Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
Imetumikaje.. ??
BBC ni wana habari. Sisi tumezoea wanahabari wa kuunga mkono kila kitu!!!
ANAEPASWA KUKANUSHA NI SCOAN. SIO WADAU WENGINE..
Habari bila ushahidi ni majungu tu.
Lete Ushahidi usio na mashaka.

BBC ya sasa majungu kuhusu Afrika na Waafrika ndio ajenda Yao.
 
Shetani yuko kazini, hao wamama ni maajenti wa shetani, walitumwa ili wakiangushe mtumishi wa Mungu lakini waligonga mwamba
 
Everything that is close to God receives attacks, They are desperately kuharibu image ya kanisa Duniani . Ila hawatashinda
 
Waafrika tuna shida akiibuka mwafrika mwenzetu anayetusaidia nchi kupata pesa na watu kuinuka kibiashara tunaanza vita

Mfano Mzee wa kikombe Cha Babu watu Toka mataifa mbalimbali walifuruka kwake na kuingizia mbilioni serikalini na eneo lile lilikuwa Kijiji hovyo tu likapaishwa fitna na wivu wa waswahili sio wazungu ukamaliza mzee watu Alipokuwa juu biashara zilichangamka sana Arusha hoteli zilijaa Hadi basi Kila siku

TB Joshua ni mmoja wa waafrika pekee ambaye ana makanisa mabara yote mengine yakiwa na watu weupe watupu makubwa
Nigeria ilimpa Hadi nishani ya heshima Kwa kusaidia kuingiza pesa nyingi za kigeni Kwa watu waliokuwa wakienda kusali kule Nigeria

Hadi serikali ya Israel ilimpa eneo ajenge kanisa lake kule Kwa kutambua umuhimu wake Kwa mamilioni ya waumini wa kanisa lake aliikuwa akiwapeleka kutembelea Israel wakiingizia Israel mamilioni ya madola.

Hata alipofariki serikali ya Israel ilituma wawakilishi kwenye msiba Nigeria

Hao wote wanatumiwa kuharibu tu jina lake .Kafa basi wamuache
 
Ushahidi upo BBC.
Watu washasema......
Mwenye mashaka yupo JF anabisha!!!..
Anaeweza kuisuta BBC ni SCOAN tu..
Ni majungu tu hakuna ushahidi wa wazi uliowekwa kuthibitisha Madai Yao.
Kama upo uweke hapa tuuone.
 
Ni majungu tu hakuna ushahidi wa wazi uliowekwa kuthibitisha Madai Yao.
Kama upo uweke hapa tuuone.
Mkuu...
Sijui kama unaelewa..........!!!
USHAHIDI WAMETOA WAHUSIKA.,MIMI NIWEKE HAPA NINI??
KAMA HUUKUBALI. TOA MAKALA BBC YA KUPINGA KWA NIABA YA SCOAN.
 
Hiyo ni uongo ,wanataka kumfilisi japo ni marehemu ,hizo mali zake atapokonywa ili hao wanaodai wamenyanyaswa wapewa.

Wanafanya hivi kwa vile huyu ana mali mpaka nchi za nje ,hizo ndio mbinu zao.
 
Mm sijawahi kuwakubali Hawa wanaojiita wachungaji ila hicho walichotoa BBC hakiendani kabisa na hadhi yao, BBC sijui nini kimewakuta hawana tofauti na vyombo vya habari vya udaku.
Hahahha wewe unamkubali Papa tu kwa kukubali ushoga😂
 
Ushahidi upo BBC.
Watu washasema......
Mwenye mashaka yupo JF anabisha!!!..
Anaeweza kuisuta BBC ni SCOAN tu..
Tunataka Solid evidence not talks na blah blah

Mahojiano hata wewe unaweza mfanyia mtu dhidi ya mtu mwingine

Watoe tangible evidence sio maneno maneno
 
Tunataka Solid evidence not talks na blah blah

Mahojiano hata wewe unaweza mfanyia mtu dhidi ya mtu mwingine

Watoe tangible evidence sio maneno maneno
Kafanye mkuu na BBC ukanushe.
Ungetusaidia sana kwanye huu uzi...
Tuache kulumbana.
 
Back
Top Bottom