Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo siô KWELI.

Zîpo sababu nyingi Sana zinazopelekea Mwanaume Kufa mapema Kabla ya Mkewe lakini sababu kûbwa àmbayo imenishangaza na àmbayo itakushangaza ni hii; Wanawake kutokuwa na Upendo na Waume zào hiyo ndîo sababu Namba Moja na kûbwa kuliko.

Unapooa hakikisha umethibitisha pasi na Shaka kuwa Mwanamke unayeenda kumuoa Anakupenda. Achana na Ile mitazamo ya Watu wajinga kuwa Mwanamke hapendi, hao hawaelewi lolote kuhusu Saikolojia ya binadamu.
Mwanamke anapenda tenà anapenda kuliko Mwanaume ingawaje Upendo wake upo kikike na hauwezi fanana na Upendo wa sisi Wanaume.

1. Mwanamke yeyote àmbaye umemuoa nje ya Upendo Mwanamke huyo atakusababishia Kifo chako mapema Kabisa Kabla ya Miaka 60 utakuwa ushalamba mchanga.

2. Mwanamke yeyote àmbaye ni Mlalamishi huyo hakupendi. Huyo atakufanya ufe mapema Kwa Hakika.

3. Mwanamke yeyote àmbaye anakuona Kero ukirudi nyumbani anakuletea kisirani huyu ni muuaji wako wa Siri àmbaye ninakuhakikishia hutoboi Miaka 60 utalamba mchanga.

4. Mkeo àmbaye hajivunii wewe yàani hakusifii, anakudharau yàani anaona Wanaume Wengine wa Maana kuliko wéwe. Huyo anakuua Bila ya wewe Kujua. Lazima upasue Matairi mapema tuu.

5. Mwanamke yeyote àmbaye ukirudi Nyumbani Kutoka Kazini unamkuta kîla mara ananuna nuna haonyeshi furaha wewe kuwepo nyumbani . Nakuhakikishia hutoboi Miaka 60 utaangusha gari na kuaga mashindano.
Kwa Sisi Watibeli Mwanamke mwenye kununa nuna tunafukuza mapema Sana. MTU anayenuna Bila sababu za maana anatengeneza mazîngira ya kukunyima Furaha Kwa sababu Mwanaume halisi hawezi kuwa na furaha na Amani Wakati anamuona Mkewe amenuna.
Sasa kuliko kila Siku umuulize kulikoni au ubembeleze Sisi Watibeli tunafukuza Kabisa.

6. Mwanamke yeyote àmbaye hakutii Hana adabu na hakusikilizi huyo anakuua polepole. Utakufa Siku siô zako. Fukuza.
Hutakiwi kumfundisha Mwanamke kukutii au kuwa na adabu. Mwanamke anayekupenda automatically anakuwa anaadabu Bila kujali Hali yako.

7. Mwanamke yeyote àmbaye unatumia nguvu kûbwa ili úwe naye huyo hata kama mngefunga Ndoa mbinguni au mmefungishwa Ndoa na Papa. Fukuza.
Huyo utakufa mapema Kabla ya Wakati wako.

Hupaswi kutumia Ñguvu yoyote kuishi na Mkeo ili afurahie. Usiwe mtumwa wa Mwanamke.

8. Mwanamke yeyote mshirikina. Ninakuhakikishia Huwezi toboa Miaka 60 ukiishi na mwanamke mshirikina au Mchawi.
Wanawake wakishakuwa washirikina au Wachawi huwaza kumtikisa Mwanaume. Weka akilini hiyo.
Mwanamke mshirikina íwe Kwa mawazo au maneno au vitendo fukuza mara Moja.

9. Mwanamke àmbaye ni Malaya huyo usiwe na mûda wa kumuuliza chochote Kile. Fukuza.
Mwanamke Malaya ni muuaji wa Nafsi yako. Huwezi ishi na Mwanamke aliyekusaliti alafu ukafikisha Miaka 60 never ever.
Sisi Watibeli Kanuni zetu zîpo bayana íwe Wengine wanazipenda au hawazipendi.

