Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Bora tuambiwe ukweli.Haya mambo ya kusema uchumi wetu unakuwa kwa asilimua 7% wakati duniani kote watu wanalia mporomoko wa uchumi.
Sisi ikiwa sehemu ya dunia tulinusurika namna gani
 
Nimemsikia Rais Samia akisema zaidi ya mara moja kwamba uchumi wa dunia umeyumba kutokana na janga la Corona na kwamba ukuaji wa uchumi wetu umeporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%.

Rais Samia amesema mategemeo yetu uchumi utakua kufikia 5.5% mwaka ujao.

Wanasiasa mliobobea katika uchumi tunaomba maoni yenu Tafadhali katika hili.

Hii maana yake ni nini?

Nini kifanyike ili tusiporomoke zaidi?

Kazi Iendelee!
 
Kwanini unaomba kupata ufafanui wa kisiasa ,kwanini usiombe ufafanuzi wa kiuchumi usiofungamana na siasa kwa wenye taaluma yao.
 
Nimemsikia Rais Samia akisema zaidi ya mara moja kwamba uchumi wa dunia umeyumba kutokana na janga la Corona na kwamba ukuaji wa uchumi wetu umeporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%.

Rais Samia amesema mategemeo yetu uchumi utakua kufikia 5.5% mwaka ujao.

Wanasiasa mliobobea katika uchumi tunaomba maoni yenu Tafadhali katika hili.

Hii maana yake ni nini?

Nini kifanyike ili tusiporomoke zaidi?

Kazi Iendelee!
Uchumi uliporomoshwa na Magufuri na sio Corona.
 
Uchumi umeshuka kutokana na Corona kutoka 6.9% hadi 4.7% mwakani utapanda mpk 5.5% so ni ongezeko la 0.8 % Najiuliza Corona imekwisha mpk uchumi upande kutoka 4.7% hadi 5.5% au kuna kipi kimefanyika mpk sasa? Wanasiasa wanapenda sana kujifichia kwenye number na % sana coz wanajua mwanachi wa kawaida hotoelewa
 
Anaogopa kusema aliyevuruga uchumi ni Magufuli na miradi yake ya WHITE ELEPHANT.

Ukweli utadumu milele Magufuli, Dr.Mpango na Doto ndio walioua uchumi wa hii nchi.
 
Back
Top Bottom