Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Ndo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Hii ni ujinga wa hali ya juu. Kujaribu kuhalalisha makosa ya sasa kwa sababu anayekosoa hakufanya hivyo kipindi kilichopita. Asilimia 90 ya viongozi wa sasa walikuwepo wakati wa Magufuli, mbona hawakuhoji? Samia alikuwa namba mbili, na kila kitu kinamangukia. Kuna viongozi wa dini na watanzania wengi tu hawakuhoji... huoni kuwa mmoja akiona enough is enough ni jambo zuri?
 
Kwani siyo kweli? Sisi tunamuona kama sungura aliyekosa zabibu tu. Kuna kitu nyuma ya kuacha huo Ubalozi ambacho kitakuja kuibuka tu.
Naona ametumia njia ya kujihami mapema.
Na bado mtatajana sana wauaji wakubwa nyie.
 
Acha uongo wa kijinga.leta ushahidi kuwa JPM aliua.Muuaji ni Samia,kamuua mzee kibao ,mdude na wengine wengi zaidi ya 89
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…