Serikali inaona manabii feki wanasaidia kuwapoza watu.

Kama serikali haitimizi kazi yake ya kununua dawa, nabii anasaidia kuwapa matumaini watu kuwaombea wapate uponyaji.

Sasa hapo, hata kama serikali itajua huyu nabii ni tapeli, itakuwa vigumu kumuwajibisha.

Kwa sababu serikali imeshindwa kuwahudumia watu, watu wamekimbilia kwa nabii kupata afueni, serikali ikiziba hata huko kwa nabii wasiende, itakuwa imealika maafa ya kijamii yanayoweza kupelekea mapinduzi ya nchi.

Ndiyo maana serikali inaachia manabii hawa waisaidie kuwapa watu matumaini, japo ya kujengwa kwenye uongo.

Serikali inajua watu wakifocus kwenye uzima wa milele mbinguni, hawawezi kuwabana wanasiasa kuhusu matumizi ya kodi zao hapa duniani.
 
Watu wenye akili uwa hatuamini vitu bila evidence na kufanya investigation,Kwa upande wangu sipo upande WA kukubali au kukataa tuuma dhidi ya Joshua maana Sina evidence yoyote ya kukubali na kukataa pia
 
Wabongo wengi mnakataa tu bila evidence na bila kufanya investigation za kusibitisha ni uongo,
 
Mh! Kumbe kuna mengi behind the scene!
 
Watu wenye akili uwa hatuamini vitu bila evidence na kufanya investigation,Kwa upande wangu sipo upande WA kukubali au kukataa tuuma dhidi ya Joshua maana Sina evidence yoyote ya kukubali na kukataa pia
Umeangalia video tatu za BBC Eye on Africa kuhusu TB Joshua?
 
Ila BBC bhana,
Mimba ya kwanza inatolewa, ya pili ya tatu bado upo pale pale unaendelea kuwa kwenye hilo dhehebu?
Hadi mimba ya tano bado upo kwa muhubiri huyo huyo?
Mbona kama vile kuna ukakasi mwingi.
 
Ukweli ni utabaki kuwa kweli.

Hata iwe miaka bilioni ukweli wa kitu lazima uje upatikane.

Huyo TB Joshua ni Tapeli pamoja na huyo Yesu kristo wote matapeli.
Daaah🙆🙆🙆Yesu Kristo amekosea Nini ndugu? Atajitetea mwenyewe kwako.
 
Watoe ushaidi au sio?!
 
Blah blah hizi zinahusu mtu aliyekufa direct asiyejitetea na hazihusu taasisi. Wajunga wasiojitambua wala wenye uwezo wa kufikiria kizazi cha 1990's to 2000's ndio mtashadadia ila kwa mtu mwenye utulivu wa kiakili, hakuna kitu cha maana hapa
Unapotosha, wengi humo walijitoa 2014-2018 sasa mali zipi walizotaka? Walishaandikaga vitabu huko nyuma kueleza haya sasa unapodai wamesubiri amekufa ni ajabu kidogo unless wewe ndio umewasikia baada ya BBC kuwahoji majuzi.

Kuhusu kushtaki wameeleza humo fear waliokua nayo, na hata ungeshtaki hakuna angeamini zaidi ungepotezwa tu. Kama mwamposa tu watu walikufa hakuna alichofanywa ndio sembuse ukamshtaki si ungegeuziwa kibao wewe!!

Ni ajabu sana hutaki kuwaamini watu waliokua direct subordinates kwake ila unataka tukuamini wewe unayecomment ukiwa Tandale kwa Tumbo!! You can't be serious.
 
Baada ya Jamaa kufariki, waliokuwa wajumbe wa baraza la wadhamini walipendekeza mtu wao awe mkuu au mmiliki na mali za kanisa kwani ile ni taasisi sasa
Acha uongo, kuna mjumbe gani wa bodi kahojiwa humo? Hao wote walishajitoaga 2014 huko sasa bodi na "vijakazi" wapi na wapi?
 
Wewe huna ujuacho humu duniani zaidi ya kumkatikia kiuno Mbowe.
 
Wacha weeeeee, je hawawezi kutumiwa na hao wajumbe kusema hilo? Unajua nini kilitokea baada ya jamaa kufa?
Hao "vijakazi" Wameshaandika vitabu mkuu tokea 2018 sasa wao wana vita tofauti na TB Joshua hayo ya bodi ni vurugu nyingine haihusiani na hawa "vijakazi". Ingekua wote hawa wapo kimya mpaka kifo ndio hoja yako ingesimama.
 
Hapa Bongo wakaanze na Mwamposa then Gwajiboy wakitaka list nyingine wanicheki..[emoji23][emoji23][emoji23] sijui Masanja n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…