Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
Kuna saikolojia fulani inawaonesha watu wengi kuwa ni wanyama fulani tu bado.

Kuna herd mentality inafanya watu wawe kondoo.

TB Joshua alijua hii saikolojia.

1. Alitumia pesa na mafanikio kuvutia watu masikini.

2. Alitumia miujiza feki kuvutia watu wanaopenda miujiza.

3. Alitumia wazungu kuvuta akili za Waafrika wajinga wengi. Kwenye documentary wameongelea hili kwamba Muafrika mjinga mara nyingi hata kama hakuamini, akiona Mzungu kakuamini inakuwa rahisi sana kumkamata, anaona huyu mtu kama hata wazungu wanamkubali basi lazima atakuwa anasema kweli.

4. Alitumia wanasiasa ambao na wao walimuhitaji kujitakasa waonekane watakatifu. Yani ilikuwa biashara ya Pwagu na Pwaguzi. TB Joshua nabii tapeli anatumia wanasiasa kuendesha mambo yake, na wanasiasa waongo wanamtumia TB Joshua kujisafisha waoneoane wasafi wanakubalika na mtu wa Mungu.

5. Alijua kutumia mwanya wa mapungufu ya social services kwa watu masikini. Nchi isiyo na hospitali, isiyo na ajira, isiyo na elimu watu wamepigika, hawana matumaini, TB Joshua akaibuka kama mtu wa Mungu mwenye kufanya miujiza, kuwapa watu magunia ya mchele na pesa, watu wakaona huyu ndiye nabii wa kweli. Serikali zingemaliza matatizo ya watu zingepunguza mianya ya hawa matapeli kuibuka.

Tanzania na sisi tujifunze, kwa sababu tunao watu kama TB Joshua.
Uko vizuri sana. Unaweza kuandika makala kubwa ya kuelimisha jamii na huu utapeli wa kilokole.? Shida za jamii ndiyo na matapeli wa kidini wanapita humohumo kujitajirisha
 
Uko vizuri sana. Unaweza kuandika makala kubwa ya kuelimisha jamii na huu utapeli wa kilokole.? Shida za jamii ndiyo na matapeli wa kidini wanapita humohumo kujitajirisha

Mkuu,

Kama uko kwenye akili yangu. Hata mimi nilikuwa nafikiri kwamba kuna haja ya kuandika makala comprehensive ya kuchambua jambo hili.

Lakini, mara nyingine naona kama wanaoelewa wanaelewa , na wasiotaka kueleea hawataelewa hata uwaambie nini. Kama kila mtu kachagua upande wake na wengi wanatetea upande wao badala ya kujifunza.

Kuna watu bado wanajifunza kweli?
 
Sensible thinking
Kuna saikolojia fulani inawaonesha watu wengi kuwa ni wanyama fulani tu bado.

Kuna herd mentality inafanya watu wawe kondoo.

TB Joshua alijua hii saikolojia.

1. Alitumia pesa na mafanikio kuvutia watu masikini.

2. Alitumia miujiza feki kuvutia watu wanaopenda miujiza.

3. Alitumia wazungu kuvuta akili za Waafrika wajinga wengi. Kwenye documentary wameongelea hili kwamba Muafrika mjinga mara nyingi hata kama hakuamini, akiona Mzungu kakuamini inakuwa rahisi sana kumkamata, anaona huyu mtu kama hata wazungu wanamkubali basi lazima atakuwa anasema kweli.

4. Alitumia wanasiasa ambao na wao walimuhitaji kujitakasa waonekane watakatifu. Yani ilikuwa biashara ya Pwagu na Pwaguzi. TB Joshua nabii tapeli anatumia wanasiasa kuendesha mambo yake, na wanasiasa waongo wanamtumia TB Joshua kujisafisha waoneoane wasafi wanakubalika na mtu wa Mungu.

5. Alijua kutumia mwanya wa mapungufu ya social services kwa watu masikini. Nchi isiyo na hospitali, isiyo na ajira, isiyo na elimu watu wamepigika, hawana matumaini, TB Joshua akaibuka kama mtu wa Mungu mwenye kufanya miujiza, kuwapa watu magunia ya mchele na pesa, watu wakaona huyu ndiye nabii wa kweli. Serikali zingemaliza matatizo ya watu zingepunguza mianya ya hawa matapeli kuibuka.

