Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Nikirejea maandiko ya bwana Jesus..nadhani mustarbation nayo ni uzinzi sababu Yesu alisema kumtamani tuu mwanamke hapo ni tayari ushazini naye kwenye ulimwengu wa kiroho...

Kwa hiyo hao wanawake woote unaowafanyia imagination wkt wa puli...ni tayari umefungamana nao kiroho bila ww kujijuaa....Ubinadamu kazi saana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.

Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa awe mzinzi.
Uzinzi siyo tuu ni hatari kwa magonjwa hatari ya zinaa, bali pia ni hatari kwa magonjwa ya kuondoa kinga za kiroho.

Kikawaida binadamu akishaanza kufanya uzinzi ataanza kupoteza uwezo wake wa asili. Moja ya uwezo wa asili wa binadamu ni kuota ndoto zenye mantiki nyakati za usiku.

Binadamu kabla hajaanza ngono huota ndoto na anakuwa na uwezo wa kuzikumbuka kama siyo kuzitafsiri kabisa. Lakini akishaanza uzinzi ndoto hizo huanza kupungua na kupotea kabisa.

Huwezi ukawa mzinzi alafu ukaomba bahati au misaada ya kiroho kivyovyote vile. Hapo itakupasa ujitakase walau kwa siku zisizopungua tano ili uwe safi, kisha ndiyo ufanye mawasiliano na falme za rohoni.

Hata ukienda kwa waganga wa kienyeji kuna dawa ambazo ukipewa utaambiwa usikutane na mwanamke kwa siku kadhaa ili dawa zifanye kazi.

Au utaambiwa utembee na binti mdogo tena ikiwezekana ambaye ni bikra. Hapo ndipo kesi nyingi za ubakaji kwa watoto wadogo hujitokeza.

Vijana mnaoanza biashara, hasa hizi biashara za mitaji midogo chin ya milioni tano. Ukitaka biashara yako iende bila shida basi cha kwanza itakupasa ukae mbali na wanawake, acha ngono zembe.

Kama utashindwa ni akheri uoe kabisa, tena uoe mwanamke msafi mwenye maadili. Siyo uoe tena limalaya ambao litakuwa linafanya zinaa huko na kukuletea wewe mikosi.

Tunaposema mwanamke malaya au muasherati hafai kwa ndoa, na ikiwezekana kama umemuoa ukamfumania, basi itakupasa usijiulize mara mbilimbili, fukuza! Siyo kwa sababu tuu ya wivu wa kimapenzi. No! Bali ni pamoja na mambo ya kimaendeleo.

Hakuna familia zenye kufanya umalaya zikaendelea. Umalaya na umasikini vinapelekana bega kwa bega.

Mwanamke aliyefanya uzinzi au ngono anakuwa mchafu Kwa siku 14 wakati mwanaume anakuwa mchafu kwa siku 7.

Kama unamchongo unaousikilizia basi itakupasa ukae mbali na ngono zembe mpaka utiki. Lakini kama utajiingiza huko siyo ajabu pesa zako zikawa zinakuja lakini kila zikikaribia kuingia zinapeperuka. Yaani ni kama unanyang'anywa tonge mdomoni.

Umalaya ndiyo dhambi pekee ambayo mtu anaufanyia mwili wake. Dhambi zingine mtu hufanya nje ya mwili wake, yaani huwafanyia wengine. Ndiyo dhambi inayodhuru mwili na roho kwa haraka sana.

Ngono zinavuta mikosi, yaani unaweza pata pesa sasa hivi alafu hapohapo likatokea tatizo la kuitumia pesa uliyoipata nje ya mipango yako.

Namna pekee ambayo wazinzi wanaweza kuwa na bahati katika mambo yao ni kujiingiza kwenye ushirikina na ulozi. Ambapo itawapasa wagharamike kwa namna moja ama nyingine kusafisha nyota zao kwa kipindi cha muda fulani, huku wakiendelea na uchafu wao.

Sio rahisi umuone mtu anafanya uzinzi halafu mambo yake yanaenda bila ya kuwa mshirikina. Hiyo haiwezekaniki.

Biashara inahitaji usafi siyo tuu wa kimwili, bali pia usafi wa kiroho (mvuto) na kitu pekee kinachochafua mvuto wa kiroho ni zinaa.

