Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

Nimekuja haraka nikijua ni trela la kuvutwa na treni kumbe ni yale kijijin wanasombea matofari na mahidi wakati wa mavuno
Kumbe kuwatengenezea nyenzo za kuwarahishia kazi wakulima wadogo ni kitu kibaya eeh? Lingekuwa limeagizwa ubeeruni naona ndo mneshangilia sana!
Mawazo mgando ni janga la kitaifa 😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…