Udhaifu ni nini? Na kwa nini tunashindwa kuushinda hata tukiufamu?

Sasa uraibu inakuaje udhaifu? Nadhani watu wanachanganya kati ya udhaifu na uraibu coz udhaifu ni kama character ambayo inamdefine mtu mwenyewe, kuna mtu ako na short temper, kuna mtu ako na hasira zilizopitiliza, kuna mtu ako na huruma sana, kuna mtu ni Mbeya sana, kuna mtu ni mchinganishi na kadhalika (haya ndio yanaweza kuwa madhaifu ila hivyo ulivyotaja hapo ni uraibu ambao mtu hakuzaliwa nao ila amejifunza tu ukubwani).
 
Nimemueleza haya kwa maneno machache hakuelewa,bora umefafanua kua anaosema udhaifu ni choices,ziwe mbaya au nzuri ndio personality traits...uzi ufungwe
 
Mimi nilishakuelewa mkuu toka comment ya kwanza ila nimekutag tena wewe na dosho kwa ajili ya huyu
Psalm_27
 
Mimi mmoja ananitosha ila kama unaweza kuwa na zaidi pia ni sawa huo ndo unakuwa udhaifu wako
Kua na mpenzi zaidi ya mmoja ni udhaifu au tabia ya kutokua mwaminifu umalayer?
 
Mimi nilishakuelewa mkuu toka comment ya kwanza ila nimekutag tena wewe na dosho kwa ajili ya huyu
Psalm_27
Kuhusu huyu Psalm_27

Kama nimemuelewa yeye anasema anapambana kuushinda udhaifu lakini anaanguka tena.

Sijajua udhaifu wake ni Nini? Ila ninachoelewa ni kwamba hauwezi kuushinda udhaifu ila unaweza kuubypass kwa muda, Kwasababu udhaifu ni kitu ambacho kipo ndani yetu na hatuwezi kukiondoa/kukibadilisha ila unaweza kukibypass kwa muda fulani ambapo ubongo wako upo aware.

Inshort niseme kwamba kamwe hatoweza kuushinda udhaifu alionao.
 
Maana yake
tunachanganya udhaifu na na uraibu na tabiya

Tabiya mbaya au uraibu vitu ambavyo hatutaji kuviacha tunavipamba kwa kusema ni udhaifu
Shukran umeeleweka mkuu šŸ™šŸ™
 
Aisee ngoja aje
 
Kua na mpenzi zaidi ya mmoja ni udhaifu au tabia ya kutokua mwaminifu umalayer?
Inategemea na sababu pamoja na mazingira kwahiyo ku-generalize ni ngumu. Inaweza both udhaifu na umalaya ila mimi nasema ni udhaifu kwasababu hata umalaya wenyewe ni udhaifu either wa kihisia , kimapenzi au kiuchumi
 
Sijajua kama unapenda kusoma vitabu, Kuna kitabu nilikisoma zamani sana kinaitwa HUMAN BEHAVIOR, sikumbuki kimeandikwa na nani ila nilipokisoma nilijiona kama nipo uchi🤣, imagine someone spoke your really behavior while he/she never knew you.
naweza kupata soft copy ya hicho kitabu cha Human Behavior?
 
Inategemea na sababu pamoja na mazingira kwahiyo ku-generalize ni ngumu. Inaweza both udhaifu na umalaya ila mimi nasema ni udhaifu kwasababu hata umalaya wenyewe ni udhaifu either wa kihisia au kiuchumi
How umalaya uwe ni udhaifu????

Yaani mtu anajipanga anaacha shughuli zake akafanye ngono zembe afu unasema udhaifu?

Mkuu form 2 kwenye biology tulijifunza VOLUNTARY and INVOLUNTARY activity.

Ukiona umed*nda kwa dada Ako, mamaako au unapata hisia kwa kaka zako huo tunaweza kuuita udhaifu au una mapepo. Kinyume na hapo hizo ni tamaa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…