UDART umefika muda sasa mtenge mabasi kwa ajili ya wanafunzi pekee

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa

wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale kituo cha DIT watoto wakati wanasukumana gafla wakamsukuma mdada mmoja aisee yule dada alikuwa mbogooo

Nimefikiria iwe busara sasa Udart embu tengeni walau basi 1 au 2 liwe specially kwa kubeba wanafunzi

Asante naomba niwasilishe kwenu
 
Naunga mkono hoja.
Wengi wao hawana adabu,

Wakikalia siti wakiona wakubwa wamesima ,, ndy kwnz wanalala usingizi ,
Kana kwamba hawakuoni.
 
Mbona hapo kwako hujawajengea Choo cha peke Yao? Kuzaa uzae wewe, lawama ukawape UDART, pambana
usitumie matakº kujibu vitu vya msingi.Wapi umeona kauliza maswala ya vyoo
 
Naunga mkono hoja.
Wengi wao hawana adabu,

Wakikalia siti wakiona wakubwa wamesima ,, ndy kwnz wanalala usingizi ,
Kana kwamba hawakuoni.
Juzi kuna wengine walikaa ktk lile limzunguko basi yaan fujo fujooo tupuu

Kiukweli ule sio utovu wa nizamu na huwa watu wazima wanakaa kimya sababu wanajua watajua wenyewe na wazazi wao

Ila wanapaswa wawe quite akili zitulie wawaze masomo

Kuna wengine pia nili kaa nao ktk zile seat za mwisho juu, basi mmoja alikuwa ana andika makorokoro then anachana daftar ile na kutup zile karatas nje yaaan barabaran
 
Wazo lake halitekelezeki kibiashara. UDART wanafanya biashara sio huduma.
Ni kweli ni huduma iliyo na biashara lkn kumbuka hawa watoto wetu lzm tuwajali na kuwalinda pia at any cost

Na hata hawa watoto huwa wanalipaaa
 
Wanapitia mengi na kuona mengi
 
Wawekewe utaratibu mzuri tu...kuwawekea wanafunzi basi lao Itakua kama ni school bus..na ujiulize wataweka mabasi mangapi...it's obvious yanatakiwa kuwa idadi SAwa tu na haya mabasi mengine..of which Itakua ni investment ingine ambayo sidhani kama italipa..
 
Point
 
Back
Top Bottom