Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .

Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS

View attachment 1846239
haiwekani wewe usome DS halafu ukapewa wizara nyeti kama ya viwanda na biashara(development studies?)watz hatuko serious kabisa ndo maana kila mahala tunapigwa.
 
Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .

Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS

View attachment 1846239
TBS wanafanya kazi kubwa sana katika nchi hii sema tu hawana mtetezi, wanawezesha madili makubwa lakini wanaishi kimasikini kama wapiga debe
 
TBS wanafanya kazi kubwa sana katika nchi hii sema tu hawana mtetezi, wanawezesha madili makubwa lakini wanaishi kimasikini kama wapiga debe
usidanganye TBS wanakula shavu sana ktk wizara hiyo taasisi ambayo haina mtetezi ni SIDO.ukiwaona watumishi wake wanaishi kwa mikopo yenye riba kubwa kabisa za mabenki ya NMB na CRDB
 
usidanganye TBS wanakula shavu sana ktk wizara hiyo taasisi ambayo haina mtetezi ni SIDO.ukiwaona watumishi wake wanaishi kwa mikopo yenye riba kubwa kabisa za mabenki ya NMB na CRDB
sijui nilipata nafasi ya kuongea nao, hali yao ni mbaya kutokana na majukumu mazito walionao na makusanyo yao kwa hazina pia. ni rahisi sana watu kama hawa kutowajibika vizuri, kulihujumu taifa au hata kula rushwa ili kukidhi mahitaji
 
Huyo waziri hana kosa, sasa akazindue nini. Watu tumekaa tunaabudu watawala kama miungu lini tutakuwa na akili ya kuvumbua chochote cha maana. Hata uchaguzi tu kufanya tumeshindwa ni utapeli tu na ulaghai. Bure kabisa.
 
Viongozi waache kujidhalilisha.
 
Jamani sasa mkomkoteni tu huu hakana hata engine waziri mkubwa anaenda na makamera yote pale,ccm ni janga kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…