hadi pale Saddana port, ufikiri huu ndio tunahitaji nchi yetu mkuu.
Kaka upo vizuri, usijibu hoja kwa kuogopa mtu, vitu vioo wazi, Kila mtu anaona. Tatizo la watu waashindwa kutofautisha maisha ya mtu mmojammoja na maisha ya watanzania kwa maana kwamba unafuu wa maisha kwa Kila mtu hata alieko Kijijini. Siasa za uchumi Kila moja Ina faida na hasara. Wanadai nchi imefunguliwa, Ila matatizo yamekua lukuki. Wanasema serikali Haina pesa, sawa Ila hatukuona haya tunayoyaona saiz. Watasema mabadikiko ya Hali ya nchi, au vita ya ukrein au kile na kile. Mwenye akili timamu anapambana na matatizo yanayomkabili sio kutafuta pa kutokea. Korona ilidhorotesha uchumi wa Dunia kwa mataifa ya mlengwa Fulani tu, mataifa mengine ya mlengwa tofauti hayakuathirika ki vile, mengine uchumi ulikua kipindi hicho.

Binadamu kamili anaiangalia fursa kwa manufaa ya taifa na sio manufaa ya mtu mojamoja.

Simpati picha Kama haya yangetokea awamu ile kelele ambazo zingepigwa.

Tuwe na utaifa Ndio tutafika. Hakuna binadamu Alie mkamikifu.
 
hivi watz mlilogwa?mnazungumzia ukame kwenye nchi iliyozungukwa na maji kila upande!tuna maziwa makubwa kabisa halafu unaongelea ukame.ziwa tanganyika,victoria,nyasa kwa uchache achana na mito mikubwa.hivi tukiamua kwa maksudi kutumia hizo resorces tulizonazo tutakuwa wapi.tulalamika chakula wakati maji yako tele.ni nchi gani inategemea mvua kwa uzalishaji kwa sasa.tumeshindwa kutengeneza schemes za umwagiliaji?misri anategemea mto nile ambao chanzo chake kiko tz halafu ss tunaongelea ukame.vp somalia,ethiopia nk ambazo ziko kwenye ukanda kame kabisa.ki uhalisia uchumi umeteteleka hata mkisema ati mabenki yanapata faida hicho si kigezo sahihi cha uchumi kukua bali ni siasa za uchumi tu.
Kama hutaki kulipa Kodi unadhani hayo maji yatajileta kwenye nyumba yako?

Vyote hivyo vinahitaji pesa Ili vilete maana,kuwa navyo tuu haikusaidii..

Kwani hata wewe si unamiliki ekari kibao za mashamba? Zimekufanya kuwa tajir?

Bila pesa itakuwa ni stori za hivyo hivyo kuanzia Tanzania,Congo hadi Nigeria..

Mwisho kwani nani hapambani? Ulitaka wasitoe sababu za visabababishi? Umeona serikali imekaa kimya bila kutafuta suluhu?
 
Back
Top Bottom