Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

Kugegedana na mapenz ni vitu viwili tofauti
Wewe unazungumzia kufanya mapenzi
Siye twazungumzia kupendana kimapenzi
Wengi humu msingi wa mapenzi baina yao umejengwa kwenye ngono ndio maana vilio kila kukicha 🤣🤣🤣.
 
NI KWELI KUPENDA USIPOPENDWA ni sawa na kujipiga mwenyewe,na ajipigaye mwenyewe HALII.

UKIWA KWENYE HALI AMBAYO UTATAKIWA UCHAGUE KATI YA

1)Mchumba ANAYEKUPENDA 100% na hayuko tayari kukupoteza na yeye ndio anapigania mapenzi kwa nguvu kubwa ubaki naye na wewe humpendi sana kama yeye.

2)Mchumba UNAYEMPENDA 100% ila yeye anakuchukulia poa kawaida hakupendi kivile yupo tayari kukupoteza dakika yoyote anayesema kama vipi kuachana ,yani wewe ndio unatumia nguvu kubwa kupambania mapenzi.

NI BORA UCHAGUE NAMBA 1.
Na hapa ndipo wengi hufeli wanafuata HISIA ZAO sehemu wanayopaswa kutumia AKILI
Mwenza sahihi ni namba moja na sio namba mbili,vilio vingi vya mapenzi ni kutokana na KUPENDA USIPOPENDWA na wengi wanakosa akili ya kujua kama yuko kwenye mahusiano sahihi ama laa.Na wengi wanaamini ukimpenda mtu na kumjali kumuhudumia kugharamia sana ndio lazima na yeye akupende au wengine wanaamini wanauwezo wa kumbadilisha mtu asiyempenda ampende kwa vile eti kumuhudumia.
Ndio maana wengine wenye AKILI wanajua huyu ni mwanamke wa kuspend naye tu ila sio wa kuoa na huyu ni mwanamke wa KUOA.
 

Attachments

  • images - 2024-11-03T171230.775.jpeg
    24.3 KB · Views: 7
  • images - 2024-11-03T171316.932.jpeg
    26.3 KB · Views: 8
Hayo mambo huwezi kuyajua kwanza mpaka upigwe tukio, ukishapigwa tukio unabadilika mwenyewe. Utaanza kuwaangalia wanawake kwa jicho kama la Bw. Natafuta Ajira.

Mimi mwenyewe baada ya kutokewa na hayo mambo simuamini mwanamke hata kidogo! Na wala kumuonea huruma simuonei!
 
Mkuu Unatutisha! Kwa sababu hakuna mwanamke asiyekuwa na dosari hata moja kati ya hizo ulizotaja.
 
Unaoaje mwanamke asiye kupenda? Tatizo wale wawapendao huwa mnawachezea wee mwisho wa siku unaenda angukia Kwa Boko Haram
 
Point za maana sana
 
Lkn tunaowapenda hawatupendi, shida mnazitaka nyie wenyewe.
 
Oa anaekupenda na wala sioe unaempenda.

Kikubwa mtunze, mpende , mthamini na umtulize hisia na matamanio yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…