Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

SIRI Ni hii UChumi wa TZ unaanguka kwasababu,Kenya inapiga Ban Mimea na products Zote kutoka kwa TZ kwasababu ya uchokozi na wivu ya waTZ kwa Kenya.Project Zote za Kenya TZ inajaribu kuharibia Lakini wapi? Matokeo Ni kwamba 1Kenya ilianza kupiga Ban Mahindi na kutishia kununua Mexico,DRC,Uganda na Ethiopia.
2 Kenya Ikaamua kuongeza urariki na DRC ili UGanda wavutiwe na SGR zaidi ambayo Itaeza fika DRC.
3 Kenya imeaanza Kufunza Wakulima Jinsi ya kuongeza Mimea Shambani ili wawache kununua vyakula vyovyote TZ
Note:Kwasababu ya Wivu ya waTZ
 
Cheki wwe Sasa ATI Bora kuliko Kenya Nini labda kuangaka sakafuni
 
Na aibu ikupate mwana usio na haya hiyo 6.9 ni Mbowe ndio alifikisha hapo!!!??
akili zenu huwa ni masizi
 
Na aibu ikupate mwana usio na haya hiyo 6.9 ni Mbowe ndio alifikisha hapo!!!??
akili zenu huwa ni masizi
Nyalandu kashawapigeni cha kati sshv
 
Ivi tuliwezaje kuingia uchumi Wa kati , huku uchumi ukiwa umeshuka ?
Kumbe kila Siku tulikua tunaimbiwa mapambio uchumi unakua kumbe tulikua tunapigwa changa
 
Ivi tuliwezaje kuingia uchumi Wa kati , huku uchumi ukiwa umeshuka ?
Kumbe kila Siku tulikua tunaimbiwa mapambio uchumi unakua kumbe tulikua tunapigwa changa

sasa uchumi ukishuka ndo mnashuka pia kwenye level ya uchumi wa kati? kwahio marekani pia naona wapo uchumi wa chini saaahv au sio? kwann msiache tabia ya kuiba kinywaji cha mbowe maaana mnakua mzigo sasa kwenye hii nchi
 
Hamieni Dodoma haraka ili akili zikae sawa
 
sasa uchumi ukishuka ndo mnashuka pia kwenye level ya uchumi wa kati? kwahio marekani pia naona wapo uchumi wa chini saaahv au sio? kwann msiache tabia ya kuiba kinywaji cha mbowe maaana mnakua mzigo sasa kwenye hii nchi
Acha kujitoa ufaham, huu uchumi wetu kipindi cha jiwe tulikua tunapigwa changa la macho , hata leo kama angekuwepo lažima angesema uchumi unakua , huu uchumi Wa kati hauna uhalisia wowote na maisha Ya watu , Sasa kuna maana Gani Ya kujiita tajili wakati huna pesa
 
Lockdown ya mbowe sijui ingetuporomosha mpaka wapi?
Tafuta nchi duniani ambayo ime-maintain economic growth ya juu duniani wakati wa Corona uone zipo ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…