Udhaifu wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu

Kwa nini umefura hasira?!
 
Huo wivu anautoa wapi? Na kwann awe nao?
Mungu Hana wivu wewe. Wewe ndio umesema ana wivu. Kuwa Na wivu Ni trait ya kibinadamu sio ya Mungu
 
Unajua maana ya kumuabudu Mungu?
 
Nadhani kinachokusumbua hujaelewa maana ya KUABUDU.

KUABUDU maana yake ni ileile yaani SHUKURAN
Kumuabudu Mungu nu kumyenyekea na kumshukuru usiku na mchana.

Kwa maana nyengine ni kufuata na kutekeleza maagizo yake pia kushukuru wakati wa shida na raha
 
I
Ur still a learner
 
1. Logic question[emoji41][emoji41][emoji41] umenunua Gari kwa ajili ya safari zako mbalimbali Gari haifanyi vile unavyotaka utaifurahia?

2. Simu yako umenunua ili uwasiliane na ndugu na jamaa haifanyi vile wewe unavyotaka je utaridhika?
 
Naona sikuhizi JF hasahasa JAMII-INTELLIGENCE imeanza kujaa wafuasi wakubwa wa:
1. Helena Blavatsky
2. Aleister Crowley
3. Manly P Hall
4. Albert Pike
5. Anton LaVey
 
... mpende Bwana Mungu wako kwa akili zako zako zote na kwa nguvu zako zote ... Upendo kwa Mungu na ibada kwa Mungu (kumuabudu) ni lipi lililo kuu? By the way tusipompenda Mungu atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)?
 
Huyo ni mwanadamu mkuu. Haya Sasa nikuulize swali.

Mti wa mchungwa unatoa machungwa matamu wewe umeenda kuchukua chungwa umekula umepata vitamin. Je mti wa mchungwa unahitaji uushukuru? Je usipo ushukuru utapungukiwa nn ?
 
Naona sikuhizi JF hasahasa JAMII-INTELLIGENCE imeanza kujaa wafuasi wakubwa wa:
1. Helena Blavatsky
2. Aleister Crowley
3. Manly P Hall
4. Albert Pike
5. Anton LaVey
Unamjua Manly P. Hall wewe? Salute
 
How
... mpende Bwana Mungu wako kwa akili zako zako zote na kwa nguvu zako zote ... Upendo kwa Mungu na ibada kwa Mungu (kumuabudu) ni lipi lililo kuu? By the way tusipompenda Mungu atapungukiwa na nini (kwa mujibu wa maelezo yako ya awali)?
do u love God? U love God by loving urself and other people because God lives in you
 
Mungu Hana wivu wewe. Wewe ndio umesema ana wivu. Kuwa Na wivu Ni trait ya kibinadamu sio ya Mungu
“Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
” Kutoka 20:5 , kitoka 34:14, Kumbukumbu la Torati 5:9, Kumbukumbu la Torati 4:24

“kwani Bwana, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya Bwana, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
”Kumbukumbu la Torati 6:15

Nahumu 1:2

Yoshua 24:19

Hayo yote ni kwamjibu wa biblia sio mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…