Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha utani aisee :angry: :angry:
Am serious lol
Mapi kwa kuwa ni wewe, Niletee tu mkojo wa ''kakakuona'' pamoja na mkia wake, Jino la mamba la chichi (liwe la upande wa kulia) Kuku mweusi wa kienyeji (jogoo alienona), Unga wa donna uliochanganywa na unga wa mhogo debe moja na Tshs 50 tu. mambo yako yatakua mswaaaaaaaano!!!!!!!
Ukikosa huo mkojo, mkia na jino la jamaa... njoo na laki na ishirini (noti nyekundu TU) ninazo akiba apa alziiacha kiwatengu wakati anamuita mpenziwe shansarie. Lile jino Ntuzu tafadhali lilete apa site. Mr Rocky hii ni wiki ya kufumaniwa kwako, zingatia sana sala vinginevyo kitanukishwa na mwenye mke. Excel naye kwa tabia yake ya kukaa sana juu ya mawe huko rock city huenda akawa sana kivutio kwa watalii wetu.
Natabiri kuwa UKAWA watagomea kuingia bunge la katiba, Azam itachukua nafasi ya Yanga kwenye mashindano ya kagame, na jumapili Arsenal na man City zitacheza saa 3PM saa za UK. Kwa mbaali naona jina la Wembley stadium ila sijui ni nini iko kwa sasa
Kesho itakuwa Alhamisi na kesho kutwa yake itakua ijumaa na kwa mshtuko wa wengi siku hio ofisi zitafungwa ili watu wakapumzike. Kutatokea pia shamrashamra za hapa na pale maana mwaka huu nyota ya kilimo inaangaza sana kutokea mashariki; kwa hio huenda wakulima wakampumzisha majembe na kufanya shamrashamra za hapa na pale.
how can i measure my weapon here public? choose somewhere bana
kitupie apa nikusaidie kukipima lol
mmmmmhhh...
mmmmmhhh...