Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Jazia jazia 😆Sasa mkuu umeandika karibia kila kitu ambacho tulikuwa tuchangie,ushatuziba midomo aisee
Nakubaliana na wewe kabisa
Karibu mkuu🤝🙏 Mkuu
tunatumia kama chaka tu kumbe mtu anapenda kufanya mtu anaweza kukalia msumari kama haumuumizi siku ukimuumiza ataamkapo tuAisee mi nadhani wengi wetu hatukujua vizuri kutofautisha tunaishia kuchanganya
Kwani kuna mtu ambaye hana udhaifu mkuu¡Kwa mtiririko huu nimeona kwamba hapa si udhaifu bali ni tabia iliyoanza taratibu na kushindwa kudhibitiwa
Na dhani tunafananisha udhaifu na tabia
ugonjwaKwa mfano udhaifu wa binadumu karibu wote ni nini mkuu!
😂😂😂😂 Mkuu hiyo "ataamkapo" imenifurahisha sana. Imenikumbusha ndugu zangu wanyakyusatunatumia kama chaka tu kumbe mtu anapenda kufanya mtu anaweza kukalia msumari kama haumuumizi siku ukimuumiza ataamkapo tu
Yeah, kwasababu kila kitu kina ubaya na uzuri wake, chagua udhaifu wako mmoja ishi nao. Ukikosa udhaifu wowote una chance kubwa ya kuishi maisha yaliyojaa upweke mwingi.Unasema unaweza kuchagua kosa ?
Ki vipi jazia jazia nyama
Asante mkuu tupo pamoja wikiendi hii tupumzishe akili na maada changamfu.Karibu mkuu
OhoooYeah, kwasababu kila kitu kina ubaya na uzuri wake, chagua udhaifu wako mmoja ishi nao. Ukikosa udhaifu wowote una chance kubwa ya kuishi maisha yaliyojaa upweke mwingi.
Sawa mkuuAsante mkuu tupo pamoja wikiendi hii tupumzishe akili na maada changamfu.
wanamsemo huo mkuu?Mkuu hiyo "ataamkapo" imenifurahisha sana. Imenikumbusha ndugu zangu wanyakyusa
Sahihi wanasema waswahilitunatumia kama chaka tu kumbe mtu anapenda kufanya mtu anaweza kukalia msumari kama haumuumizi siku ukimuumiza ataamkapo tu
Ngoja kina dosho12 wajeKwa kifupi hakuna udhaifu ambao hauna suluhu,maana udhaifu ni tabia ambazo hatukuzaliwa nazo,sio kwamba ni kilema labda hakuna namna ya kubadilisha
Ila madhaifu mengi ni mtindo wa maisha ambayo tumeamua kuchagua kuishi nao
Sasa binadamu kwa kawaida hupima au huogopa ubaya wa.kitu kutokana na madhara yake
Na bahati mbaya sana kuna madhara ambayo sio ya moja kwa moja au hayatokea haraka haraka kwa muda mchache,na haya ndio hutufanya kuchukulia mambo poa
Mfano sigara inachukua miaka kadhaa kuona athari zake,sasa ni vigumu sana.kwa mvuta sigara kuamini kwamba sigara inamadhara,wakati huku tangu anakuwa ameona baba amevuta na mpaka sasa yupo vizuri
Au pale madhara yanapotokea kwa kipindi fulani ni vigumu sana kuanisha na athari za sigara,ni kama vile mtu anaona haya ni madhara mengine ambayo hayahusiana na sigara
Kwahiyo kuacha madhaifu kunahitaji Will power kubwa sana ya kujitoa kuacha.kile ambacho nafsi yako imezoea kufanya miaka nenda rudi
The good news is,tunaweza
kushinda.madhaifu yetu,ni swala la maamuzi tu.
Kila mtu ana madhaifu ila watu wameshaeleza madhaifu ni nini na uraibu ni nini
Sawa MkuuKila mtu ana madhaifu ila watu wameshaeleza madhaifu ni nini na uraibu ni nini
Aiseee🤔Mpenzi mmoja🤓
I can tell you this