stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
sijawahi kunywa vinywaji vya bei rahisi
mbna mwenyekiti wenu anapiga na ndo anapokea ruzuku nyie wengine ambao hampokei ruzuku mnatoa wap ela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kunywa vinywaji vya bei rahisi
Jiwe lilidondoshwa na corona
Kwanini unaomba kupata ufafanui wa kisiasa ,kwanini usiombe ufafanuzi wa kiuchumi usiofungamana na siasa kwa wenye taaluma yao.Nimemsikia Rais Samia akisema zaidi ya mara moja kwamba uchumi wa dunia umeyumba kutokana na janga la Corona na kwamba ukuaji wa uchumi wetu umeporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%.
Rais Samia amesema mategemeo yetu uchumi utakua kufikia 5.5% mwaka ujao.
Wanasiasa mliobobea katika uchumi tunaomba maoni yenu Tafadhali katika hili.
Hii maana yake ni nini?
Nini kifanyike ili tusiporomoke zaidi?
Kazi Iendelee!
Uchumi uliporomoshwa na Magufuri na sio Corona.Nimemsikia Rais Samia akisema zaidi ya mara moja kwamba uchumi wa dunia umeyumba kutokana na janga la Corona na kwamba ukuaji wa uchumi wetu umeporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%.
Rais Samia amesema mategemeo yetu uchumi utakua kufikia 5.5% mwaka ujao.
Wanasiasa mliobobea katika uchumi tunaomba maoni yenu Tafadhali katika hili.
Hii maana yake ni nini?
Nini kifanyike ili tusiporomoke zaidi?
Kazi Iendelee!
Na huyu mleta uzi alikuwa mramba viatu wa mwendazake.Uchumi uliporomoshwa na Magufuri na sio Corona.
Kwa hakika!Dunia yaenda Kasi Sana.