Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilicheka pale walipokuwa wakiivumisha eti ina uwezo wa kubeba hati tani5 kana kwamba sasa safari ya kuelekea sayari ya mars imeivaHilo toroli kama toroli lingine aibu kwa Waziri hapo, halafu Prof anazindua ujinga kama huo.
Hakuna fundi kuchomelea anaeshindwa kuliunganisha hilo dude.
Haya mavitu yamejaa usukumani tangu enzi na enzi na yanakokotwa na punda, hii ni aibu gani jamani?Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
View attachment 1846239
View attachment 1846586View attachment 1846589
==========
Nimesoma hii Habari ;
"Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la kubeba mizigo lililotengenezwa Tanzania na Kiwanda cha Kuzalisha vipuri na mashine (KMTC) kwa ushirikiano na Taasisi za NDC, CAMARTEC na TEMDO,lenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 5 za mizigo."
Nilibaki najiuliza hivi bado sekta ya viwanda na biashara ipo serious?. Yaani waziri mzima anatengeneza headline ya kuzindua hilo Tela!. Bado tuko kulekule kwenye concept ya Tanzania ya Viwanda.
Hapo sasa anazindua nini?, ni kama innovation au invention imefanyika mpaka anakuja Waziri wa Viwana wa Tanzania nzima kuja kuzindua hiyo kitu.
Hata wenzetu walioendelea si ni aibu kwetu wakiona hizi habari. Hii ni atleast angekuja tu afisa biashara wa manispaa kuzindua (au ndo kuipiga promo bidhaa).
Nashauri dhana ya Viwanda na ubunifu ungekuja na creativity za ukweli ndipo waziri ama kiongozi mkubwa kabisa katika sekta kuja kumake headlines kama hizi.
Linavutwana na ng'ombe au punda? Kama linavutwa na gari nadhani wangetangulia kuunda gari alafu ndo tela. Tofauti na hapo ni kama Ile sanamu ya mavyuma iliozinduliwa na waziri ktk maonyesho ya teknolojia chuo kikuu cha Dar es SalaamMh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
View attachment 1846239
View attachment 1846586View attachment 1846589
==========
Nimesoma hii Habari ;
"Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la kubeba mizigo lililotengenezwa Tanzania na Kiwanda cha Kuzalisha vipuri na mashine (KMTC) kwa ushirikiano na Taasisi za NDC, CAMARTEC na TEMDO,lenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 5 za mizigo."
Nilibaki najiuliza hivi bado sekta ya viwanda na biashara ipo serious?. Yaani waziri mzima anatengeneza headline ya kuzindua hilo Tela!. Bado tuko kulekule kwenye concept ya Tanzania ya Viwanda.
Hapo sasa anazindua nini?, ni kama innovation au invention imefanyika mpaka anakuja Waziri wa Viwana wa Tanzania nzima kuja kuzindua hiyo kitu.
Hata wenzetu walioendelea si ni aibu kwetu wakiona hizi habari. Hii ni atleast angekuja tu afisa biashara wa manispaa kuzindua (au ndo kuipiga promo bidhaa).
Nashauri dhana ya Viwanda na ubunifu ungekuja na creativity za ukweli ndipo waziri ama kiongozi mkubwa kabisa katika sekta kuja kumake headlines kama hizi.
NiiceSawa
Hivi yupo wapi huyu mtu?😝😝😝😝Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .