luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa
wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale kituo cha DIT watoto wakati wanasukumana gafla wakamsukuma mdada mmoja aisee yule dada alikuwa mbogooo
Nimefikiria iwe busara sasa Udart embu tengeni walau basi 1 au 2 liwe specially kwa kubeba wanafunzi
Asante naomba niwasilishe kwenu