Huwezi kuwa mzinzi halafu ukaenda kwenye project zako, mfano unamashamba ya mpunga au nyanya halafu uende ukiwa unafanya uchafu, lazima mambo yaharibike, au ufugaji. Kila kitu kina siri zake, aidha utumie madawa ya jadi ndiyo ufanikiwe lakini kumuomba Mungu asaidie miradi yao ilhali roho yako imechafuka huo ni uongo.

Kuna baadhi ya watu wanatabia ya kuingiza wanawake au malaya kwenye nyumba zao wanazoishi, ndugu zangu hivi kama umekosa akili kwa kiwango hicho, umeona haitoshi ulete wanawake waitie mikosi nyumba yako. Unafikiri guest house zilijengwa kwaajili gani.

Kama utashindwa kabisa ni bora mkafanyie kwenye vichaka, huko mbona fresh tuu kuliko kuingiza uchafu nyumbani kwako. Huo ni ukosefu wa maarifa.

Vijana kama unahitaji njia yako isiwe ngumu sana, yaani pesa zako zisije kwa mbinde basi unashauriwa acha ngono zembe. Na uliyenaye awe mwaminifu, na kamwe mtu asiyemwaminifu usijisumbue kumfundisha uaminifu au kumbembeleza, unabembeleza mtu anayeharibu mifumo ya maisha yako.

Usiponielewa, utanielewa katika mambo unayoyafanya, yaani kila ukifanyacho hakiendi, unafeli. Wakati wenzako chochote tunachogusa kitaenda kitake kisitake.

Ni yule kuhani

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.
nakubali kwa 100% Taikoni wa fasihi, sema namalizia kazi ya mwisho tu halafu sirudii tena...NB : Nilianza nayo mda mrefu ikanisumbua sana nikaipotezea miaka kama mi4 hivi saizi iimerudi kwa speed ya 8G pia ipo vizuri zaidi ya jana na inaonesha kabisha inataka kunipa kitu, tutaonana kwenye uzi pendwa wa rikiboy mambo yakikwiva..na baada ya hapo RASMI NAACHA TABIA.
 
Does this only apply to africans? Mbona wazungu wanazini sana na uasherati kuoitiliza na bado wao ndio wenye mihela hapa duniani? Mwengine juzi juzi tuu hapa kawa mfalme pamoja na roho mbaya ya mama yake lakini wapi, jamaa kaula.
Exceptional zipo ila ni kwa wateule wachache sana na kunakuwa na sababu zake Mungu mwenyewe sasa wewe fanya sema mbona Daudi pamoja na kuua na kuchukua mke wa mtu bado alikuwa na nguvu ya Mungu uone kitakachokupata.
 
Kama Mungu angetaka mwanaume awe na wake wengi kwa nini alimpa Adamu mke mmoja tu?

Ukiweza kujibu hilo swali utapata jibu la hili swali
 
Exceptional zipo ila ni kwa wateule wachache sana na kunakuwa na sababu zake Mungu mwenyewe sasa wewe fanya sema mbona Daudi pamoja na kuua na kuchukua mke wa mtu bado alikuwa na nguvu ya Mungu uone kitakachokupata.
Hamna lolote yule mzee wa playboy alikuwa anajigegedea tuu warembo na mambo yanaenda tuu.
Hii bwwana kila mtu anaweza toa mfano wa hasi na chanya. Sio wapenda ngono zembe uishi kulata mikosi.
Tule mbususu jameni tusitegeeane
 
Nikirejea maandiko ya bwana Jesus..nadhani mustarbation nayo ni uzinzi sababu Yesu alisema kumtamani tuu mwanamke hapo ni tayari ushazini naye kwenye ulimwengu wa kiroho...

Kwa hiyo hao wanawake woote unaowafanyia imagination wkt wa puli...ni tayari umefungamana nao kiroho bila ww kujijuaa....Ubinadamu kazi saana

Kwa hiyo unataka kusema nishapiga kina Cherokee d’Ass, Ayana Angel, Jada Fire,Mia Khalifa, Asa Akira, Kira Noir daah!..
 
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.

Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa awe mzinzi.
Uzinzi siyo tuu ni hatari kwa magonjwa hatari ya zinaa, bali pia ni hatari kwa magonjwa ya kuondoa kinga za kiroho.

Kikawaida binadamu akishaanza kufanya uzinzi ataanza kupoteza uwezo wake wa asili. Moja ya uwezo wa asili wa binadamu ni kuota ndoto zenye mantiki nyakati za usiku.

