Uchumi wa Kati: Waziri wa Viwanda, Kitila Mkumbo azindua tela la kubeba mizigo

Hilo toroli kama toroli lingine aibu kwa Waziri hapo, halafu Prof anazindua ujinga kama huo.

Hakuna fundi kuchomelea anaeshindwa kuliunganisha hilo dude.
 
Hilo toroli kama toroli lingine aibu kwa Waziri hapo, halafu Prof anazindua ujinga kama huo.

Hakuna fundi kuchomelea anaeshindwa kuliunganisha hilo dude.
nilicheka pale walipokuwa wakiivumisha eti ina uwezo wa kubeba hati tani5 kana kwamba sasa safari ya kuelekea sayari ya mars imeiva
 
Haya mavitu yamejaa usukumani tangu enzi na enzi na yanakokotwa na punda, hii ni aibu gani jamani?
 
Linavutwana na ng'ombe au punda? Kama linavutwa na gari nadhani wangetangulia kuunda gari alafu ndo tela. Tofauti na hapo ni kama Ile sanamu ya mavyuma iliozinduliwa na waziri ktk maonyesho ya teknolojia chuo kikuu cha Dar es Salaam
 
Yapo mengi tuanze kununua au ni limited edition?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi yupo wapi huyu mtu?😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…