10. Mwanamke yeyote àmbaye akiwa na Watoto wako, Wazazi wake, ndugu au ràfiki Zake anakuzungumzia vibaya huyo lazima ufe mapema. Siku ukigundua usilaze damu. Fukuza.
Mwanamke anayekupenda Kamwe hawezi kuzungumzia vibaya Kwa watu.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanaume wengi hasa wale waliooa Mke mmoja waliuawa na Wake zào Kwa vitendo vya kisaikokojia.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Wanaume wengi waliuawa na Wake zào Kwa kupewa stress za makusudi na wake zào.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa wanaume wengi waliuawa na Wake zào Kwa tàbia mbaya za Wake zào kutokuwa na Shukrani Kwa kidôgo wanacholetewa na Waume zào.
Wanawake hao Kwa Roho zào mbaya hutunga hadithi za uongo makusudicaly kama kusema Baba Yenu anahonga Huko nje na hawajali ninyi Watoto wake ilhali Kwa sehemu kûbwa ni uongo.
Kwa Sisi Watibeli hasa Mimi Mtibeli halisi Mwanamke akishaanza kusema ninahonga nje au ninawanawake nje Wakati sina, hakika nitamfukuza na tutaachana.
Watibeli tunajua Kwa nini Wanawake huongea hivyo na Sisi Kamwe hatuwezi kugeuzwa watuhumiwa kimakusudi Kwa mipango ya Siri ya Wanawake kuchunguza Akili zetu na jinsi Mioyo yetu ilivyo.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi hawawapikii Waume zào Kwa Wakati na huwalaza Njaa kimakusudi ili kuwakera. Na Wanaume wengi waliuawa na wake zào Kwa Njaa.
Hasa Wanaume Umri ulioenda kuanzia Miaka 50 kuendelea.

Wanaume wengi waliuawa Kwa kufanywa wapweke na Wake zào. Ikiwemo kutokupewa unyumba, kuachwa Hapo na wake zào kukimbilia Kwa Watoto.

Kisaikokojia, Wanawake walalamikaji hutumia Mbinu hiyo ya kivita kama silaha hatari yenye kuchinja mbele na Nyuma.
Malalamishi ni Mbinu Mkakati àmbayo hutumiwa kumlebo Mwanaume Kwa Siku zijazo ili apewe hukumu ya Kifo. Ni Sumu àmbayo imeua wengi.

Watoto wengi wameshiriki kutimiza hukumu ya Kifo Kwa Baba zào kutokana na Malalamiko ya Muda mrefu àmbao ulikuwa Mkakati wa kumuua Mwanaume.

Wito, mwisho; oa Mwanamke unayempenda usioe ilimradi kwani Ndoa NI uwanja àmbao Wanawake wasiokupenda watatumia kukuangamiza

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
"The worse prison in the world is the home without peace, be very careful of whom you got married or fall in love with."
Johnny Depp
 
Kwa kweli baadhi ya wanawake wa sasa ni mtihani sana, wabishi, wahuni, wanataka kutawala, wapo kimaslahi nk.

Kuna jamaa huwa wanasema tujipende, tupende nafsi zetu, tujipe umuhimu baada ya hapo ndio tuangalie upande mwingine wa shilingi. Nawaelewa sana.
 
Mtibeli umemaliza, nimejifunza kitu na nahitaji kubadilika

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli baadhi ya wanawake wa sasa ni mtihani sana, wabishi, wahuni, wanataka kutawala, wapo kimaslahi nk.

Kuna jamaa huwa wanasema tujipende, tupende nafsi zetu, tujipe umuhimu baada ya hapo ndio tuangalie upande mwingine wa shilingi. Nawaelewa sana.

Wako Sahihi Kabisa
 
Wanawake walikuwepo zamani...

Kizazi cha sasa asilimia kubwa unapata mke anataka kuwa juu ya mume, na wanaona sawa tu...

Wana heri wanawake wale waliochagua kuwa submissive kwa waume zao...
Wacha bwana!! Mkwe nakusalimia.
 
