Hizo ndio data au wewe ndio unaombea huo uchuro ambao kamwe hauwezi kuja kutokea hapa Tzn 😄😄..
Tafuta kiki nyingine,hatari pekee iliyokuwepo ilikuwa ni mafuta nayo yamedhibitiwa ,pili alikuta forex imeshuka kwa mda mfupi imeongezeka kutokana na exports kuongezeka na mwisho investors wanamiminika ..
Hicho unachotaka kitokee kitatokea ufipa huko sio Tzn ya Samia,never,labda wapumbavu wenzio ndio watakuunga mguu.Banks kwa mda mfupi zimepata faida kubwa na zimeongeza ukopeshaji..
Kwa taarifa yako official statistics kutoka Serikalini na Mashirika ya kimataifa yanatoa positive trend na rebound kwenye uchumi..Na ukame mlioombea imekula kwenu mvua zimeanza kunuesha kote na kilimo kinaendelea sasa.Kama ndoto zako hazikutimia lala uote tena.
Uchumi haukuanguka kwenye nchi hizi hapa sembuse Tanzania?🤣🤣
View attachment 2022982
View attachment 2022983