Binadamu kabla hajaanza ngono huota ndoto na anakuwa na uwezo wa kuzikumbuka kama siyo kuzitafsiri kabisa. Lakini akishaanza uzinzi ndoto hizo huanza kupungua na kupotea kabisa.

Huwezi ukawa mzinzi alafu ukaomba bahati au misaada ya kiroho kivyovyote vile. Hapo itakupasa ujitakase walau kwa siku zisizopungua tano ili uwe safi, kisha ndiyo ufanye mawasiliano na falme za rohoni.

Hata ukienda kwa waganga wa kienyeji kuna dawa ambazo ukipewa utaambiwa usikutane na mwanamke kwa siku kadhaa ili dawa zifanye kazi.

Au utaambiwa utembee na binti mdogo tena ikiwezekana ambaye ni bikra. Hapo ndipo kesi nyingi za ubakaji kwa watoto wadogo hujitokeza.

Vijana mnaoanza biashara, hasa hizi biashara za mitaji midogo chin ya milioni tano. Ukitaka biashara yako iende bila shida basi cha kwanza itakupasa ukae mbali na wanawake, acha ngono zembe.

Kama utashindwa ni akheri uoe kabisa, tena uoe mwanamke msafi mwenye maadili. Siyo uoe tena limalaya ambao litakuwa linafanya zinaa huko na kukuletea wewe mikosi.

Tunaposema mwanamke malaya au muasherati hafai kwa ndoa, na ikiwezekana kama umemuoa ukamfumania, basi itakupasa usijiulize mara mbilimbili, fukuza! Siyo kwa sababu tuu ya wivu wa kimapenzi. No! Bali ni pamoja na mambo ya kimaendeleo.

Hakuna familia zenye kufanya umalaya zikaendelea. Umalaya na umasikini vinapelekana bega kwa bega.

Mwanamke aliyefanya uzinzi au ngono anakuwa mchafu Kwa siku 14 wakati mwanaume anakuwa mchafu kwa siku 7.

Kama unamchongo unaousikilizia basi itakupasa ukae mbali na ngono zembe mpaka utiki. Lakini kama utajiingiza huko siyo ajabu pesa zako zikawa zinakuja lakini kila zikikaribia kuingia zinapeperuka. Yaani ni kama unanyang'anywa tonge mdomoni.

Umalaya ndiyo dhambi pekee ambayo mtu anaufanyia mwili wake. Dhambi zingine mtu hufanya nje ya mwili wake, yaani huwafanyia wengine. Ndiyo dhambi inayodhuru mwili na roho kwa haraka sana.

Ngono zinavuta mikosi, yaani unaweza pata pesa sasa hivi alafu hapohapo likatokea tatizo la kuitumia pesa uliyoipata nje ya mipango yako.

Namna pekee ambayo wazinzi wanaweza kuwa na bahati katika mambo yao ni kujiingiza kwenye ushirikina na ulozi. Ambapo itawapasa wagharamike kwa namna moja ama nyingine kusafisha nyota zao kwa kipindi cha muda fulani, huku wakiendelea na uchafu wao.

Sio rahisi umuone mtu anafanya uzinzi halafu mambo yake yanaenda bila ya kuwa mshirikina. Hiyo haiwezekaniki.

Biashara inahitaji usafi siyo tuu wa kimwili, bali pia usafi wa kiroho (mvuto) na kitu pekee kinachochafua mvuto wa kiroho ni zinaa.

Huwezi kuwa mzinzi halafu ukaenda kwenye project zako, mfano unamashamba ya mpunga au nyanya halafu uende ukiwa unafanya uchafu, lazima mambo yaharibike, au ufugaji. Kila kitu kina siri zake, aidha utumie madawa ya jadi ndiyo ufanikiwe lakini kumuomba Mungu asaidie miradi yao ilhali roho yako imechafuka huo ni uongo.

Kuna baadhi ya watu wanatabia ya kuingiza wanawake au malaya kwenye nyumba zao wanazoishi, ndugu zangu hivi kama umekosa akili kwa kiwango hicho, umeona haitoshi ulete wanawake waitie mikosi nyumba yako. Unafikiri guest house zilijengwa kwaajili gani.

Kama utashindwa kabisa ni bora mkafanyie kwenye vichaka, huko mbona fresh tuu kuliko kuingiza uchafu nyumbani kwako. Huo ni ukosefu wa maarifa.