Wanawake walikuwepo zamani...

Kizazi cha sasa asilimia kubwa unapata mke anataka kuwa juu ya mume, na wanaona sawa tu...

Wana heri wanawake wale waliochagua kuwa submissive kwa waume zao...

Maana Zamani Watu walikuwa wanazeeka na hakukuwa na hizi mambo ya Mume Kufa mapema
 
UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo siô KWELI.

Zîpo sababu nyingi Sana zinazopelekea Mwanaume Kufa mapema Kabla ya Mkewe lakini sababu kûbwa àmbayo imenishangaza na àmbayo itakushangaza ni hii; Wanawake kutokuwa na Upendo na Waume zào hiyo ndîo sababu Namba Moja na kûbwa kuliko.

Unapooa hakikisha umethibitisha pasi na Shaka kuwa Mwanamke unayeenda kumuoa Anakupenda. Achana na Ile mitazamo ya Watu wajinga kuwa Mwanamke hapendi, hao hawaelewi lolote kuhusu Saikolojia ya binadamu.
Mwanamke anapenda tenà anapenda kuliko Mwanaume ingawaje Upendo wake upo kikike na hauwezi fanana na Upendo wa sisi Wanaume.

1. Mwanamke yeyote àmbaye umemuoa nje ya Upendo Mwanamke huyo atakusababishia Kifo chako mapema Kabisa Kabla ya Miaka 60 utakuwa ushalamba mchanga.

2. Mwanamke yeyote àmbaye ni Mlalamishi huyo hakupendi. Huyo atakufanya ufe mapema Kwa Hakika.

3. Mwanamke yeyote àmbaye anakuona Kero ukirudi nyumbani anakuletea kisirani huyu ni muuaji wako wa Siri àmbaye ninakuhakikishia hutoboi Miaka 60 utalamba mchanga.

4. Mkeo àmbaye hajivunii wewe yàani hakusifii, anakudharau yàani anaona Wanaume Wengine wa Maana kuliko wéwe. Huyo anakuua Bila ya wewe Kujua. Lazima upasue Matairi mapema tuu.

5. Mwanamke yeyote àmbaye ukirudi Nyumbani Kutoka Kazini unamkuta kîla mara ananuna nuna haonyeshi furaha wewe kuwepo nyumbani . Nakuhakikishia hutoboi Miaka 60 utaangusha gari na kuaga mashindano.
Kwa Sisi Watibeli Mwanamke mwenye kununa nuna tunafukuza mapema Sana. MTU anayenuna Bila sababu za maana anatengeneza mazîngira ya kukunyima Furaha Kwa sababu Mwanaume halisi hawezi kuwa na furaha na Amani Wakati anamuona Mkewe amenuna.
Sasa kuliko kila Siku umuulize kulikoni au ubembeleze Sisi Watibeli tunafukuza Kabisa.

6. Mwanamke yeyote àmbaye hakutii Hana adabu na hakusikilizi huyo anakuua polepole. Utakufa Siku siô zako. Fukuza.
Hutakiwi kumfundisha Mwanamke kukutii au kuwa na adabu. Mwanamke anayekupenda automatically anakuwa anaadabu Bila kujali Hali yako.

7. Mwanamke yeyote àmbaye unatumia nguvu kûbwa ili úwe naye huyo hata kama mngefunga Ndoa mbinguni au mmefungishwa Ndoa na Papa. Fukuza.
Huyo utakufa mapema Kabla ya Wakati wako.

Hupaswi kutumia Ñguvu yoyote kuishi na Mkeo ili afurahie. Usiwe mtumwa wa Mwanamke.

8. Mwanamke yeyote mshirikina. Ninakuhakikishia Huwezi toboa Miaka 60 ukiishi na mwanamke mshirikina au Mchawi.
Wanawake wakishakuwa washirikina au Wachawi huwaza kumtikisa Mwanaume. Weka akilini hiyo.
Mwanamke mshirikina íwe Kwa mawazo au maneno au vitendo fukuza mara Moja.