Tanzania na sisi tujifunze, kwa sababu tunao watu kama TB Joshua.
hahaha!wataje mkuu hao kina Joshua wa Tanzania
Sensible thinking
 
hahaha!wataje mkuu hao kina Joshua wa Tanzania
Nikiwataja nitakuwa nimefanya mada yangu iwe maalum kwao, wakati mada ni pana inahusu aina ya watu.

Lakini kama unaona mambo sawa yametokea kwa TB Joshua na watu fulani Tanzania, basi ndio hao hao.
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
Walikuwa wapi kutoa alipokuwa hai? Kama uchunguzi wao ulikuwa haujakamilika wangetoa vipi?
 
Wengi wa hawa jamaa ni washenzi tu wanaotumia mwamvuli wa dini kuficha maovu yao!

1704893572065.png
 
Ila walichokosea ni kimoja kwanini wasingetoa pindi alipokua hai??

Kwasasa hata kama ni ukweli itqonekana ni uzushi wa kutaka kuchafua legacy yake

Allow mtu wa MUNGU apumzike
BBC wanafanya uchunguzi then ndio wanakuja public wasingeweza kutoa kipindi unachosema wewe kama uchunguzi ulikuwa haujakamilika
 
View attachment 2867442
Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia

Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko

Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC dhidi ya TB Joshua kujihusisha na vitendo vya udhalili ni mpango wa shetani kutaka kuichafua imani yetu

Shetani ni mwongo na baba wa huo, asemapo uongo asema yaliyo yake mwenyewe, kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo Yohana 8:44

Shetani ameamua kutumia uongo, Katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokelewa, 2Wathesalonike 2:9-12
Yaani processor ya kichwa chako imetulia vizuri sana
 
Mungu hayupo mkuu.

Angekuwepo asingeruhusu watu watumie jina lake kubaka watoto, kufanya hadaa na uchafu hivi.

That is just simple logic.

Ukishajua hilo, hawa wajingawajinga kina TB Joshua hawawezi kukusumbua.

Hizi dini ni siasa na hustle za watu tu kujitafutia maisha na kupambana na hali zao.
Uzi ufungwe

Manabii wote matapeli na miyeyusho

Ova
 
Mkuu,

Kama uko kwenye akili yangu. Hata mimi nilikuwa nafikiri kwamba kuna haja ya kuandika makala comprehensive ya kuchambua jambo hili.

Lakini, mara nyingine naona kama wanaoelewa wanaelewa , na wasiotaka kueleea hawataelewa hata uwaambie nini. Kama kila mtu kachagua upande wake na wengi wanatetea upande wao badala ya kujifunza.

Kuna watu bado wanajifunza kweli?
Ukitoa makala ndiyo itafumbua na kuwaelimisha wengi. Pia ndani ya makala Kuna ujumbe Kila mtu utamfikia kutokana na mlengo wake.
 
Cults zinaonesha saikolojia ya watu ilivyo tata.

Angalia Kibwetere wa Uganda, angalia Mackenzie wa Kenya.

Haya, unaweza kusema huko Afrika watu wajinga.

Angalia Jim Jones, angalia Heavens Gate, angalia David Koresh, wote hawa USA.

Whitney Houston katika wimbo wake "The Greatest Love of All" aliimba hivi.

"Everybody is searching for a hero.
People need someone to look up to..."

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Hivi waamuni kama hawa vichwani watakuwa wazima kweli
Naona mleta mada naye akiambiwa aende akawe mmoja wa waamuni wa kanisa hili ataenda

Ova
 
Mleta uzi nenda na we kabongoke
Kama hawa waamuni maana ndiyo manabii wenu makanisa yenu

Ova
 
Bwana eeh mm naogopa sana kujaji Mtu ila nahisi kafanya Maana pia Ukiangalia BBC hawana faida yyte wanayopata kumuanika mtu aliyekufa
 
1. Wanaoshuhudia madhila na utapeli ni walioukuwa watumishi na wanafunzi wa TB Joshua mwenyewe na kanisa lake, sio watu baki. Mmojwapo ni watu waliokuwa karibu kabisa naye kama mtu namba mbili baada ya TB Joshua.

