Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
We jamaa nimekumaindi ya leo kali kunguru kanyea ugališ
š¤£š¤£š¤£š¤£
Nawe unakakopo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa nimekumaindi ya leo kali kunguru kanyea ugališ
Acha watu waishi mbona wazungu wanauza chupa special kabisa la kulimwaga...View attachment 2133882
Si inasafishwa vizuri[emoji28]Ukojoe kwenye Ndoo alafu hiyohiyo akija Mgeni unampa akaogee au kufulia nguo zake?? [emoji3][emoji3]
Noma sana
waza kidume kinahamuka usiku anakazana lengesha kwa chupa ya mirinda/fantaNi uvivu
Unakuta ni 'banda la uani', choo kipo mita 100 uko, mi nilikua natumia chupa za 'sayona', siyo kopo
Mikojo na mavi ni uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.kwema Wakuu!
Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.
Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.
Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati haumwi?
Ni uvivu wa kutoka nje usiku au ni Woga?
Kinachoshangaza zaidi ni kuona tabia hii ipo mpaka Kwa wanaume. Hivi mwanaume mzima unakojolea kwenye kopo au ndoo kweli badala ya kutoka nje na kujisaidia chooni.
Unakuta mtu kaoa kabisa alafu yeye na Mke wake wanakojolea kwenye ndoo au kopo. Kwa kweli hili sio uungwana Kabisa.
Halafu ndoo hiyo hiyo ati mtu anaogea au kufuliašš hii kuna uchafu zaidi ya huu? Ukimuuliza atakwambia ati ndoo ameiosha, upuuzi mtupu.
Uchunguzi huu unawahusu zaidi Wale wenye nyumba za kupanga ambazo sio Self-container, isipokuwa Choo kipo Kwa nje kimejitenga.
Pia baadhi ya wenye nyumba ambao vyoo vyao vipo Kwa nje.
Ushauri wangu, unapoenda ugenini kusalimia uwe Makini sana, unaweza ukadhani unaoga kumbe unajipaka mikojo ya watu japokuwa watakuambia wanaisafisha hiyo ndoo.
Mikojo na mavi no uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.
Wito: wenye tabia hii nawasihi mubadilike, acheni kukojolea kwenye makopo au ndoo, alafu ndoo hizohizo mnaogea na kufulia nguo. Huo ni UCHAFU.
Jumapili njema.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Buza, Dar es salaam
Mh, sikubaliani na hilo kwani watoto huziokota na kuweka maji humo ama ni ya kupeleka shuleni kumwagilia maua au kuchezea - lakini mwisho wa siku hufikishwa kinywani! Nashauri mwenye chupa hiyo awe mtaarabu na kuitupa kwenye mapipa ya taka au mahali panapofaa au aiharibu kwa kuitoboa-toboa.Wale wa kukojoa kwenye chupa muwe mnafungua vizibo mkizitupa Ili mikojo yenu isibakie chupani
Hebu tofautisha kati ya kutembea nayo tumboni,na kulala nayo chumbani kwenye makopo,seeeh! we man naona umevimbiwa biriyanišKama kukaa na haja ni ugonjwa wa akili basi wote tu wagonjwa wa akili! We mbona unatembea na Mah.Vee full time umeyabebebelea kwenye utumbo mkuuš š š af unajiona una akili sana?
Vipi kuhusu zile juisi zinazouzwa kwa kutumia chupa za plastic zilizookotwa,kuna usalama humo?Mh, sikubaliani na hilo kwani watoto huziokota na kuweka maji humo ama ni ya kupeleka shuleni kumwagilia maua au kuchezea - lakini mwisho wa siku hufikishwa kinywani! Nashauri mwenye chupa hiyo awe mtaarabu na kuitupa kwenye mapipa ya taka au mahali panapofaa au aiharibu kwa kuitoboa-toboa.
Kwanza aliyestaarabika hawezi jisaidia kwenye chupa wote ni uncivilized people.Mh, sikubaliani na hilo kwani watoto huziokota na kuweka maji humo ama ni ya kupeleka shuleni kumwagilia maua au kuchezea - lakini mwisho wa siku hufikishwa kinywani! Nashauri mwenye chupa hiyo awe mtaarabu na kuitupa kwenye mapipa ya taka au mahali panapofaa au aiharibu kwa kuitoboa-toboa.
Usalama akupe nani mfanyabiashara ujali pesa yako na sio afya yako.Vipi kuhusu zile juisi zinazouzwa kwa kutumia chupa za plastic zilizookotwa,kuna usalama humo?
