Udaku Special, 4th Edition: Critical

Udaku Special, 4th Edition: Critical

Mapi kwa kuwa ni wewe, Niletee tu mkojo wa ''kakakuona'' pamoja na mkia wake, Jino la mamba la chichi (liwe la upande wa kulia) Kuku mweusi wa kienyeji (jogoo alienona), Unga wa donna uliochanganywa na unga wa mhogo debe moja na Tshs 50 tu. mambo yako yatakua mswaaaaaaaano!!!!!!!

Ukikosa huo mkojo, mkia na jino la jamaa... njoo na laki na ishirini (noti nyekundu TU) ninazo akiba apa alziiacha kiwatengu wakati anamuita mpenziwe shansarie. Lile jino Ntuzu tafadhali lilete apa site. Mr Rocky hii ni wiki ya kufumaniwa kwako, zingatia sana sala vinginevyo kitanukishwa na mwenye mke. Excel naye kwa tabia yake ya kukaa sana juu ya mawe huko rock city huenda akawa sana kivutio kwa watalii wetu.

Natabiri kuwa UKAWA watagomea kuingia bunge la katiba, Azam itachukua nafasi ya Yanga kwenye mashindano ya kagame, na jumapili Arsenal na man City zitacheza saa 3PM saa za UK. Kwa mbaali naona jina la Wembley stadium ila sijui ni nini iko kwa sasa

Kesho itakuwa Alhamisi na kesho kutwa yake itakua ijumaa na kwa mshtuko wa wengi siku hio ofisi zitafungwa ili watu wakapumzike. Kutatokea pia shamrashamra za hapa na pale maana mwaka huu nyota ya kilimo inaangaza sana kutokea mashariki; kwa hio huenda wakulima wakampumzisha majembe na kufanya shamrashamra za hapa na pale.

ha ha ha ha ha ah ha
tawire baba tawire umevipata

huo utabiri unanithibitishia ulivyo mganga mzuri
 
ha ha ha ha ha ah ha
tawire baba tawire umevipata

huo utabiri unanithibitishia ulivyo mganga mzuri

mkuu Mapi hakikisha sikupi onyo la pili, tokea mwanzo nakuona unamvizia sana my wife kipenzi
 
Last edited by a moderator:
hahaha.. we mkali aisee hii huduma kuna wajanja wakipita hapa lazma wakuige
na watapiga hela za watu.



hakuna mtu aliyewahi kusalimika kwa kujaribu kuivuruga ndoa yangu. Mapi sitampa onyo zaidi ya mara mbili.

naona unataka kujaribu uwezo wa Tized angalia usiamke ukiwa ndani ya kabati la chipsi
 
Last edited by a moderator:
naona unataka kujaribu uwezo wa Tized angalia usiamke ukiwa ndani ya kabati la chipsi



Ule Uganga Wa Tized NI kiboko!

Amemtoa baba yake msukule ndio anaemletea dawa kutoka mapolini!

Hatareeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom