Yeah ndio iko hivyo, ingawa tabia pia zinaweza kuwa madhaifu coz Kila mtu ako na tabia ambazo amejifunza kutoka kwa jamii inayomzunguka ila pia anazo tabia ambazo ni naturally.Maana yake
tunachanganya udhaifu na na uraibu na tabiya
Tabiya mbaya au uraibu vitu ambavyo hatutaji kuviacha tunavipamba kwa kusema ni udhaifu
Shukran umeeleweka mkuu ππ
Aloooo umalaya nao ni udhaifu?Inategemea na sababu pamoja na mazingira kwahiyo ku-generalize ni ngumu. Inaweza both udhaifu na umalaya ila mimi nasema ni udhaifu kwasababu hata umalaya wenyewe ni udhaifu either wa kihisia , kimapenzi au kiuchumi
Ni udhaifu kwenye maadili au uchumi wake huyo malayaHow umalaya uwe ni udhaifu????
Yaani mtu anajipanga anaacha shughuli zake akafanye ngono zembe afu unasema udhaifu?
Possibly PM you're mailnaweza kupata soft copy ya hicho kitabu cha Human Behavior?
Hapana mkuu hivi ni vitu vya kawaida kabisa vinavyohitaji critical thinking.Ni udhaifu kwenye maadili au uchumi wake huyo malaya
Okay πPossibly PM you're mail
Mkuu umalaya ni kazi pia halafu ukikosa fedha pia ni udhaifu kwenye elimu yako, ujuzi, au mbinu za kukupatia fedha!Huwezi kupata fedha bila kufanya kazi sasa kufanya umalaya sio kazi bali ni kukosa maadili tuu.
So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.π€π€Yeah ndio iko hivyo, ingawa tabia pia zinaweza kuwa madhaifu coz Kila mtu ako na tabia ambazo amejifunza kutoka kwa jamii inayomzunguka ila pia anazo tabia ambazo ni naturally.
Na hizo naturally ni tabia ambazo huoneshwa sana na watoto kipindi wanapokua bado hawana machaguo ya kipi wakioneshe kwa jamii na kipi wakifiche (ndio maana kuna ule usemi unasema mama ndio mtu pekee anaemjua mwanae vizuri coz yeye ndie ambae ameshinda ndae wakati mtoto akiwa hajui kipi afiche na kipi aoneshe)
So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.
Umalaya ni kazi?πMkuu umalaya ni kazi pia halafu ukikosa fedha pia ni udhaifu kwenye elimu yako, ujuzi, au mbinu za kukupatia fedha!
Yeah, sex work is work tofauti ni kwamba kuna sehemu ni halali na kuna sehemu ni haramuUmalaya ni kazi?π
Mkuu unanifurahisha tuuMkuu umalaya ni kazi pia halafu ukikosa fedha pia ni udhaifu kwenye elimu yako, ujuzi, au mbinu za kukupatia fedha!
Nimejaribu kukuPm imekua ngumu kwangu,Okay π
Hebu jaribu kutafiti utaelewa vizuri, sex work is work and is subject to tax kwa nchi zinaruhusu kisheria, huku Tanzania umalaya pia upo na watu wanapata pesa mbonahow umalaya iwe kazi???
Using eleza PM yangu ina shidaNimejaribu kukuPm imekua ngumu kwangu,
Mada yako yote ndio inaanzia hapo kwenye tabia na huo mgawanyiko niliokuambia, na ndio hapo sasa tunapata uraibu na udhaifu.So tabia za aina hiyo ambazo hukufunzwa na mtu yeyote ila zilikua ndani yako tangu ukiwa huna akili timamu hadi sasa, hizo ndio wewe halisi so ni udhaifu wako huo.π€π€
Hapo una hoja mkuu
Mkuu nakuelewa unachomaanisha ila kimaadili it's not fair at all. Natamani tusiiweke kama kitu rasmi maana binafsi sitopenda kuona dadaangu, mdogoangu au ndugu yangu anafanya hiyo kitu.Hebu jaribu kutafiti utaelewa vizuri, sex work is work and is subject to tax kwa nchi zinaruhusu kisheria, huku Tanzania umalaya pia upo na watu wanapata pesa mbona
Hakuna mchoyo in nature, kila kitu unajifunza.Kuna mtu anaweza akawa mchoyo kwa kujifunza kwa maana jamii imemfanya awe hivyo ila kuna mtu ni mchoyo in nature
Sawa basi hoja yangu ni ile ile, hata kukosa fedha ni udhaifuMkuu nakuelewa unachomaanisha ila kimaadili it's not fair at all. Natamani tusiiweke kama kitu rasmi maana binafsi sitopenda kuona dadaangu, mdogoangu au ndugu yangu anafanya hiyo kitu.
Nipo mazingira ya Fulani nawaona kila siku dada zetu wanavyotembeza nyau zao, it's saaad but it's their choice too.