Ndo maana DSTV wametoa tangazo la kuindoa Channel yake ya emmanuel TV kwenye kisimbuzi chao
 
BBC hawana jema kwa Afrika.....tizama hata picha zao.

Mara zote hawaonyeshi mandhari nzuri.....kutatuta mabaya tu chuki dharau ubaguzi...n.k
 
BBC hawana jema kwa Afrika.....tizama hata picha zao..Mara zote hawaonyeshi mandhari nzuri.....kutatuta mabaya tu...chuki...dharau..ubaguzi...n.k
Lakini ndo walioinua madudu ya markenzi pia wa Kenya na baadae ikaonekana ni kweli baada ya nyie kupinga
 
Kwanza kanisa likisha kuwa mali ya familia tu hiyo ni shida. 1. baba nabii.

2. Baba akifa anachukua mamaq.

3. Mama akifa wanachukua watoto. Shelembeki!
 
Wazushi hao, in maana miaka yote hiyo wananajisiwa kimyakimya na hawasemi, leo miaka kadhaa baada ya mhusika kufariki ndio wanaibuka 😳 😳 😳 😳
 
Inawezekana tu kuchukua mtu yoyote tu kuzungumza,

Kuna ushahidi gani kwamba walifanyiwa hayo waliyofanyiwa ukiachilia mbali mazungumzo
Ushahidi hutolewa na mhusika ndio keshatoa.

Kazi iliyobaki ni kutetea kwa anaetaka...
 
Kwa BBC ilivyo kama hizo tuhuma zingekuwa 100% true bhasi wasingesita kupandikiza mtu wa kuwaletea ushahidi usio na mashaka kuliko hayo maneno. Hata hivyo siwezi kupinga na wala siwezi kukubali hadi pale nitapoona ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…