Vijana kama unahitaji njia yako isiwe ngumu sana, yaani pesa zako zisije kwa mbinde basi unashauriwa acha ngono zembe. Na uliyenaye awe mwaminifu, na kamwe mtu asiyemwaminifu usijisumbue kumfundisha uaminifu au kumbembeleza, unabembeleza mtu anayeharibu mifumo ya maisha yako.

Usiponielewa, utanielewa katika mambo unayoyafanya, yaani kila ukifanyacho hakiendi, unafeli. Wakati wenzako chochote tunachogusa kitaenda kitake kisitake.

Ni yule kuhani

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.
Mimi ninakuunga Mkono maneno yako kwa Asilimia 1000%1000 Ni kweli kabisa Uzinzi ndio chanzo cha umasikini Mkubwa hata dini zetu 2 dini ya kiislam na dini ya kikristo zinakataza Kufanya zinaa aka uzinzi. Uzinifu unaleta ufukara katika mwili wako ukiwa wewe unadumu kuzini basi utakufa masikini tujiepusheni jamani na mambo ya Uzinzi Hongera Mkuu kwa kuzungumza maneno yako ya Point kubwa.
 
Mkuu ROBERT HERIEL, kichwani mwako una kitu cha ziada!! Sio akili tu, maana akili wote tunazo.. aidha uwezo wako uko juu sana.
 
Mbona waigiza picha za kumi kwa kirumi wana mijihela au mijifweza???kuleni mbususu wakuu kwa raha zenu
 
Ufu 21:8 SUV​

Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Waambie pia waache kufira.."kusukuma tope" watoto wa watu..
 
Sex ni kitu kidogo sana, Kuna dhambi za aina mbili tu hapa duniani 1. Kuua binadamu mwenzako 2. Kutotimiza ahadi muliyoaadiana na muumba wako siku ulipokuja hapa duniani, kama alisema uwe mkulima wewe ukawa dakitari hiyo ni dhambi, na hizi dhambi ni minor siyo Major. Dhambi kumbwa ni ya kwanza hiyo siku unatoka hapa duniani moja kwa moja motoni. Hiyo roho hairudi Tena duniani. Dhambi ya pili utaomba msamaa na kurudi Tena duniani. Hivyo mtoto inabidi ugundue kipaji chake akiwa na chini ya miaka miwili hapo bado wanawasiliana na muumba wake direct. Ndo maana wengine Wana vipaji hata bila kusoma ,wagunduzi bila hata kwenda shule, wengine shule hawasomi lakini wanapata A,AA. Wengine wanasoma usiku kucha lakini wanaambulia zero au D. Issue ya kuwa na wanawake wengi hiyo ni minor case. Haina uhusiano na maendeleo yako. Hivyo basi kula mbususu kadri ya uwezo wako. Kama ni utajiri ni juhudi zako za kazi tu.
kuna dhambi moja tu isiyosameheka,nayo ni'kumkashif roho mtakatifi"
 
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.

Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa awe mzinzi.
Uzinzi siyo tuu ni hatari kwa magonjwa hatari ya zinaa, bali pia ni hatari kwa magonjwa ya kuondoa kinga za kiroho.

Kikawaida binadamu akishaanza kufanya uzinzi ataanza kupoteza uwezo wake wa asili. Moja ya uwezo wa asili wa binadamu ni kuota ndoto zenye mantiki nyakati za usiku.

Binadamu kabla hajaanza ngono huota ndoto na anakuwa na uwezo wa kuzikumbuka kama siyo kuzitafsiri kabisa. Lakini akishaanza uzinzi ndoto hizo huanza kupungua na kupotea kabisa.

Huwezi ukawa mzinzi alafu ukaomba bahati au misaada ya kiroho kivyovyote vile. Hapo itakupasa ujitakase walau kwa siku zisizopungua tano ili uwe safi, kisha ndiyo ufanye mawasiliano na falme za rohoni.

Hata ukienda kwa waganga wa kienyeji kuna dawa ambazo ukipewa utaambiwa usikutane na mwanamke kwa siku kadhaa ili dawa zifanye kazi.

Au utaambiwa utembee na binti mdogo tena ikiwezekana ambaye ni bikra. Hapo ndipo kesi nyingi za ubakaji kwa watoto wadogo hujitokeza.

Vijana mnaoanza biashara, hasa hizi biashara za mitaji midogo chin ya milioni tano. Ukitaka biashara yako iende bila shida basi cha kwanza itakupasa ukae mbali na wanawake, acha ngono zembe.