9. Mwanamke àmbaye ni Malaya huyo usiwe na mûda wa kumuuliza chochote Kile. Fukuza.
Mwanamke Malaya ni muuaji wa Nafsi yako. Huwezi ishi na Mwanamke aliyekusaliti alafu ukafikisha Miaka 60 never ever.
Sisi Watibeli Kanuni zetu zîpo bayana íwe Wengine wanazipenda au hawazipendi.

10. Mwanamke yeyote àmbaye akiwa na Watoto wako, Wazazi wake, ndugu au ràfiki Zake anakuzungumzia vibaya huyo lazima ufe mapema. Siku ukigundua usilaze damu. Fukuza.
Mwanamke anayekupenda Kamwe hawezi kuzungumzia vibaya Kwa watu.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanaume wengi hasa wale waliooa Mke mmoja waliuawa na Wake zào Kwa vitendo vya kisaikokojia.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Wanaume wengi waliuawa na Wake zào Kwa kupewa stress za makusudi na wake zào.

Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa wanaume wengi waliuawa na Wake zào Kwa tàbia mbaya za Wake zào kutokuwa na Shukrani Kwa kidôgo wanacholetewa na Waume zào.
Wanawake hao Kwa Roho zào mbaya hutunga hadithi za uongo makusudicaly kama kusema Baba Yenu anahonga Huko nje na hawajali ninyi Watoto wake ilhali Kwa sehemu kûbwa ni uongo.
Kwa Sisi Watibeli hasa Mimi Mtibeli halisi Mwanamke akishaanza kusema ninahonga nje au ninawanawake nje Wakati sina, hakika nitamfukuza na tutaachana.
Watibeli tunajua Kwa nini Wanawake huongea hivyo na Sisi Kamwe hatuwezi kugeuzwa watuhumiwa kimakusudi Kwa mipango ya Siri ya Wanawake kuchunguza Akili zetu na jinsi Mioyo yetu ilivyo.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi hawawapikii Waume zào Kwa Wakati na huwalaza Njaa kimakusudi ili kuwakera. Na Wanaume wengi waliuawa na wake zào Kwa Njaa.
Hasa Wanaume Umri ulioenda kuanzia Miaka 50 kuendelea.

Wanaume wengi waliuawa Kwa kufanywa wapweke na Wake zào. Ikiwemo kutokupewa unyumba, kuachwa Hapo na wake zào kukimbilia Kwa Watoto.

Kisaikokojia, Wanawake walalamikaji hutumia Mbinu hiyo ya kivita kama silaha hatari yenye kuchinja mbele na Nyuma.
Malalamishi ni Mbinu Mkakati àmbayo hutumiwa kumlebo Mwanaume Kwa Siku zijazo ili apewe hukumu ya Kifo. Ni Sumu àmbayo imeua wengi.

Watoto wengi wameshiriki kutimiza hukumu ya Kifo Kwa Baba zào kutokana na Malalamiko ya Muda mrefu àmbao ulikuwa Mkakati wa kumuua Mwanaume.

Wito, mwisho; oa Mwanamke unayempenda usioe ilimradi kwani Ndoa NI uwanja àmbao Wanawake wasiokupenda watatumia kukuangamiza

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kikubwa hapa ni UPENDO,ndoa siyo zote Zina migogoro la hasha Bali UPENDO.Siri kuu ni kumuomba Mwenyezi Mungu akupe msaidizi wa kufanana naye,maana yake anayekupenda aisee mwanaume utaishia maisha marefu yenye Raha mstarehe..Ndo maana unakuta Kuna couple hadi uzeeni wameshikamana hadi watoto Huwa hawana ubaguzi ni furaha tele.Shida kuu inakuja kwetu waafrika wa sasa,tunaangalia mwonekano wa nje.... kukurupuka kupata wenzi na kutafutiwa wachumba...
 
Watu wanakwama sababu ya kutegemea miujiza. Miujiza katika mapenzi, katika ndoa, malezi?, Financial and list goes on. Kila kitu kina principles, terms and conditions na pande zote zi obey.
 
Back
Top Bottom