Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

Sasa mtu aliyeokota Urais anaweza kuwa na vision gani zaidi ya kuwasikiliza akina vasco da gama wabembeaji kule jamaica?
 
kabla ya kukosoa au kulaumu ni vyema ukaangalia sababu ya mfumuko wa bei nini, maana hili ni tatizo la dunia nzima kwa sasa likihusianishwa moja kwa moja na kupanda kwa bei za nishati, sasa tukianza kumlaumu mama bila hoja ya msingi tutakua tunamuonea, ht Biden huko kichwa kinamuuma ameamuru kutolewa kwa mafuta kutoka kwe hifadhi ya taifa lkn wachumi wanasema haitasaidi sana km OPEC na wazalishaji wengine wa nishati hawataongeza uzalishaji, japan nao wanafikiria kutumia hifadhi yao ya mafuta kudeal na hali,
 
Uzi fikirishi sana...

Hii nchi inahitaji reforms upya... Kwanza maendeleo yanashindwa kufika chini kwasababu hapo kati kuna milolongo ya watu wengi sana ambao ndio wanakwamisha vitu vingi...

Yaani mfano.. decision tu ya kujenga darasa ina msururu wa watu kibao hadi darasa likamilike... Na wote wanataka kitu kidogo..

Ni kupambana tu,,, serikali ni mimi na wewe..
 
kwasasa nchi nyingi dunian zinaendelea na shughuli za uchumi na hazina mpango wa kurejesha lock down za kitaifa hali ya kiuchumi 2023 itakuwa nzuri kuliko mwaka jana na mwaka huu
 
kwasasa nchi nyingi dunian zinaendelea na shughuli za uchumi na hazina mpango wa kurejesha lock down za kitaifa hali ya kiuchumi 2023 itakuwa nzuri kuliko mwaka jana na mwaka huu
hio ni issue nyingine ila mi nlikua najibu tu kuhusu hii issue ya inflation anayolaumiwa
 
hio ni issue nyingine ila mi nlikua najibu tu kuhusu hii issue ya inflation anayolaumiwa
Ikiwa kama unahitaji kuweka ziada ya taarifa bonyeza kitufe cha edit kwenye comment yako kisha utaongezea au ujumbe wako kuweeka kwenye utaratibu mwengine na kuuweka tena.
 
kuna baadhi ya vitu lazima viwepo katika hatua flani hivi ya maendeleo na kila nchi lazima ipitie vitu hivyo, kuna baadhi ya reforms zinahitaji gharama kubwa kuzimaintain ukilonganisha na faida zitazoleta kwa wakati huo lkn reforms hizohizo zikifanyika miaka 20 au 25 baadae zinaweza kuwa na tija kulingana na level ya maendeleo ya wakati huo so sometimes huenda tukawa tunademand too much may be
 
Ikiwa kama unahitaji kuweka ziada ya taarifa bonyeza kitufe cha edit kwenye comment yako kisha utaongezea au ujumbe wako kuweeka kwenye utaratibu mwengine na kuuweka tena.
sijaelewa unamaanisha nn bosi
 
Hana mipango yeyote yeye kamezeshwa kuwa hela yeyote inayotoka huko kwa mabeberu apite nayo kwa ajili ya kujenga madarasa na zahanati na barabara
 
Hii bandari haiwez kujengwa Abadan jiulize kikwete tu aliyeleta huo mradi hakuweza kusaini na kuruhusu ujenzi itakuwaje huyu mama aiseee . Usalama wa Taifa sio wapuuzi kias hicho waruhusu mama aingie mkataba wa ovyo kiasi hicho hili hataweza na akijifanya anataka kulazimisha mambo watamkolimba
 
Tell me, mpaka leo huko kufungua kwake nchi ameshatengeneza ajira ngapi? una data zozote? na hii idea ameiokota kwa Kikwete, sasa tell me again, Kikwete licha ya kuzurura ulimwenguni kote alisaidia nini kupunguza tatizo la ajira zaidi ya wale wapiga dili waliokuwepo wakati wake?

Kabla hujaja na habari ya soko la dunia [ kisingizio chenu kila wakati], tell me, serikali ina mpango gani wa kuikwamua nchi na mtanzania kutoka hapa alipogota sasa, mpaka bei ya nyama imepanda nayo tulaumu mfumuko wa bei duniani licha ya n'gombe wote tulionao?! tell me kuna mpango gani?
 
hahaa hatari
Miaka 5 itaishia hivyo hivyo, ubelgiji, ufaransa, uingereza, marekani, canada, denmark, urusi, china .....n the list goes on huku nyie mnapigiwa story za madarasa tu😅 mama katoa bil. Flani kwa ajili ya shule mara kwa ajili ya darasa😅

Term ikiisha deni ni 150 trillion! Huku kilo ya nyama ni 20,000/= ndo mtajua hamjui😅😅😅
 
lkn mi nlikua najibu hoja yako kuhusu inflation tu brother, km haya uliosema hapo ndo yamesababisha hii inflation ya sasa sawa, naona umeshanitafutia upande tayari dah!
 
Aruhusu Fao la kujitoa mzunguko wa fedha urudi kama kipindi cha JK .
Kujiajiri kutaongeza mzunguko
 

Mkuu wala sio tuna demand too much,,
Mfano kwa hayati Jiwe kuna vitu alivipeleka bila kufuata huu mlolongo mrefu na vilikamilika kwa wakati na kwa ubora (Japo alitoka nje ya sheria kidogo), ila vilikamilika...
Sasa tulitakiwa tu ku-assess wapi JPM alikosea na kurekebisha kidogo na kutungia sheria ili mambo yaende...

Waandishi wakiwa wengi stori kukamilika huwa ni ngumu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…