Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBS wamethibitisha ubora wa hilo moja la uzinduzi mengine jeMh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
View attachment 1846239
Kwann nyie BAVICHA msituoneshe haya maroketi hata kwa hisani ili tuwape Nchi?Mataifa wanazindua roketi za kwenda anga za mbali
Sisi ndio kwanza wazir anazindua tela la ng'ombe
Ndoto zako bdo sanMataifa wanazindua roketi za kwenda anga za mbali
Sisi ndio kwanza wazir anazindua tela la ng'ombe
Prof takataka tu huyo. Sasa hiki Nini jamani, la zaidi Ni Nini hapo? Unaweza kulifunga kwenye Lori likaenda km 1000Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
View attachment 1846239
Sijasema nikitu kibaya bali nimeshangaa kuona linazinduliwa na waziri kama vile ni lakwanza kutengenzwa nchini.Kumbe kuwatengenezea nyenzo za kuwarahishia kazi wakulima wadogo ni kitu kibaya eeh? Lingekuwa limeagizwa ubeeruni naona ndo mneshangilia sana!
Mawazo mgando ni janga la kitaifa 😢
😆😆😆😆😆😆Hakika tutafika
Mbona matrela ya semi's yanatengenezwa hapa hapa Tanzania? Arusha DSM hata ubunifu wa extended Tourists cars hawajaona kutuletea cheap politics kwa kiwango hichi. Tunaonekana mazuzu sanaMh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania ...
Mwanzo mzuriHongera kwa Tela mkuu