Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Aibu yao wenyewe. You can fool some people some time but you can't fool all the people all the time
 
Mbona rais kawaambia leo kwenye mei mosi unataka uambiwe na Nani?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

😂 😂 😂, yaani nawonea huruma sana!
ni hivi uchumi wa NCHI ukipanda ama ukishuka kwako hauna direct impact kwa sababu wewe kama wewe haufanyiwi comparison na sehem yoyote duniani! yaani serikali inaweza kusema uchumi umeshuka lakini bado kuna watu wakawa matajiri mbaya!

- wewe kitu kinachokusu direct kinaitwa (PPP), sasa serikali ikitoa tamko kuhusu PPP unaweza kua worried lakini sio sana, kama wewe unategemea uchumi wako in Tsh basi wewe suala la uchumi kupanda na kushuka halikuhusu, if unategemea USD kwenye mauzo au kununua ambapo kuna impact ndan ya nchi yako basi wewe kwako ni halali kusema uchumi kwako umeshuka kwa sababu your dealing with economy ambayo hauna control nayo

- wewe kama unadeal na Tsh maisha yako yote basi, uchumi kupanda na kushuka haukuhusu kwa sababu serikali inaweza kutoa amri ya kuchapisha Tsh mda wowote inaotaka na haina pungufu ya Tsh na haiwezi kua na pungufu! nadhan umeelewa sasa
 
Umeshuka vipi tena si tulikubaliana umepanda na Sasa tupo uchumi wa Kati?....I
 
MATAGA bana!🤣 Kwa hiyo uchumi ukitetereka mwananchi haumii?

we unaumia wap wakati hauna msaada wowote katika GDP? unauza nje ya nchi? hapana! una dollars umeweka nje ya nchi? Hapana! sasa wewe uchumi wa nchi haukuhusu mpaka apo
 
Umeshuka vipi tena so tulikubaliana umepanda na Sasa tupo uchumi wa Kati?

kwahio na marekani nao hawapo uchumi wa juu kwa sababu uchumi wao umesinyaa? ivi mtaacha kuiba pombe ya mbowe lini
 
Shida ya kushuka kwa uchumi inaweza kutambulika kwa uwezo wa serikali kutekeleza majukumu yake, kupitia kiasi cha bajeti ya nchi kinachopitishwa, huathiri wafanya biashara na wawekezaji ambao kimsingi ndio chanzo cha mzunguko wa pesa, kisha wananchi.
Kushuka kwa uchumi wa Tanzania ni kutokana na kunyanganya wafanya biashara pesa zao.
Wafanya bishara wamekimbia wamefunga biashara zao Tanzania.
Manji yuko wapi?
Mbowe. Nae kasema yuko Dubai, south Africa na Usa. Mna tegemea na huko mta pata kodi?
 
Umeshuka vipi tena si tulikubaliana umepanda na Sasa tupo uchumi wa Kati?....I
Kilichoshuka ni kasi ya ukuaji wa uchumi, sio lile daraja la nchi kutambulika kama ipo uchumi wa chini wa kati...

Hii si mara ya kwanza Rais SSH kutamka hivyo, ni kama mara ya tatu na amekuwa akibainisha athari hizo ni matokeo ya COVID-19 na wahanga ni takribani nchi zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…