2. Kwenye baadhi ya sehemu za clips zilizorekodiwa na kanisa hilo na ambazo ni public zilizotumiwa na BBC TB Joshua anaonyeshwa akifanya mambo ya ajabu mbele ya hadhara kama kupiga watu makofi kama sehemu ya huduma!

3. TB Joshua alikuwa akiishi kwenye jumba mfano wa gereza na kundi kubwa la wanaoitwa "disciples" wanafunzi wake, wengi wakiwa wanawake vijana na vigori, walivyokuwa wanapatikana anajua yeye mwenyewe ila mmoja wa wahojiwa anasema alipewa na kazi na TB Joshua ya kuleta wanafunzi wa kike mabikira. Watu kuzuiliwa kama wako kifungoni na viongozi wa cults sio jambo jipya, mifano ni mingi sana kuanzia kwa jirani zetu hapa Kenya katika kisa cha Shakahola, huko kwingine duniani wamewahi kuwepo kina Jim Jones wa people's temple, David Koresh wa Waco n.k

4. Hakuna mgogoro wowote ndani ya kanisa la SCOAN unaohusishwa na waathirika hawa walioamua kusema yaliyokiwa yanatendeka nyuma ya pazia, hivyo huwezi kusema hata ni watu wenye nia ovu ya kulimega hilo kanisa na kuanzisha lao.

5. BBC wanasema waandishi wao walirushiwa risasi na walinzi wa kanisa hilo walipokuwa wanachukua video. Kanisa lolote linaloweza kufikia kiwango hichi cha kujificha kutoka waandishi wa habari ni taa nyekundu.

6.Ni kweli jengo la kanisa la TB Joshua liliwahi kuanguka na kuua mamia ya watu kwa sababu ya kutofuata taratibu sahihi za ujenzi na TB Joshua akasema kulikuwa na ndege ndogo iliyokuwa ikizunguka katika jengo hilo iliyopelekea kuporomoka na kwamba pia lilikuwa na jaribio la mauaji dhidi yake. Hata hivyo Ushahidi wa wazi ni kwamba taratibu nyingi za ujenzi wa jengo hilo zilikiukwa lakini kwa sababu matapeli wa kidini kama yeye wamekuwa na nguvu na ushawishi mkubwa sana katika serikali za Africa hakuna hatua yoyote aliyochukuliwa.

7. BBC wamefanya uandishi wa kiuchunguzi "investigative journalism" sio utafiti "research" au forensic investigation ambayo sasa inapaswa kufanywa na polisi kuthibitisha zaidi yaliyoletewa hadharani na BBC. Yani kazi kubwa iliyofanywa na BBC ni kuwasikiliza waathirika takribani 30 kutoka sehemu mbalimbali, kuhakikisha hawajapanga "conspire" kusema walichosema, kuoanisha wanachosema"corroboration" na kisha kuwapa fursa kanisa la SCOAN la TB Joshua kuzungumzia tuhuma hizo ambapo walikataa kuwapa ushirikiano wowote.

Kazi ya ushahidi mwingine unaodaiwa na baadhi ya member hapa jukwaani kama ushahidi wa video wa watu wakibakwa ni suala la forensic investigation na mahakamani kama polisi wa Nigeria wataamua kufuatilia kesi hiyo. BBC wamefanya kazi yao uandishi wa kiuchunguzi kwa weledi mkubwa na wamemaliza.
"TUTULEE HAPA HUU UPUUZI WAKO,,,UMEWEKA PICHA YA EINSTEIN HAPO ILA UNA AKILI KAMA KOMBAMAVI"
 
Herd mentality ndiyo kasumba ndani ya jamii ya wanadamu. Mtu atakwenda kanisani Kwa sababu Fulani anakwenda. Kumbe Kuna haja ya kuanzisha nyumba za ibada za asili ya afrika. Je tukiweza kuanzisha nyumba za ibada za asili . Je vikwanzo vitatoka Kwa ukristu au uislamu. Napenda kupata andiko kubwa la kurudisha Mila na desturi zetu Toka mababu zetu sababu najiona kama ni mapungufu makubwa Kwa kufuata dini zilizoletwa Kwa njia utumwa na mpaka Leo Bado utumwa upo. Sababu Kuna makanisa na misikiti
 
Back
Top Bottom