Kama utashindwa ni akheri uoe kabisa, tena uoe mwanamke msafi mwenye maadili. Siyo uoe tena limalaya ambao litakuwa linafanya zinaa huko na kukuletea wewe mikosi.

Tunaposema mwanamke malaya au muasherati hafai kwa ndoa, na ikiwezekana kama umemuoa ukamfumania, basi itakupasa usijiulize mara mbilimbili, fukuza! Siyo kwa sababu tuu ya wivu wa kimapenzi. No! Bali ni pamoja na mambo ya kimaendeleo.

Hakuna familia zenye kufanya umalaya zikaendelea. Umalaya na umasikini vinapelekana bega kwa bega.

Mwanamke aliyefanya uzinzi au ngono anakuwa mchafu Kwa siku 14 wakati mwanaume anakuwa mchafu kwa siku 7.

Kama unamchongo unaousikilizia basi itakupasa ukae mbali na ngono zembe mpaka utiki. Lakini kama utajiingiza huko siyo ajabu pesa zako zikawa zinakuja lakini kila zikikaribia kuingia zinapeperuka. Yaani ni kama unanyang'anywa tonge mdomoni.

Umalaya ndiyo dhambi pekee ambayo mtu anaufanyia mwili wake. Dhambi zingine mtu hufanya nje ya mwili wake, yaani huwafanyia wengine. Ndiyo dhambi inayodhuru mwili na roho kwa haraka sana.

Ngono zinavuta mikosi, yaani unaweza pata pesa sasa hivi alafu hapohapo likatokea tatizo la kuitumia pesa uliyoipata nje ya mipango yako.

Namna pekee ambayo wazinzi wanaweza kuwa na bahati katika mambo yao ni kujiingiza kwenye ushirikina na ulozi. Ambapo itawapasa wagharamike kwa namna moja ama nyingine kusafisha nyota zao kwa kipindi cha muda fulani, huku wakiendelea na uchafu wao.

Sio rahisi umuone mtu anafanya uzinzi halafu mambo yake yanaenda bila ya kuwa mshirikina. Hiyo haiwezekaniki.

Biashara inahitaji usafi siyo tuu wa kimwili, bali pia usafi wa kiroho (mvuto) na kitu pekee kinachochafua mvuto wa kiroho ni zinaa.

Huwezi kuwa mzinzi halafu ukaenda kwenye project zako, mfano unamashamba ya mpunga au nyanya halafu uende ukiwa unafanya uchafu, lazima mambo yaharibike, au ufugaji. Kila kitu kina siri zake, aidha utumie madawa ya jadi ndiyo ufanikiwe lakini kumuomba Mungu asaidie miradi yao ilhali roho yako imechafuka huo ni uongo.

Kuna baadhi ya watu wanatabia ya kuingiza wanawake au malaya kwenye nyumba zao wanazoishi, ndugu zangu hivi kama umekosa akili kwa kiwango hicho, umeona haitoshi ulete wanawake waitie mikosi nyumba yako. Unafikiri guest house zilijengwa kwaajili gani.

Kama utashindwa kabisa ni bora mkafanyie kwenye vichaka, huko mbona fresh tuu kuliko kuingiza uchafu nyumbani kwako. Huo ni ukosefu wa maarifa.

Vijana kama unahitaji njia yako isiwe ngumu sana, yaani pesa zako zisije kwa mbinde basi unashauriwa acha ngono zembe. Na uliyenaye awe mwaminifu, na kamwe mtu asiyemwaminifu usijisumbue kumfundisha uaminifu au kumbembeleza, unabembeleza mtu anayeharibu mifumo ya maisha yako.

Usiponielewa, utanielewa katika mambo unayoyafanya, yaani kila ukifanyacho hakiendi, unafeli. Wakati wenzako chochote tunachogusa kitaenda kitake kisitake.

Ni yule kuhani

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es salaam.
Nakuunga mkono 100% ngono zembe huleta nuksi na mikosi isiyokwisha, ukwamisha mambo mengi hata ukiwa mkulima au mvuvi hupaswi kwenda kuvua au shambani ukiwa mchafu, andiko lako linafikirisha katika namna chanya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wanajamvi, Naomba mtu anitumie Uzi fulani wa siku za nyuma Mwezi huu wa kwanza 2023, Ulikua unaelezea mtu anapokutana kimwili na watu tofauti tofauti anaweza kubeba mabalaa na mikosi. Ahsante
 
Back
Top Bottom