Mikojo na mavi ni uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.
Mkuu; Unajisi unaanzia wapi? Ndani au Nje ya mwili wako? Mbona hivyo vitu unatembea navyo kutwa nzima? Naomba fafanuzi hapo. Ukizingatia Definition ya Uchafu ni kitu gani, Mm naona wanaofanya ivo hawajakosea lolote. Lakini, eti nikuulize; kinachokupeleka ww kwenye nyumba za watu hata ukayajue hayo ni nn? Acha Wafu wazike wafu wao.
Ni hatari mno-mno. Hakuna Usalama kabisa. Kama hazichemshwi(Hizo chupa) na kusafishwa kwa umakini wa hali ya juu, tusishangae kushamiri kwa magonjwa e.g. Typhoid, UTI, Kuhara & Kuhara damu, Minyoo, TB. n.k. kwani hujui hali ya Ki-Afya ya mtu aliyeitumia kwa mara ya mwisho.Vipi kuhusu zile juisi zinazouzwa kwa kutumia chupa za plastic zilizookotwa,kuna usalama humo?
Sidhani kama ni sahihi sana Mkuu. Mbona yale malundo yanayosombwa kwa magari kando ya barabara hayatoki mwilini? Mm nadhani Uchafu ni kitu chochote kilicho mahali paipokuwa sahihi na kinakera au hakipendezi macho na kinatia kinyaa. (Wapo Wataalam wa Afya na wadau watafafanua zaidi maana ya Uchafu).Uchafu ni kitu kilichotoka mwilini
Au washauri wanunue jaba special kwa ajili hiyo tukwema Wakuu!
Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.
Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.
Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati haumwi?
Ni uvivu wa kutoka nje usiku au ni Woga?
Kinachoshangaza zaidi ni kuona tabia hii ipo mpaka Kwa wanaume. Hivi mwanaume mzima unakojolea kwenye kopo au ndoo kweli badala ya kutoka nje na kujisaidia chooni.
Unakuta mtu kaoa kabisa alafu yeye na Mke wake wanakojolea kwenye ndoo au kopo. Kwa kweli hili sio uungwana Kabisa.
Halafu ndoo hiyo hiyo ati mtu anaogea au kufuliašš hii kuna uchafu zaidi ya huu? Ukimuuliza atakwambia ati ndoo ameiosha, upuuzi mtupu.
Uchunguzi huu unawahusu zaidi Wale wenye nyumba za kupanga ambazo sio Self-container, isipokuwa Choo kipo Kwa nje kimejitenga.
Pia baadhi ya wenye nyumba ambao vyoo vyao vipo Kwa nje.
Ushauri wangu, unapoenda ugenini kusalimia uwe Makini sana, unaweza ukadhani unaoga kumbe unajipaka mikojo ya watu japokuwa watakuambia wanaisafisha hiyo ndoo.
Mikojo na mavi no uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.
Wito: wenye tabia hii nawasihi mubadilike, acheni kukojolea kwenye makopo au ndoo, alafu ndoo hizohizo mnaogea na kufulia nguo. Huo ni UCHAFU.
Jumapili njema.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Buza, Dar es salaam
Nimepitia hayo maisha mkuu,kwa sasa sipo huko. Halafu hii tabia haina uhusiano wowote na umasikini.Mnaishi maisha ya kimasikini sana lakini mtu akikuta uko sehemu umekaa umechongoa mdomo kuwasema watu utafikili umejitosheleza kwa kila kitu.....
Vipi kuhusu zile juisi zinazouzwa kwa kutumia chupa za plastic zilizookotwa,kuna usalama humo?Mh, sikubaliani na hilo kwani watoto huziokota na kuweka maji humo ama ni ya kupeleka shuleni kumwagilia maua au kuchezea - lakini mwisho wa siku hufikishwa kinywani! Nashauri mwenye chupa hiyo awe mtaarabu na kuitupa kwenye mapipa ya taka au mahali panapofaa au aiharibu kwa kuitoboa-toboa.
Ni hatare na nusu!Ni hatari mno-mno. Hakuna Usalama kabisa. Kama hazichemshwi(Hizo chupa) na kusafishwa kwa umakini wa hali ya juu, tusishangae kushamiri kwa magonjwa e.g. Typhoid, UTI, Kuhara & Kuhara damu, Minyoo, TB. n.k. kwani hujui hali ya Ki-Afya ya mtu aliyeitumia kwa mara ya mwisho.