‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

Non sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna inapo bidi wana funga tu kila jambo linatokana na uzito wake au linahatarisha usalama wa nchi na kufunga mitandao sio udikteta ni kwa faida ya nchi
 
Naona leo umeshiba maharage ya iringa
Salundi inampa tabu niuharo mtupu mikutano imezuiliwa maandamano yamezuiliwa halafu anaropoka matope yake humu Uhuru wa biashara unaminywa na kodi mmachinga mwenye mtaji wa elfu tano anauza karanga au mayai analipi elfu ishilini kwa mwaka bhaado MTU anakaa kumsifu stone hakika watz tunatumiwa vbaya nawenye mamlaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote walimchukia wapo waliompenda tena sana tu...........
You must not be serious, unaweza kumpenda muuaji? Anaua ndugu zako umpende? anau amajirani umpende? Miili ya watu inaelea mto kagera umpende? Walikuwa "wanampenda" kwa sababu ya matumbo yao!
 
Mataka ya nani?

Maana tulikuwa na vyama vingi, vikafutwa!

Vilipofutwa tukaingia mfumo mmoja!

Utawala wa mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 20 si udikteta huo?
Katiba ya wakati huo iliruhusu mfumo wa chama kimoja, na ilimruhusu Nyerere kutawala kwa muda huo wote.

Hata Bill of Rights haikuwepo mpaka mnamo mwaka 1984 ilipoingizwa rasmi kwenye KATIBA.

Nyerere hakupindisha katiba. Aliifuata.

Kwanini awe dikteta kwa kufuata Katiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa chadema temeke katoa maoni yake kwenye facebook, katekwa na usalama mpaka leo hajulikan alipo.

Acha kutumia matako kufikiri tumia ubongo.
 
Tofauti na kule huku intaneti hazifungwi ila usipopotezwa au kusoteshwa sello, utakula risasi za kutosha!
 
Mtu anayechukua pesa za serikali bila kuidhinishwa na bunge na kununua ndege huyo ni nani kama siyo dikteta?

Mtu anayevunja katiba na sheria za nchi kwa kuzuia vyama vya siasa visitumie haki yake ya kufanya siasa kama ilivyokuwa stipulated kwenye sheria za nchi ni nani kama siyo dikteta?

Mtu anayezuia wananchi tusione bunge live kwa hoja eti kuangalia bunge mida ya kazi kunafanya watu wasifanye kazi LAKINI yeye mikutano yake mbalimbali hata vikao vyake vingi vinavyofanyika mida ya kazi na Vinarushwa Live, hii ni nini kama siyo Udikteta?

Mtu anayeagiza polisi wakiuwa watuhumiwa wa Ujambazi wasishitakiwe bali wapandishwe cheo, hii ni nini?. Rule of law iko wapi?. Huu ni udikteta

Mtu anayemwagiza Spika awabane bungeni wabunge vocal ili aje adeal nao mtaani, hii ni nini?. Huu ni udikteta
 
Mkuu kwahiyo likitokea kama LA Zimbabwe utajiunga na kundi linalomuita Magu dictator? Mana kama nihilo tu mbona lipo njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hoja ya hovyo kabisa!
Kwako ili usiwe diketa ni kuachia internet ikuchambue utawala wako watakavyo!Ukifungia internet kama Rais Munangwagwa kwa wapiga kura wake basi wewe ndiyo dikteta!
Kuanzisha miradi mikubwa bila bajeti kupitishwa na Bunge kwako sio udikteta?
Kuvunjia watu nyumba Dar wasio kupa kura lkn kusema Mwanza wasiguswe sababu walinipa kura kwako sio udikteta?
Kusaidia wahanga wa MV Nyerere Mwanza lkn kuwakatalia msaada wahanga wa tetemeko Bukoka tena walio changiwa rambirambi na watz kwao sio udikteta?Au hujui maana ya neno dikteta?
Vijana uwezo wenu wa kufikiri umepatwa na tatizo gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Duh!

Kamanda povu la nini sasa?
 
Duh!

Kamanda povu la nini sasa?

Mm sio kamanda.
Huko kwa makamanda napo ni hovyo tu afadhali tena Magufuli!
Kule kuna mdada alipewa Ubunge siku anateuliwa yupo ktk kikao cha ndani cha CCM yy ndiyo mwenyekiti wa UVCCM-Hanang!
Tatizo la TZ CCM imekosa chama mbadala cha kuwaondoa madarakani,wapinzani Bara ni wapigaji tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…